diamond

  1. Rasmi Diamond aiwasilisha Komasava kwenye tuzo za Grammy. Tutatoboa?

    WCB wametangaza kuwa Diamond amewasilisha wimbo wa Komasava kuwania Tuzo za Grammy mwaka kesho. Komasava imewasilishwa katika vipengele vya Best Music Video na Best African Music Performance. Mnadhani atashinda mbele ya Burna Boy, Wizkid na magwiji wengine?
  2. Wakati Diamond Platnumz akitoka kwenye international shows ulaya na Africa.. Ali Kiba anaenda kufanya show ya kuzindua duka mkoani Morogoro

    Wakuu nna habari ya kuwajuza kuhusu industry yetu ya burudani. Ali Kiba wiki hii mwishoni ataenda kufanya show ya kuzindua duka la mavazi. Hongera sana Kiba kwa kuaminika na muuza duka na kukupa nafasi ya kupafomu mbele ya wateja wake. Diamond ndani ya wiki hizi mbili amekuwa busy na show za...
  3. H

    Diamond amejitolea kumsomesha mtoto wa Dida mpaka anamaliza Elimu

    Wakati wa kutoa pole kwa wafiwa mwanahabari mkongwe, Maulid Kitenge ametoa salamu kwa niaba ya Mkurugenzi wa Wasafi Media bwana Diamond Platnumz ambaye yupo Zimbabwe ambaye msiba umemkuta akiwa huko. Amesema kuwa kuanzia siku hiyo Diamond atabeba jukumu la kumsomesha mtoto wa Dida Shaibu mpaka...
  4. Diamond anashindwa vipi Kuweka Live Msiba Wa Dida Live Wasafi?

    Diamond anashindwa vipi kuweka live safari ya mwisho ya mfanyakazi wake Dida. Pesa zinatafutwa lakini kuweka ubahili mpaka kwwnye safari ya mwisho ya mfanyakazi wako bora haileti taswira nzuri
  5. Soka na Muziki: Diamond Platnumz, Chama na Musonda wakutana uwanja wa ndege

    Diamond Platnumz alipokutana na Cloutas Chama na Kenedy Musonda katika uwanja wa ndege Julius Nyerere International Airport, ilikuwa ni tukio la kufurahisha, hususan kwa mashabiki wa soka na muziki. Wakati Diamond akielekea Zimbabwe kwa ajili ya shoo, wachezaji hao walikuwa wakielekea Zambia...
  6. Waziri wa Maji Jumaa Aweso alivyomzawadia Diamond Platnumz kwenye birthday yake

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, alimzawadia Diamond Platnumz KEKI kwenye kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwake hapo jana Oktoba 2 na kula pamoja diko la birthday nyumbani kwa Staa huyo wa Bongo Fleva. Diamond alishukuru Waziri kwa heshima hiyo na kutoboa siri kuwa Waziri alihusika kupendekeza wimbo...
  7. Dkt. Godwin Mollel na Diamond Platnumz wakionyeshana uwezo kupiga Push Up

    Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel (katikati) pamoja na msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz walivyopiga Push Up huku Hamis Mwinjuma (Mwana FA) akiwatazama. Soma pia: Wananchi jimbo la Siha wambeba juu kwa juu Mbunge Dkt. Godwin Mollel
  8. Diamond pumzika muziki kwa muda pepo mchafu apite!

    Muziki wa sasa ni wa ushindani mkali, uadui, Vita na kila aina ya uovu ubaya na kadhalika, sio ajabu tukaona maadui wa Diamond kwa sasa wamepata chochoro la haja la kujaribu kumshusha kisanii, pengine ndilo lililopo katika ajenda ya maadui wake Namshauri kwa upepo unaoendelea let him mute, kwa...
  9. Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga

    Akihojiwa na Rick Media, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja wa msanii nguli Diamond Platnumz, Mh. Hamis Taletale au kwa jina maarufu Babu Tale amekiri walipoenda kumtembelea msanii P.Diddy, alionesha viashiria ambavyo wao hawakujua maana yake. Mojawapo ya tukio la ajabu ni...
  10. Je Diamond, Babu Tale na Burna Boy wanaweza kuitwa kutoa ushahidi kwenye kesi ya P Diddy?

    Mzee wa mafuta ya upako P.Diddy katika kesi yake inayoendelea. Je kuna uwezekano wa watu hawa kuitwa either kumtetea au kumkandamiza? 1. Diamond anasema walifanya yao ambayo hawezi yaweka in public je anaweza itwa chini ya kiapo akajielezea walichofanya? 2. Babu Tale Mbunge huyu naye anasema...
  11. Babu Tale na Diamond Platinumz mbona Mwenzenu Bondia Tyson kakiri kuwa P Diddy alitaka Kumshika paja akashtuka ila nyie hamfunguki zaidi kama Yeye?

    Bondia Mstaafu na Mwigizaji wa Filamu Mike Tyson amefunguka kuwa siku moja akiwa kwenye Kipindi Cha Televisheni na P Diddy wakiwa wamekaa kwenye kochi moja alishangaa kuona mkono wa P Diddy umemgusa kwenye mapaja yake, Tyson alishituka sana kisha akauondoa mkono huo haraka sana na akakaa mbali...
  12. Kuonana na P.Didy ndiko kulikompa kichwa Diamond na kupata ndoto ya kuwa "Tajiri Namba 1 Duniani"

    Lakini sasa itakuwaje? Maana mentor tayari yameshamfika shingoni huko Marekani!
  13. Jason Derulo, Diamond, Chley na Khalil wauwasha moto kwenye jukwaa Afrika Kusini!

    Katika tamasha la kipekee la DSTV Delicious Festival, wasanii nyota Diamond Platnumz, Chley, na Khalil walipiga show ya kali, wakitumbuiza pamoja na Jason Derulo. Hii ilikuwa ni mara ya kwanza kwa Derulo kupanda jukwaani na kuimba kolabo yao mpya, "Komasava" remix na mashabiki kuonesha vibe kubwa.
  14. Diamond Platnumz kuisimamisha nchi kuachia wimbo wa kimataifa tarehe 23 September 2024

    Msanii namba moja Africa na mfanyabishara millionea Diamond Platnumz siku ya jumatatu 23 September 2024 ataachia wimbo mkali sana level za kimataifa. Kwa sasa watanzania wote macho na masikio wameelekeza kwenye ujio huu wa diamond unaokuja kikubwa. Je ni wimbo upi ataachia holiday au upi...
  15. Waendesha Mashtaka wadai nyumba ya Diddy ilikutwa na Vilainishi, Silaha, Dawa za Kulevya, Mafuta ya Watoto Chupa zaidi ya 1000

    MAREKANI: Rapa na Mfanyabiashara, Sean "Diddy" Combs anatarajiwa kupandishwa Kizimbani kujibu mashtaka matatu aliyofunguliwa ambayo ni ulaghai, biashara ya ngono kwa kutumia nguvu, Usafirishaji Haramu wa Binadamu kwaajili ya Shughuli za Kingono Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, Diddy anadaiwa...
  16. Wakazi awatolea uvivu Wasanii adai hawajitambui, wanataka kuwa kama Diamond

    Rapa Wakazi ametoa kauli kali akiwakosoa wasanii kwa kutojitambua na kutojihusisha na masuala muhimu ya kijamii. Katika andiko lake, alisisitiza kuwa wasanii wengi wamepoteza dira yao ya kuwa kioo cha jamii na badala yake wanataka kuwa matajiri wakifuatilia mafanikio ya msanii maarufu Diamond...
  17. Diamond Platnumz kazi anayo!

    Ndoto ya Diamond kuwa Tajiri namba moja Duniani inazidi kuwa ngumu kila uchwao, Elon Musk anaendelea kuchanja Mbuga na sasaivi anaelekea kwenye Utrilionea. Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Vienna Austria 🇦🇹 Soma Pia: Exposure ya Diamond ni ndogo, anahisi hapa Tanzania ana pesa nyingi...
  18. Hili la Diamond kujihakikishia kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani linaashiria nini katika ulimwengu wa giza?

    Watu wa ulimwengu wa giza njooni hapa mtoe maoni yenu. Ukuaji wa diamond kutoka zero hadi hapo alipo umekuwa wa kasi isiyotegemewa. Amezungumza akiwa anajiamini sana kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani, hawezi kuwa na uhakika kiasi hiki bila kuwa na maagano ya siri.
  19. Rapa Prezzo adai yeye ndiye chanzo cha Diamond Platnumz na Wasanii wengine wa Afrika Mashariki kuanza kupata Pesa

    Jackson Ngechu Makini, anayejulikana pia kama Prezzo, mwanzilishi katika ulingo wa muziki wa Kenya, amekuwa na ushawishi mkubwa katika tasnia hiyo kwa miaka mingi. Katika mahojiano haya, mshiriki wa zamani wa Big Brother Africa anazungumzia safari yake, mchango wake katika ukuaji wa tasnia ya...
  20. Samatta , Kanumba na Diamond ndo vijana mlioacha alama chanya hapa Tanzania

    Kanumba (GOAT) wa filamu Tanzania Diamond (GOAT) wa Muziki Tanzania Samatta (GOAT) ktk Mpira Tanzania Hawa ndo vijana ambao Tangia TAIFA la Tazania liwepo wameonesha kuwa Sky is limit ✊🏿
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…