Wanaukumbi.
Maisha ya kawaida yanaendelea katika Eneo Maalum la Kiuchumi la Bandari ya Imam Khomeini huko Khuzestan huku Israel ikidai mashambulizi dhidi ya malengo ya jeshi la Iran.
https://x.com/haiderali099/status/1850040504513163449?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Unaweza kushangaa kwa nini taarifa za askari wa Korea ya Kaskazini kuhusika kwenye vita upande wa urusi zimemshtua sana Korea ya kusini!!
po hivi : Kama korea ya kaskazini inamsaidia urusi maana yake ni kwamba pia ikizuka vita kati ya korea ya kusini na korea ya kaskazini urusi watawasaidia...
Hii kauli imebeba maana kubwa sana leo unajua kwanini unapocheza na Yanga kisha ukapata shauku sana ya kufunguka na kuwashambulia ndipo hapo unaingia kwenye mtego wao.
Ukiwashambulia Yanga kisha ukaacha sana magepu kwenye zone yako ombea Yanga wasiupate huo mpira ni wazuri sana kwenye kufanya...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh
Ndugu zetu hao wameishi kwa mateso na...
Ina sikitisha sana leo hii ukienda kubadilisha fedha ya Tanzania
kwa dollar au kwa shiling ya Kenya rate ni kama ifuatavyo
1 US Dollar unatakiwa utoe 2700 Tsh
1 Ksh itabidi utoe 25 Tsh
Swali kwa Wana uchumi je kuna jitihada zozote za kuinusuru shiling yetu iwe na
thamani...
Hili si suala la ushabiki wala kiimani. Uungwana siku zote ni kujitendea haki mwenyewe kwa kuukabili ukweli hata kama ni mchungu.
Sote ni wafu watarajiwa na kwa mola tutarejea. Hata ipo tofauti linapokuja suala la kurejeshwa na binadamu wengine, ndiyo maana kelele zinapigwa.
Rejea "Operation...
🚨BREAKING: Texas has passed a bill banning islamic shariah law and anything that contradicts American values.
My take;
Smart move, they don't want to end up like Canada and France.
Kwa mujibu wa msemaji wa jeshi letu, JWTZ inashika namba 6 kati ya majeshi bora duniani.
Swali langu, ikitokea tumerushiwamakombora angani tunao mfumo wa kuyazuia na kuyaharibu?
Nimeuliza hivi baada ya kuona jeshi la Israel ambalo ni namba 17 kwa ubora duniani linajitahidi sana kwenye upande...
Video clip iko insta kwenye ukurasa wa AzamTv
Refarii katoa penati rahisi sana na ambayo hata watoto wa Umiseta hawawezi kupewa.
Itafute hiyo clip, wakati Tanzania Prisons wakipewa penati iliyopelekea kupata goli la kusawazisha.
Na ikapelekea Tanzania Prisons kupata ushindi wake wa kwanza...
Baada ya Mahakama Kuu Masjala ndogo Dar es Salaam kuifuta kesi ya mwanahabari Erick Kabendera, aliyokuwa ameifungulia kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public Limited, ameibuka na kudai kuwa amepanga kukata rufaa kwenye Mahakama ya Rufani Tanzania baada ya...
Waziri Mkuu wa Israel ameongea kwa kutumia vyombo vya habari na wananchi wa kawaida wa Irani na kuwataka wananchi wa nchi hiyo kuachana ama kujitenga na utawala wa nchi hiyo.
Msikilize.
Benjamin Netanyahu
---
Rais wa TLS kupitia ukurasa wake rasmi wa Mtandao wa x ameandika chaisho linaoonekana likiunga mkono hukumu iliyotolewa kwa Nyundo, Askari wenzake dhidi ya Binti wa Yombo. Katika andiko hilo Mwabukusi ameandika:
Justice at Last. Hii haswa ndiyo sehemu ya utawala wa sheria sina sababu ya...
Ukiondoa itikadi za dini na mihemko, huu uchambuzi uliofanywa na kituo cha SNS unatoa mwanga halisi wa kinacho endelea.
Bigup kwa huyu ostadh ambaye anajadili facts sio zile story za vijiweni za akina Ritz na FaizaFoxy
Karibuni.
https://youtu.be/Fi1gKQxxBJw?si=YqdIVGOKsjvGAkpi
1 hr 53 min ago
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
1 million people displaced in Lebanon, prime minister says
One million people in Lebanon have “moved from place to place in just a few days,” the country’s caretaker Prime Minister Najib Mikati said on Monday as...
Mbio za kampeni za uchaguzi nchini Marekani zimeendelea kuwa sukari na hii ni baada ya maafisa takriban 700 wa usalama wa kitaifa na wanajeshi nchini humo kumuidhinisha na kumuunga mkono Kamala Harris kwenye mbio zake za Urais dhidi ya Donald Trump.
Kupitia barua yao ya pamoja, maafisa hao wa...
dhidi
donald trump
kamala
kamala harris
maafisa
maafisa usalama
marekani
mkono
mkuu
trump
trump vs kamala
uchaguzi
uchaguzi marekani 2024
uchaguzi mkuu
usalama
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amemjia juu Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta akimwambia ametangaza vita dhidi ya pande hizo mbili, ikiwa ni mwendeleo wa kurushiana maneno baina ya pande hizo baada ya matokeo ya sare ya magoli 2-2 walipokutana Wikiendi iliyopita.
Guardiola amesema “Wakati...
Wanasheria nguli mliomo humu tusaidieni ufafanuzi kwenye hili.
Iwapo chombo cha habari kimeruhusu Mtu mmoja amdhalilishe mwingine bila uthibitisho na bila kupata ufafanuzi wa aliyetajwa.
Teknolojia katika field ya afya ni msingi katika muktadha wa afya ya kiumbe chochote kilicho hai hasa binadamu tutakaye mzungumzia zaidi.
HIV ni janga duniani lakini inapaswa tufahamu teknolojia ndio itayoleta mwanga wa kupambana na hiki kirusi, lakini kuna baadhi ya wanyama kirusi hakiwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.