dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mawakili wanaowakilisha chadema katika kesi nyingi, wanamuwakilisha Mpina katika kesi dhidi ya wana CCM wenzake-ambao ni Bashe na Tulia

    Naona chadema imejitolea kikosi cha mawakili wanaowawakilisha makada wake katika kesi nyingi, ili sasa wamuwakilishe Luhqga Mpina katika kesi zinazohusu mambo ya sukari, pia kesi inayohusu Mpina kufukuzwa Bungeni. Haijafahamika kwa nini Mpina amechagua mawakili wenye mlengo na itikadi za...
  2. Ritz

    JamiiForums Tanzania Israel waomba msaada wa kimataifa kwa Israel dhidi ya Iran na Hezbollah

    Wanaukumbi. Hezbollah wanaendelea kushambulia maeneo muhimu ya jeshi ndani ya Israel. 🚨🇱🇧🇮🇱 FM KATZ AWATAKA MSAADA WA KIMATAIFA KWA ISRAEL DHIDI YA IRAN NA HEZBOLLAH Waziri wa mambo ya nje Israel Katz amewaandikia makumi ya mawaziri wa mambo ya nje akitaka kuungwa mkono na hatua za Israel...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Tundu Lissu kuwa makini, huenda kuna jambo linapangwa dhidi yako na usidhani anakukubali

    Bi. Mkubwa akiwa huko kwao, katumia jina lako kwa namna ambayo inaweza kuonekana ni ama kukutania au kukupa heshima fulani au anaku-admire. Binafsi, nakushauri uwe makini sana huenda hii ni hadaa tu ili watapofanya yao, basi yeye asihusishwe kwasababu ameonekana kukubali kumbe wana agenda...
  4. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania wamasai wakizaliana ngorongoro kuna mpango gani dhidi ya ongezeko lao?

    tutahamisha wanyama au tunaendelea kuwapa wamasai hifadhi ili tuendeleze utamaduni wao?hifadhi zetu zitakuwa salama kiasi gani?kuna namna nyengine ya kulinda maliasili zetu dhidi ya ongezeko la wamasai kwa kipindi kijacho? je,ni ipi njia salama ya kuitunza ngorongoro?
  5. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kenya yafuta Mashtaka Dhidi ya Najib Balala

    Mahakama ya malindi imemuruhusu Mkurugenzi wa mashtaka ya Umma DPP) kuondoa kesi ilyokuwa inaendelea inayohusisha kiasi cha cha billion ksh 8.5 za chuo cha Utalii dhidi ya aliyekuwa waziri wa utalii kenya Najib Balaa na wengine 14. Kesi ya ufisadi ya aliyekuwa Waziri wa Utalii Kenya Najib...
  6. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Nchi ambayo serikali inafurahi kutenda uovu dhidi ya raia wake

    Hii si nchi ya kusadikika uliyoisoma kwenye kitabu cha Hayati Shaban Robert, wala si nchi ya Wagagagigikoko na Mfalme wake Huihui dikiteta aliyepigwa na mgeni Bulicheka na akapoteza ufalme. Hii ni nchi inayopatikana Afrika mashariki, kusini mwa jangwa la Sahara. Ni Muungano wa Tanganyika Huru na...
  7. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Je, Trump kaanza kupata kiwewe dhidi ya mwanamama Kamala ?

    Kuelekea uchaguzi wa marekani, Donald Trump aanza propaganda za ukomunisti dhidi ya Kamala Harris. Kama unavyojua marekani na ukomunisti ni paka na panya. Je, Trump anatumia kete ya ukomunisti mitandaoni kumuondolea imani Kamala kwa wamarekani ? Au vijembe tu vya kisiasa ?
  8. U

    JamiiForums Tanzania TP MAZEMBE wanajaribu kufanya uhuni wa kitoto sana dhidi ya Singano.

    Oneni wenyewe
  9. Yoda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya ni maringo ya Wakenya au ni kujiwekea standard juu dhidi ya majirani?

    Mwezi huu maada ya mchakato wa mwaka mzima Kenya imeitangaza rasmi Eldoret kuwa jiji la 5 katika nchi hiyo, hata hivyo Wakenya wengi wamedhihaki na kukebehi uamuzi huo wakiita Eldoret kuwa bado ni kijiji tu! Hawa majirani zetu tuwaambie ukweli au tuwaache tu?
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Nitashangaa sana tukishindwa Kesi ya Madai ya Tsh. Trilioni 3.2 dhidi ya Orca Energy

    Kupitia Ukurasa wake wa X (Twitter) Kiongozi wa Chama Mstaafu kutoka ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameandika "Nitashangaa sana kushindwa hii kesi. Kampuni ya PAET, mtoto wa ORCA, alipokuja nchini mwaka 2001 alikuta tuna gesi imeshavumbuliwa. Hawakuwekeza hata senti tano nyekundu kutafuta Gesi...
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba: Mechi ya kesho dhidi ya Yanga ni nyepesi

    Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davids amesema mchezo wa kesho dhidi ya Yanga ni wa kawaida na hana presha nao na yupo tayari kuibuka na ushindi. Yapi maoni yako?
  12. excel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzazi/Mlezi: Unachukua hatua gani za kiusalama kumlinda mtoto wako dhidi ya vitendo vya kiunyanyasaji wa kingono?

    Habari! Bila shaka Wana JF wote tumepata habari ya kusikitisha juu ya binti aliyeingiliwa kingono na wanaume watatu baada ya kuhisiwa kuwa ametoka na mume wa mtu (mwanajeshi). Kwa muktadha ule, wale vijana walifanya unyama sana kwa yule binti tena wakaona wamrekodi na kurusha katika mitandao...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kipi bora Iran ifanye ili ipate ushindi na kutoa funzo kwa Israel?

    Marekani ilisema Iran ingeaanza kujibu mauwaji ya Ismael Haniye masaa 72 baada ya tamko la Ayatollah Khamenei kwamba wataipiga Israel moja kwa moja. Kwa kujua Israel ina silaha bora na inasaidiwa na mataifa makubwa ikiwemo Marekani.Kwa namna gani unafikiri Iran itaweza kuingia vitani kuwatetea...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wakili Kitale apingwa kesi dhidi ya TLS, uamuzi Agosti 9

    Mvutano wa kisheria unaoendelea Kuibuka katika shauri lililofunguliwa na Wakili Steven kitale katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza baada ya mjibu maombi wa nne, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kuwasilisha pingamizi likiwa na hoja mbili. Wajibu maombi katika shauri hilo namba 17558/2024...
  15. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Je Mwabukusi atawasaidia Watanganyika dhidi ya ukatili na uovu wa jeshi la polisi iwapo atashinda urais wa Tls?

    Tangu tuwe chini ya mkoloni jeshi la polisi linalalamikiwa kila siku. Utesaji na mauaji ya watuhumiwa. Kila siku ni kilio kwa wananchi. Moja ya dhima ya kuanzishea Tls mwaka ni 1954 ni kutoa msaada kwa jamii inayoonewa na kunyimwa haki . Sasa mbona utesaji wa polisi na hata mauaji...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Serikali chukueni hatua za dharura na haraka dhidi ya Kiboko ya Wachawi kinachoendelea hapa buza mtalaumiwa

    Serikali Kiboko ya Wachawi anahamisha masanduku yasiyojulikani kuna nini ndani yake yanapitishwa porini na waumini wake yeye amekaa mahali hapo porini kuzipokea. Kuna nini? Kwa nini mtu huyu bado ana pasipoti? Rais Samia utaingia kwenye mgogoro. Toa agizo huyu mtu akae ndani hadi baada ya...
  17. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Lipi bora, kukodisha majengo dhidi ya kuuza majengo, nini cha kuzingatia?

    Utangulizi Uamuzi wa kukodisha au kuuza majengo ni muhimu kwa wawekezaji na wamiliki wa mali isiyohamishika. Kila chaguo lina faida na changamoto zake. Makala hii itachunguza kwa kina mambo muhimu ya kuzingatia unapochagua kati ya kukodisha au kuuza majengo. Tutaangalia masuala ya kifedha...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Neno Sanda katika jezi mpya ya Simba ni kinga dhidi ya washirikina na wenye husda dhidi ya Simba, mnaopinga neno hilo mna nia mbaya na timu yetu

    Kama kweli wewe ni mpenzi na mwanachama wa Simba na unaitakia Simba mema, basi usikubali kuingia mtumbwi wa kibwengo, hilo neno Sanda hapo kwenye jezi mpya ya Simba halikukaa kimakosa, nyie wote mnajua maana ya Sanda. Sanda ni shuka anayofunikwa maiti kuelekea kaburini kuzikwa.Simba imeweka...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Unataka kujua haki inatukanajwe? Tembelea viunga vya Mahakama za Prof Juma, kesi ya Yanga dhidi ya Magoma haina namba na imeshaamuliwa!

    Hii ndio inaitwa "mockery of justice" Yanga wamepeleka kesi Mahakamani 17/7/2024, hakuna hati za wito kwenda kwa Magoma na wenzake ili waitwe, wasikilizwe, leo 19/7/2024 Hakimu, tena wa level ya Principal Resident Magistrate, katoa uamuzi, yaani imechukua chini ya saa 24. Hajamuita mshitakiwa...
  20. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mutatis mutandis dhidi ya celeris paribas

    Mutatis mutandis: Lat. With the necessary changes in points of detail, meaning that matters or things are generally the same, but to be altered when necessary as to names, offices, and the like. Yaani, the basic structure is the same but there may be a few changes made. Celeris paribus...
Back
Top Bottom