diamond

  1. K

    Zuchu amkana Diamond si mpenzi wake baada ya sakata ya Tanasha

    Malkia wa Bongo fleva, Zuhura Othman almaarufu Zuchu kwa mara nyingine amelazimika kujitokeza na kufafanua uhusiano wake na bosi wa WCB, Diamond Platnumz. Huku gumzo kubwa ambalo linawahusisha yeye, Diamond, Tanasha Donna na Mama Dangote likiendelea, msanii huyo mzaliwa wa Zanzibar ameibuka na...
  2. K

    Ndege ya Diamond Platnumz aliyosema kanunua iko wapi?

    Mwezi Septemba mwaka jana CEO wa lebo ya WCB na mwimbaji wa Bongofleva, Diamond Platnumz akiongea na DW Africa alithibitisha kununua ndege binafsi (private jet) kwa lengo la kile alichoita ni kuongeza thamani yake. Baada ya kauli hiyo, Diamond akasifiwa sana na kuelezwa kwamba angekuwa msanii...
  3. "Wazuri ni wengi ila kumpata mwenye mapenzi ya kweli ndo balaa" kasema kweli diamond

    Yani wazuri ni wengi sana ila ndo pasua kichwa, hasa mjini, warembo kila kona lakini ni nightmare. Vijana watabisha
  4. Wasanii wa kibongo ombeni msamaha kwa Diamond..kabla hali haijawa mbaya

    Diamond Platnumz ndio baba wa bongofleva. Anaichezesha sanaa ya bongo anavyotaka yeye. Wasafi Festival ni tamasha alilofanikiwa sana na linazidi kuwa na nguvu. Tamasha la kiingilio kikubwa hapa bongo na linajaza watu kuliko matamasha ya bure. Akiamua sasa nitrend kwenye muziki hakuna wa...
  5. Primary School Teacher at Williamson Diamond Limited (WDL)

    Position: Primary School Teacher Location: Williamson Diamonds Limited, Mwadui, Shinyanga Grade: C2 Report: Head Teacher Role Description: The role is responsible to educate and motivate pupils as per the National Curriculum framework and using creative resources to contribute to their...
  6. Kesi ya diamond karanga, Wasafi na Kusaga ilivyofika mwisho mahakamani

    DIAMOND PLATNUMZ NA DIAMOND KARANGA ILIVYOGEUKA TALAKA YA CHOZI Na Luqman MALOTO INGEWEZEKANA, yaliyowezekana kwenye movie ya Superman mwaka 1978, yangewezeshwa katika ulimwengu halisi. Superman alipaa nje ya dunia, akailazimisha sayari kurudi kinyumenyume. Kwa sayari kurudi reverse, muda nao...
  7. H

    Wimbo Overdose ya Diamond kali sana nimeikubali

    Jamaa kaachia wimbo kimya kimya kwa kweli aina hii ya release za Diamond zinakuwaga kali tofauti akifanya promo kubwa.Nimependa sana lyrics yake, melody, Vocal na S2kizzy katengeneza beat nzuri sana ni wimbo ambao huwezi kuuchoka kama baadhi ya nyimbo za mondi.
  8. K

    Kumbe Amina wa Ali Kiba alimshtaki Diamond? Ona alivyojibiwa sasa

    Amina Khalef, mke aliyeachana na mwanamuziki maarufu wa Bongo, Ali Kiba amemchukulia hatua za kisheria mwimbaji Diamond Platnumz katika siku chache zilizopita. Hii ni kutokana na matamshi ya hivi majuzi ambayo msanii huyo wa 'Zuwena' aliyatoa wakati wa majibizano makali mtandaoni na Alikiba...
  9. M

    Diamond alipokutana na Kagame Rwanda alionesha Mapungufu ya Kiitifaki

    Mlioona clip ya juzi ikimuonyesha Diamond akiwa Rwanda na kukutana na Rais Kagame utaona Approach yake kwa kiongozi huyo ilivyokuwa na kasoro, jinsi Diamond alivyokuwa anamuongelesha Rais huyo ilikuwa kama vile anaongea na Babu Tale au mtu mwenye hadhi ya kawaida tu. Pia alionekana mara nyingi...
  10. Diamond Platinumz kuvaa rozali, amebadili dini au uislam unaruhusu?

    Haya ndugu yetu yupo Mwanza huko anapiga shoo muda huu, ila nashangaa amevaa rozali... masharti ua chama yanampeleka vibaya huyu mtu au ni kuwa kachagua njia ambayo anaona ni sahihi kwake?
  11. Diamond Platnumz na International songs

    Al Jumaa Mubarak wakuu... Mwezi uliopita msanii mkubwa zaidi Tanzania Diamond Platnumz aka Chibu Dangote alijinasibu kwamba ataanza kuporomosha mangoma ya hatari kwa kuzingatia soko la ndani na la nje (local & International) na katika kuhakikisha anafanya alichokiahidi, akatoa ngoma mbili kali...
  12. Wakazi amlipua Diamond vikali

    Kupitia account zake msanii wakazi amemlipua vikali msanii boss wa wasafi diamond.. NASIBU USIPOTOSHE WATU, KWA KUPINDISHA UKWELI NA KUONGEA UNAFIKI. Nimeona clip ya interview yako. Maelezo yako sio sahihi kuhusu soko la muziki la nje, na nashangaa wewe kujidai unahubiri unity na kutokatishana...
  13. Kuwatumia vibaya Diamond na Ali Kiba kwenye siasa za Simba na Yanga ''kutaua" soka la Tanzania

    Inajulikana tangu enzi za Pontyo wa Pilato kwamba shabiki wa Yanga hawezi kuwa shabiki wa Simba and vice versa. Sio tu hivyo bali hadi kwenye kutakiana mafanikio na kuombeana njaa ndani ya uwanja. Shabiki wa Simba hawezi kufurahia mafanikio ya ndani ya uwanja ya Yanga hata itokee nini. Miaka...
  14. Kwanini kila mtu anataka kushindana na Diamond Platnumz?

    Wasanii wote wanalilia kushindana/kushindanishwa na Diamond. Tangu enzi za kina Marlaw na Belli 9 mpaka sasa madogo kina Chino wanaman Konde Boy. Bila kusahau Ali Kiba. Je, kuna manufaa yoyote wakipambanishwa na Diamond? Kwa nini hawataki kushindana wao kwa wao au kushindana na Ali Kiba wote...
  15. Diamond Platnumz na Alikiba waanzisha vita ya maneno kwenye mitandao ya kijamii

    Vita ya maneno imezidi kushika kasi kati ya Diamond na Alikiba Cheki hapo chini
  16. Bila kupewa promo na Diamond Platinumz, Alikiba si chochote wala si lolote

    Zimebaki siku chache mwezi huu wa July uishe. Hivyo basi Ally Kiba autumie huu mwezi vizuri kabla Diamond hajaondoa msaada wake. Diamond Platinumz huwa anamjibu Ally Kiba Ili angalau kum boost kwenye muziki wake. Nyinyi wenyewe ni mashahidi , Diamond akiachaga tu kujibizana na Ally Kiba, Ally...
  17. Zuwena wa Diamond Platinum ni nani kiuhalisia?

    Umuofia kwenu, Igweeeeeee. Shwari wapenzi wana JF. Naomba ku-declare interest kwamba mimi ni shabiki kindaki-ndaki wa Diamond Platinumz. Kulingana na uhalisia wa jamii tunamoishi, nimejikuta nautafakari sana wimbo wa Zuwena ambao gwiji huyu wa bongo fleva aliuachia muda si mrefu. Mwanzoni...
  18. MB DOG: Diamond Platnumz amenidhulumu wimbo wa Mapenzi Kitu Gani

    "Google wimbo huu wa Mapenzi Kitu gani au ingia YouTube halafu ataona. Nenda kwenye more Information utaona jina la Msanii aliyeimba wimbo huu imeandikwa jina la #DiamondPlatnumz. Ubunifu kama huo lakini nikitaka kuutumia napigwa stop. Unapotaka kuutumia kwa ajili ya maisha ya familia ili nipate...
  19. U

    Falling Nandy Vs Shu Diamond ipi Amapiano kali?

    Lazma tuweke ushabiki pembeni, na tushindanishe kwa haki, tuongee ukweli kati ya Amapiano aliyotoa dada Nandy unaoitwa Falling na hii Amapiano aliotoa msanii namba moja kwa mashabiki wengi Diamond inayoitwa Shu, ipi ni ngoma kali kiukweli ukweli, ipi Ina vibe? Hapa ieleweke nashindanisha ngoma...
  20. Mr. Blue, umekielewa alichokisema mke wako kuhusu Diamond?

    Bayser, umeelewa kauli ya mkeo kama nilivyo ielewa mimi ? Mke wa Blue amenukuliwa akisema; "Mimi namsapoti mume wangu kwasababu tumejenga nyumba nane kupitia muziki, kwahiyo mimi nasapoti sana kazi yake kwasababu tunafanikiwa kupitia muziki wake, muziki unalipa na una hela" "Zamani wanawake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…