diamond platnumz

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ngoma ya "Komasava " ya Diamond imeingia kwenye chart za Billboard

    Msanii maarufu kutoka Tanzania ameweka record ya aina yake ya kuingiza wimbo wake wa Komasava ile original kwenye chart za Billboard kama ingizo jipya kwenye chart za nyimbo 50 zenye kufanya vizuri Duniani. Wimbo huo umekuwa ukifanya vizuri na kupendwa na watu wengi ukiwemo watu maarufu kama...
  2. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ni Msanii mkubwa duniani, BASATA pamoja TASUBA kuna haja ya kumpongeza kwa jitihada zake za kukuza lugha ya Kiswahili

    Diamond Platnumz ni Msanii mkubwa duniani, BASATA pamoja TASUBA kuna haja ya kumpongeza kwa jitihada zake za kukuza lugha ya Kiswahili Diamond ni kijana wa Tanzania mwenye kiu ya kufikisha mbali Muziki wa Tanzania kuna ulazima wa kila mtanzania kuunga mkono jitihada zake za kukuza muziki wa...
  3. JamiiForums Tanzania Ali Kiba, kubali matokeo kwa mdogo wako Diamond Platnumz

    Mimi sio mpenzi wa miziki ya vijana japo utakuta bar na harusini ila huyu mtoto anapaswa kuogopwa japo kijana mwenzake alikiba ni mtu wakukunja sana kama ulivyo asili ya mkoa wao walipotokea. Kwa steji aliyofikia huyu kijana tunapaswa kujisifu kwa kupeleka soko la mziki na kuhamsha vijana...
  4. JamiiForums Tanzania Video ya msanii Diamond Platnumz Comasava ni video kali sana

    Msaniii pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara hatimaye Leo kaachia video la Dunia inaitwa Comasava hili goma sisi yanga day 🙌tuta enjoy sana kwa mkapa Cc ephen_ Hapa director folex katisha sana hii video kalii sana Comasava yanga day 🙌 https://youtu.be/RpZRtX2mQdc?si=Zb8NmX8hb3Up3Hvz
  5. JamiiForums Tanzania Lyrics za Wimbo wa "Utanipenda" wa Diamond Platnumz

    Tanta lala la Ooh la la la la la Mmh Ooh Ghafla visenti sina nimerudi Tandale Nimeshindwa kulipa BIMA nimeuza Madale Radio nyimbo wamezima Tv ndio hataree Umeneja umebaki jina Hanitaki hata Tale Oooh wale shabiki zangu Walionisifu kwa maneno matamu Leo maadui zangu Ni mitusi tu kwa instagram...
  6. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz usibabaishwe na tuzo za BET kwasababu soko la mziki Marekani limeanguka na Wasanii wake hawana mashiko kwa sasa

    Diamond Platnumz Diamond Platnumz usibabaishwe na tuzo za BET kwasababu soko la mziki Marekani limeanguka na Wasanii wake hawana mashiko kwa sasa. Mziki mzuri upo Africa kwa sasa ukishikiliwa na nchi ya Nigeria Wasanii wa Marekani wameanguka sana na soko lao limedorora sana, hawana nyimbo za...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Collabo za Kimataifa za Diamond Platnumz zilizopeperusha bendera ya Tanzania

    Ni suala lililo wazi kuwa msanii Diamond Platnumz ndiye msanii anayeiwakilisha muziki wa Bongo Fleva kimataifa ambapo kupitia nyimbo zake Diamond ameweza kupenya na kujulikana katika mataifa mbalimbali ikiwemo Nigeria, Kenya, Ghana, Uganda na mataifa mengine mengi. Kushinda tuzo kama MTV EMA za...
  8. JamiiForums Tanzania Diamond Platinum awa gumzo kubwa Paris Fashion Week na vazi lake la pweza

    Hakika mwaka huu Paris Fashion Week imepatwa na gumzo kubwa baada ya kijana wa Tandale, Diamond Platinumz kutinga na vazi lake la pweza. Hii ni moja ya platform kubwa ya fashion duniani na inauzuliwa na watu wenye nguvu kwenye industry ya entertainment. Kudos Diamond kwa kuiwakilisha Africa.
  9. JamiiForums Tanzania Kitendo cha Diamond Platnumz kwenda nyumbani kwa P. Diddy kimemlipa

    Ndugu zangu mafanikio hayakufuati ukiwa umeketi nyumbani kwako, lahasha, ni lazima uyafuate tena kwa juhudi ya hali ya juu. Star wa bongo fleva Diamond Platnumz ni miongoni mwa vijana wapambanaji, miezi kadhaa nyuma kijana huyu mpambnaji alifunga safari kwenda nchini Marekani, huku lengo kuu...
  10. JamiiForums Tanzania Wimbo wa Diamond Platnumz kuchezwa na Chris Brown linadhihirisha ni kwa kiasi gani hii nchi ina maajabu ulimwenguni

    Hili suala la wimbo wa Diamond Platnumz kuchezwa na Chris Brown linadhihirisha ni kwa kiasi gani hii nchi ina maajabu ulimwenguni. Yani leo kila sehemu unayopita ni Chris Brown kampost Diamond SMHO. Yani Chris Brown leo ametukuzwa kila mahali, kiasi kwamba Chris akijua kinachoendelea hapa Tzzz...
  11. JamiiForums Tanzania Tuhuma za P-Diddy: Diamond Platnumz alifanywa nini na P-Diddy ambacho anaona aibu kusema mbele ya kamera?

    Kwa Tuhuma zinazoendelea za Pdiddy huko marekani na hasa ya kujihusisha na mapenzi ya Jinsia moja na kulazimisha watu kufanya hivyo na hasa kulawiti baadhi ya watu na kingine kuwafanya watu sexual slaves.. Kuna Intervieww aliwahi kuifanya msanii wa Tanzania (Diamond) Akisema walikwenda Kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Shemeji wa Diamond platnumz afanya operesheni ya kuongeza Lips

    Aliewahi kuwa Mke wa Kaka wa msanii Diamond Platnumz mwanadada Malaika, ameongeza ukubwa wa Lips zake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Malaika amepost video inayomuonyesha akiwa na Lips nene jambo linalodhihirisha kuwa ametoka kufanyiwa Surgery ya Lips. ANGALIA HAPA MUONEKANO WAKE MPYA...
  13. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz: 2025 tunaenda nawewe Rais Samia

    Msanii Naseeb Abdul almaarufu Diamond Platinumz, amemtakia heri ya siku ya mfanano wa kuzaliwa Rais Samia Suluhu, na pia amemuahidi kuwa 2025 yeye na wanaom-support watampigia kura kwenye Uchaguzi Mkuu wa Rais. Ameandika Diamond Platnumz kwenye ukurasa wake wa Instagram, "Kupata Rais ni...
  14. JamiiForums Tanzania Diamond platnumz asifia 'kata mtu panda mti' ya Haji Manara. Adai Zaylisa ni kitu cha juu zaidi kuliko wa mwanzo

    Mwanamuziki Diamond amesifia ondoa mti na weka mti ya Haji Manara huku akidai hamna vijuso katika machaguo yake. Amesema huko uraiani kuna wengine wamechukia na wanamzengea Zeylisa. Diamond amesema mwanzo alipata kitu cha chini(Rushayna) lakini sasa Mwenyezi Mungu amempa Zaylisa ambacho ni kitu...
  15. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz tumeshampoteza, hii ni "Point of No Return"

    If you know you know.
  16. JamiiForums Tanzania Mwijaku afunguka: Pesa ya kujenga ghorofa nimeitoa kwa Diamond Platnumz

    Ukweli unatuweka huru. Mwijaku aamua kuwa mkweli na kusema kilicho ndani ya moyo wake. Ghorofa lake alilojenga na kutrend mitandaoni pesa imetoka kwa Diamond Platnumz. Hongera mwijaku kwa kuwa muungwana. Pia sifa ziende kwa diamond kwa kuendelea kubadilisha maisha ya watu. Mungu ataendelea...
  17. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo couple za Diamond Platnumz zilizokosa mvuto ikiwemo couple ya Zuchu

    Hizi ni miongoni mwa couple za Diamond Platnumz zilizokosa mvuto . 1A)Diamond Platnumz na Penniel Mungilwa(Penny): Hii ndio couple mbaya zaidi ya Diamond Platnumz iliyochukiwa na wengi. Sababu kuu ya kuchukiwa kwa hii couple ilikuja baada ya Diamond Platnumz kumpiga chini Wema Sepetu...
  18. JamiiForums Tanzania Inanisikitisha sana kumuona Diamond Platnumz akisimangwa mtandaoni na Nigerians

    Juzi nilikuwa napitapita Insta kweny page za entertainment za Nigeria, aisee jamaa wanasema sana, wanamsimanga hadi nilijisikia vibaya. Mimi sio kwamba mshabiki sana wa diamond, ila nikiona mtanzania mwenzangu, mpambanaji mwenzangu na kijana mwenzangu anasemwa na kutukanwa roho inauma sana...
  19. JamiiForums Tanzania Mameneja watatu ila personality ya Diamond Platnumz inashuka siku hadi siku

    Huyu jamaa ana mameneja watatu ila naona kwenye suala la personality wameshindwa kumshauri kabisa. Kwa muonekano wa mondi wa sasa ni either kajiingiza kwenye drugs au mambo ya kigasho..muda utasema tu. Diamond wa leo karudi kwenye usela ule wa black Americans wa miaka ya 90 kuvaa manguo makubwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Harmonize kipindi bado ana heshima na adabu kwa baba yake kimuziki (Diamond Platnumz).

    Video inajieleza.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…