dhati

Dhatki (धाटकी; ڍاٽڪي), also known as Dhatti (धत्ती; ڍاٽي) or Thari (थारी; ٿَري), is one of the Rajasthani languages of the Indo-Aryan branch of the Indo-European language family. It is most closely related to Marwari.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Kuwa na mwanamke ambaye Wazazi wake walifariki akiwa mdogo huenda asiwe na mapenzi ya dhati?

    Hii wanajf sijui imekaaje Kwa watakao kuwa wamewahi kuwa na mahusiano na aina hizi mbili za wanawake huenda wameshakutana na hii kasumba 👉Mwanamke ambae wazazi walifariki akiwa chini ya miaka 24 kuna Ile namna anakosa muongozo Ata Ile Sauti ya baba au mama yake na ule upendo. Ata kule ndoani...
  2. Kuambatana na mke wako Kwa watu, haimaanishi una mapenzi ya dhati kwake

    Wanaume hatuoneshi mapenzi Kwa maneno au Kwa kujionesha Kwa watu Tunaonesha mapenzi Kwa vitendo na kuwajibika hapo mke na watoto watajua kweli anawapenda Kwa dhati Sio kutaja " I love you" mara 100 Kwa siku, wakati watoto hawana hawana ada, chakula na mahitaji Hapo mwanaume unaonekana huna...
  3. Ni rahisi kuwakamata wauaji wa Marehemu Ali Kibao ikiwepo dhamira ya dhati na iwapo Polisi watatumia mbinu hii

    Kwa kawaida hawa watekaji na wauaji wanapofanya uharamia kama waliomfanyia Ali Kibao RIP, huwa wana watu wao ambao huwa wamewapanga barabara zote watakazopita ili wasipate kizuizi mahali popote wakiwa na mateka. Hata wasipokuwa na mateka, wakishafanya tu uharamia, huwa hawataki wasimamishwe...
  4. Shukrani zangu za dhati zimfikie Mr Coy wa Cheka Tu kwa kuyazingatia maoni yangu

    Niliishauri timu nzima ya Cheka Plus dhidi ya maboresho yenye tija ambayo yalikuwa muhimu kuyatia maanani. Nimefurahi kwa kuwa 70% ya mawazo yangu kuhusu kituo hicho yameanza kufanyiwa kazi ikiwemo Cheka Plus kuibua vipaji zaidi hasa hasa muziki, naona sasa wasanii chipukizi wanapanda kwenye...
  5. M

    SoC04 Kutoka kwenye sakafu ya moyo wangu kwa ajili ya wenye mioyo ya dhati

    Nimefurahishwa sana na ukweli kwamba mimi ni Mtanzania. Hii si kwa sababu nina pesa sana na matatizo yote ambayo nchi yangu inakabiliwa nayo, lakini kwa sababu ninaona wakati ujao ni bora na wakati ujao uko karibu. Hili linaweza kuwa wazo gumu kwa wengine kwani wanaweza kutaka kwenda mbali na...
  6. K

    SoC04 Ili kuifikia "Tanzania Tuitakayo" ni lazima tuwe na uthubutu na nia ya dhati wote kwa pamoja

    Ubunifu katika Sekta ya Elimu kwa Uwezeshaji wa Kufikia Utoaji wa Huduma Bora kwa Jamii kwa Awamu Ili kuboresha elimu na kuhakikisha kila mtu anapata fursa sawa ya elimu bora, ninapendekeza mpango wa awamu unaojumuisha mambo yafuatayo: Miaka 5: • Kuboresha miundombinu ya shule: Hii...
  7. Ukweli wa dhati wa mwanadamu: Mume/Mke uliyenaye unaweza kuta wewe wala siyo chaguo lake

    Katika Dunia, kuna mengi ila mume/mke ulie nae, unaeza kuta katika ukweli wa ndani wa moyo wake wala wewe ulie nae sio chaguo lake, ila yuko na wewe ili mladi tu maisha yaende. Yaani unaeza kuta mwanaume/mwanamke yuko katika uhusiano lakini hisia zake na upendo wake wa dhati uko kwa mwingine...
  8. Tamaa na haja za kimwili zikiisha upendo wa dhati ama usio wa kweli hujidhirisha bayana

    Lengo na vichocheo vya kimwili vikijitosheleza baada ya kukutana kimwili, ndipo unaweza kuona uzuri na ubaya wa huyo ulokutana nae kwenye tendo. na ndio maana matamanio, hamu, ugwadu na upwiru huchochea sana watu wengi kujielaza kwa uongo na kweli, na kuwashawishi wenza wao hata kwa fedha na...
  9. G

    Dhana ya mapenzi ni uchafu na ukweli wake katika kubaini mapenzi ya dhati

    Dhana ya mapenzi ni uchafu ndiyo dhana pekee duniani iliyofanikiwa kupima na kubaini mapenzi ya dhati kwa usahihi. Yaani mtu anayekupenda kutoka ndani kabisa ya moyo na hisia zake mkiwa kwenye 6 kwa 6, atakula mate yako, jasho lako, kamasi lako na atalamba hata wayo wako. Hataona kinyaa wala...
  10. Wewe Dada. Binadamu pekee mwenye mapenzi ya dhati kwako hapa duniani ni mumeo

    Mama/Baba yako anakupenda tu kwa sababu wewe ni mwanae. Alikuzaa, umekuwa anakuona, mmekuwa na bond ya muda mrefu. Kaka na dada zako wanakupenda tu kwasababu wewe ni ndugu yao. Mmezaliwa pamoja. Mmekua pamoja. Lakini kuna huyu mwanaume. Mume wako. Ulishawahi kujiuliza kwanini anakupenda kiasi...
  11. P

    Serikali kuleta ndege mpya nchini Machi 26, 2024

    Ndege mpya ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Boeing 737-9 Max, inatarajiwa kuwasili nchini Machi 26 mwaka huu kutokea nchini Marekani, hii itakuwa ndege ya 14 kutoka ATCL.
  12. CDF Mstaafu Mabeyo ametaka kufikisha ujumbe. Je, wananchi tumeuelewa ujumbe?

    Ni miaka 3 imepita tangu Rais Magufuli afariki. Ni jambo la kawaida, hasa siku ya maziko au wakati wa kutangaza kifo, kutolewa taarifa za kina za mazingira ya kifo cha marehemu, na kama pengine marehemu alitoa kauli yoyote. Haikuwa hivyo kwa Hayati Magufuli. Wengi walipenda na walikuwa na...
  13. J

    Kwa moyo wa dhati kabisa naomba radhi kwa kuikejeli na kuidharau Yanga

    Yanga hongereni kwa kuvuka hatua ya makundi na kufikia robo fainali ya klabu bingwa Mmethibitisha kweli hakuna kisichowezekana kwenye mpira Nikiri Yanga niliwakejeli sana walipofungwa goli tatu na CRB kisha kuambulia sare na kuwa wamwisho kwenye kundi, nilikuwa nimewapa asilimia 20% tu za...
  14. Hii nchi Haitujali kwa Dhati

    Kwa kweli ndugu zangu wa Tanzania, haya ni mambo ambayo yanasikitisha na kuonyesha hii nchi haitujali kwa dhati (Unaweza ongeza yako) : 1. Hivi inawezekanaje ni agenda serious Kabisa kwamba watu tufunge Mikanda (Jambo jema sana), Lakini kuna Magari ya abiria yenye leseni, Bima, safe sticker na...
  15. Usioe au kuolewa na mtu uliyempenda kwa dhati

    Usioe au kuolewa na mtu uliyempenda kwa dhati( whatever that means because watu wanapenda tu wakiona watapata nn sana sana wanawake) oa au olewa na rafiki kipenzi na mtu mnayeendana kitabia, maadili na pesa. Mtu ambaye mw akili na km mtazaa una uhakika watoto watakuwa na Genes nzuri na mtu...
  16. C

    Mwanamke anapompenda mwanaume mwingine Kuna uwezekano kuwa na mapenzi ya dhati kweli ndani ya ndoa?

    Wakuu habari.. Kichwa kinjieleweza, nilipo sijalala Jana kwa hii kadhia, naombeni ushauri nimwache aende au tusuluhishe.,,😭😭😭
  17. Unyonge wa Walimu unaanzia mbali. Inahitaji muda na jitihada za dhati kuumaliza

    Ninaandika kwa masikitiko makubwa sana. Siku hizi imekuwa kawaida unatazama TV mara unaona muokota makopo akijisifia kuwa kazi yake inamlipa kuliko hata ya ualimu. Hujakaa vizuri unakuta mwenyekiti wa kijiji naye anawapa amri waalimu ili mradi tu mwalimu aonekane sio lolote. Unaingia FB unakuta...
  18. Sakata la Ngorongoro ni kweli wazungu wana mapenzi ya dhati na Tanzania?

    Nimewaza sana baada ya kuona bunge la umoja wa nchi za ulaya umepiga kura kwa wingi kabisa kulaani serikali ya Tanzania kuwaondoa kwa hiari wamaasai Ngorongoro . Hamaki yangu kubwa ilisimamia hapa 1. Je, ni kweli wanatupenda sana hawa wazungu kuliko ndugu zao wanaoteseka huko Ukraine ? Nchi...
  19. Kwa dhati kabisa tuwakumbuke wafuatao kwenye sala na dua zetu

    Tuwaombee; 1. Watu wote wanaopambana na magonjwa mbalimbali au majeraha ya ajali. Mungu awape nafuu na warudi kwenye hali zao kawaida. 2. Watu wote wanaohudumia wagonjwa. Wasikate tamaa na waweze kumudu gharama za matibabu ya wapendwa wao. 3. Watu wote wanaopambana na madeni. Mungu awatie...
  20. Nina haja ya dhati Lamomy wa JF kwenye maisha na huduma yangu daima

    Namshukuru Mungu kwa ajili ya yako na yangu, kwa wasaa huu muhimu, ambao ni zawadi kutoka kwa Mungu kwetu sisi sote. Tumeipewa zawadi hii bure na tuitumia bure, na kwahivyo yatupasa kuitumia vizuri kadiri tuwezavyo na kwa uaminifu, huku tukimshukuru yeye pekee daima, kila wakati tunapopata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…