diamond

  1. Diamond yupo Mwanza leo; watu wote wa jiji la Mwanza wana furaha...

    Msanii namba moja Africa, Diamond Platnumz aka Simba anapiga expensive show ndani ya Mwanza leo. Basi watu wote ndani ya Mwanza wamejawa na furaha. Kama una ndugu au jamaa yupo Mwanza mpigie simu atakupa majibu ya balaa la Diamond ni mji umesimama.
  2. Wakenya ndio wanaompaisha Diamond Platinumz

    Kumbe watu wanaomshikilia na kumsapoti Mondi ni Wakenya? Gazeti la Tanzania la The Citizen linasema kwamba ndani ya miezi 12 zilizopita video za Diamond kwenye youtube zilipata 136 million views na kati ya hizo views, 107 million zilikuwa zinatokea Kenya. Kumbe Watanzania hampendi Diamond au...
  3. Kwaya ya Mt. Kizito Makuburi chukueni hatua za kisheria dhidi ya Diamond & Zuchu

    Sina chuki na Huyu Bwana Diamond, huwa napenda sana nyimbo zake, ni burudani tosha. Ni takribani mwezi sasa toka huyu Bwana na bint Zuchu watoe wimbo wao walioupa jina 'Mtasubiri sana'. Ni wimbo mzuri katika muktadha wa burudani. Ukakasi unakuja katika video ya wimbo huu. Kile kinachoonekana...
  4. TCRA, BASATA zafungia video ya wimbo wa Diamond Platnumz ft Zuchu - "Watasubiri Sana"

    Mamlaka ya wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), imeufungia video ya wimbo wa Diamond Platnumz na Zuchu unaoitwa "Watasubiri Sana' baada ya kupata taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuwa wimbo na video hiyo inaleta ukakasi kwa waumini wa dini na dhehebu fulani. Wimbo huo unafungiwa...
  5. Diamond alimuimbia Wema Sepetu nyimbo nyimbo tamu, chungu na chachu..

    Ujana, mapenzi na ustaa. Maneno hayo machache yanatosha kuelezea maisha ya Wema Sepetu na Diamond Platnumz. Kama hukufaidi drama za hawa wawili, bado hujalijua vizuri game la muziki wa kizazi kipya. Kwa ufupi sana, hii ndiyo couple namba mbili iliyokuwa na nguvu kuliko zote katika historia ya...
  6. Diamond ana hekima Sana. Wengi hawamuelewi. Wakati mwingine hata chawa wake ndio wanamutungia maneno

    Mada inajieleza. Naseeb anaheshima Sana. Na kama unajua unapokuwa na heshima watu wanakuheshim naazia Kwa wema. Wema anavyoheshimiana na mond ni ishara ya kwanza, na anapozaa wanae na mwenza wake wanabaki kuheshimiana, juzi kati huyu binti ambaye amejaaliwa heshima na ni mpole (Jina ) alikuwa...
  7. Tunammiss Diamond wetu entertainer. Huyu Diamond mfanyabiashara anatunyima uhondo

    Tunamiss yule Diamond mwanamuziki. Tunammiss Diamond entertainer. TunammissDiamond drama boy. Kiukweli Diamond akipoa na muziki wetu unapoa. Diamond ni kama chameleon alivyokuwa anaubeba muziki wa uganda. Diamond tangia awe CEO wa biashara kubwa kubwa amekuwa anafanya muziki kibepari sana kuna...
  8. Account ya Diamond Plutnumz yadukuliwa tena Leo tarehe 26 April

    Mwanamuzi kutoka Tanzania anaejulikana kama diamond Plutnumz kutoka Wasafi Account yake ya YouTube yadukuliwa Kwa mara nyingine Leo tarehe 26 April
  9. Channel ya YouTube ya Diamond Platnumz yafutwa (Terminated)

    Siku mbili tangu akaunti ya YouTube ya Diamond Platnumz iliporipotiwa kudukuliwa, akaunti hiyo imeondolewa na YouTube wenyewe kwa kilichoandikwa kuwa mtumiaji amekiuka masharti ya mtandao huo. Inadaiwa kuwa baada ya kudukuliwa uongozi wa msanii huyo wa Bongo Fleva ulifanikiwa kuirejesha...
  10. Diamond Platnumz: Tuzo za Tanzania zilikufa kwa sababu yangu, nilinyimwa Watanzania wakakasirika sana

    Mwanamuziki wa, Diamond Platnumz Akiwa Kwenye Interview na Kituo cha #BBCSwahili Jijini London Ametaja Sababu Ya Yeye Kutoshiriki Kwenye Tuzo Za Muziki Nchini. "Namshukuru Waziri Wa Sanaa Michezo Na Tamaduni Tulipata Wasaa Wakuongea Kabla Ya Tuzo Kufanyika Na Nilimueleza Maoni Yangu Na Cha...
  11. WASAFI ya Diamond Platnumz wamemtupia virago Paul Makonda?

    Huyu ndugu alikuwa na vyeo vingi pale, ametupiwa virago? Hasikiki tena, Kuna wakati walimuimba eti ni baba yao
  12. Hivi tukiacha ushabiki ni lazima Diamond aangushe wasanii wengine ili aendelee kutamba?

    nimechelewa kuskiliza hii interview ya Kondeboy kwa ambao ni outdated news samahanini. Hatuhitaji vijana wenye roho kama ya huyu jamaa, no wonder why our music is not doing well internationally . I do understand that competition exists in the world of business but not the extent of...
  13. Airtel "Imeolewa" na Diamond - lakini Je, huduma zimeboreshwa?

    Nimeamka asubuhi nikakutana na ujumbe kutoka kwa rafiki yangu ambae ni mfanyakazi wa Airtel (TSM), akiwa amenitumia Tangazo jipya la Joti. Nikatabasamu kwa kuwaza kwamba Airtel wamefanikiwa kumnyofoa Joti kutoka Tigo; nikawaza au labda huyu muwekezaji mpya alieingia Tigo amechagiza jamaa...
  14. Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara

    Dar es Salaam tunakutana eneo moja tu Diamond Jubilee... Makamu Mwenyekiti CCM Taifa -Bara Ndg Abdulrahman Omar Kinana kesho tarehe 10 April 2022 kupokelewa na kutambulishwa rasmi kwa wana - CCM na Watanzania kwa ujumla wake, Kinana anayetajwa kama mwanamikakati hatari zaidi kusini mwajangwa...
  15. Washindi Tuzo za Muziki Tanzania 2021, heshima kwa Rais Samia, Diamond, Ruge, Mabeyo

    Tuzo za Muziki za Tanzania (TMA) 2021 zinatolewa usiku huu wa Aprili 2, 2022 ikiwa ni miaka 7 imepita bila uwepo wa tuzo kama za muziki kama hizo Nchini Tanzania. TUZO ZA HESHIMA Shughuli inafanyika kwenye kwenye Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam, watu watano wa kwanza kupewa tuzo ya heshima ni...
  16. Kutoka Mwanza: Watu watoa shukrani zao kujumuishwa kwenye FOA World Tour ya Diamond Platnumz

    Baada ya msanii namba moja Africa Diamond Platnumz kutoa part one ya FOA WORLD TOUR na kujumuisha mkoa wa Mwanza, watu mbalimbali wamejitokeza na kutoa shukrani kwa heshima aliyowapa watu wa Mwanza. Nimetoka Mwanza hivi juzi kila kona kuanzia Bwiru, Ilemela, Igoma, Nyegezi na maeneo yote...
  17. Diamond aisimamisha Qatar na kuweka heshima kwa Africa

    Msanii namba moja Africa Diamond Platnumz au mashabiki wake wanapenda kumuita Simba mnyama mkali amekuwa trend namba moja nchini Qatar. Diamond amefanikiwa kuwa trending namba moja kwenye waandaaji hao wa World Cup akiwa na wimbo wake Watasubiri alomshirikisha malkia wa muziki Africa ya...
  18. U

    Nashauri Zuchu atoke WCB haraka maana Diamond anatembelea nyota yake, hakuna mapenzi

    Ikiwa dhahiri kabisa kuwa zuchu ni Kati ya wasanii watatu wakubwa Tanzania na Africa mashariki boss wake diamond plutnum amekuwa akiingia pesa nyingi sana kupitia nyimbo za zuchu au zile alizomshirikisha zuchu, hivyo diamond kiuhalisia ni chawa wa chinichini wa zuchu. Kwakuwa zuchu Sasa...
  19. Video: Akili za mashabiki wa Diamond zilivyo

    👇👇👇😥 Imagine ni mwanao na baba yako.
  20. Diamond aelezea kwanini aliamua kutozungumuza na Nadai bali Zari

    Katika kanda ya Video iliotokea katika mtandao wa kijamii wa YouTube, diamond alitokea wazi na kuelezea ni kwanini alizungumza na mama watoto zari aka Boss Lady licha ya kuonyesha dalili ya kumtaka Nadia katika filamu inayozungumuziwa mtaani hivi sasa- Young Famous & African Unaeza jionea mkanda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…