dhaifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali inayobadilisha maamuzi yake kwa kutegemea upepo ni Serikali dhaifu, haifai

    Nimeshangazwa na hili hapa kama ni kweli: Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya Hivi inawezekanaje serikali (hapa serikali kwa maana ya watendaji wakuu wa serikali, mawaziri wakiwemo na vyombo vyao vinavyowasaidia katika...
  2. Mbowe: CHADEMA haijawahi kuibiwa kura katika uchaguzi wowote ila hushindwa ka sababu ya msingi dhaifu

    Mbowe alisema wazo la “Chadema Msingi” ambayo ilikuwa na lengo la kuwasajili wanachama wapya kuanzia ngazi ya chini, alilipata akiwa gereza la Segerea baada ya kusoma kitabu cha mwanazuoni kutoka taasisi ya NDI, Jean Sharp kinachoitwa “From dictatorship to democracy: How to fight dictatorship”...
  3. Athari za uongozi dhaifu zilizoletwa na Uchama kuanzia Wenyeviti wa vitongoji hadi madiwani zinavyokinzana na maendeleo

    Athari za uongozi dhaifu zilizoletwa na uchama kuanzia wenyeviti wa vitongoji hadi madiwani zinavyokinzana na maendeleo. Tafiti ndogo niliyoifanya mikoa mbalimbali hasa mkoa wa Kagera nimegundua kwamba mwaka wa ushindi wa kishindo ambao wapinzani walisusa uchaguzi viongozi wa CCM wengi wao...
  4. T

    Nini na siri ya vyama vingine vya siasa kuwa dhaifu sana huku vingine vikiwa imara sana?

    Naomba wajuvi wa mambo wanisaidie kuelewa kwani kila nikitafakari kwa kina sipata jibu linaloniridhisha. Hivi tofauti kubwa sana ya vyama vya siasa iko kwenye Nini? 1.Wanachama na viongozi kwa maana ya hulka za wanaokiunda chama!? 2.Muundo wa chama kwa maana ya jinsi chama...
  5. U

    UPDATES: Kimbunga JOBO hakipo

    Kimbunga Jobo chawa dhaifu baada ya kukaribia kuingia Tanzania Madhara ya kimbunga hicho sasa kupungua hivyo tuendelee kuchukua tahadhari Mungu ni Mungu Aksanteni kwa Maombi yenu Watanzania TMA UPDATES
  6. Tuna Spika dhaifu sana na kupelekea Bunge kuacha kujadili hoja za msingi

    Ndugai asiposikia tena hili ndo basi tena. Sauti ya leo ni sauti ya mwisho na asipoelewa atakuwa na tatizo la akili. Wananchi wamesema kwa muda mrefu, wataalamu wamesema, viongozi wa dini wamesema. Lakini ni kama ameweka pamba masikioni. Sasa amezungumza raia namba moja. Ndugai achague kusuka au...
  7. CAG Assad Mungu ampe maisha marefu sana. Aliweka wazi kuwa Bunge ni dhaifu halafu kuna watu wakaja juu na kumuondoa

    Mh CAG Assad Mungu ampe maisha marefu sana,aliweka wazi kuwa bunge ni dhaifu halafu kuna watu wakaja juu na kumuondoa. Ule udhaifu aliousema ni huu uliotufikisha hapa leo. KATIBA imeweka wazi kazi ya bunge ni KUSIMAMIA na KUISHAURI serikali. Hii kazi ya KUSIFU tu wameitoa wapi? Tulijiuliza...
  8. U

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametengua uteuzi wa viongozi 23 wa Wakala wa RUWASA, meneja wa Mkoa wa Geita na mameneja wa wilaya 20

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametengua uteuzi wa viongozi 23 wa Wakala wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira (Ruwasa) akiwemo Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi za mamlaka hiyo, Deusdedith Magoma. Aidha, Aweso ameiagiza Bodi ya wakurugenzi ya Ruwasa kutengua uteuzi wa meneja wa anayeshughulikia...
  9. J

    Watu dhaifu ni hatari sana, wanakuwa hatari zaidi wanapopata fursa za uongozi

    Naam, wana bodi ! Niende moja kwa moja kwenye mada. Nayo inahusu watu dhaifu. Watu dhaifu ni watu hatari sana. Wakiwa wanasiasa wanakuwa hatari zaidi. Ni waoga wa mabadiliko. Waangalie wale wote waliobeba agenda ya mitano tena. Karibu wote ni dhaifu kisiasa na kijamii. Wanaposema mitano tena...
  10. Nikikubali mtaniona 'dhaifu' ila nikikataa 'nitaumbuka' zaidi lakini 'nikinyamaza' naweza 'Kunyimwa' zaidi. Je, lipi jema?

    Ogopa sana kumfanyia Unyangindo (Uhuni) Mtu ambaye anakujua vyema kuliko hata Wewe unavyojijua halafu hata ukiwa tu na shida unamkimbilia. GENTAMYCINE nimekula 'Pesa' ya Mzungu tena ambaye ni Rafiki yangu mkubwa tu ila kuna 'Hela' fulani alinipa ili 'niitibie' Familia yangu kwa 'Ugonjwa' mkubwa...
  11. CHADEMA tulieni huu sio wakati wa kuleta kokoro, Uongozi dhaifu wa Mwenyekiti kuishiwa mbinu na kuanza kutengeneza makundi tatizo lilianzia hapo

    Wana JF Kilichofanya vyama vya upinzani kupigwa chini, ni matokeo mabaya ya uongozi wa Mbowe na kundi lake tiifu. Ndani ya chama chao ilianza fukuzana fukuzana. Ikaja susia susia watu walioona mbali wakaanza kujiondoa kwa kuunga juhudi upande wa pili. Hayo pia yaliyokea CUF ya Lipumba. Uovu kwa...
  12. Mauzo ya Iphone yawa mabaya, hisa za Apple zimeshuka sababu ya mauzo dhaifu

    Mauzo ya Iphone yamekua madogo kuliko matarajio ya kampuni ya Apple kupelekea hisa za kampuni kushuka kinyume na matarajio Apple. https://mobile.reuters.com/article/amp/idUSKBN27E3FP?__twitter_impression=true
  13. GE2020 Hata uchaguzi wa 1995 ambao vyama pinzani vilikua dhaifu kuliko CCM bado vilipata wabunge na madiwani

    Uchaguzi wa Jana ni zaidi ya vituko. Tujikumbushe kidogo 1995 kwenye uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi baada ya sote baada ya ushauri wa baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kukubaliana tuwe na mfumo wa siasa za vyama vingi. Kipindi hicho jamii kubwa ya watanzania haikuwa na uelewa mpana wa vyama...
  14. J

    Madaraka Nyerere asema atastaafu siasa siku chache zijazo!

    Mtoto wa Baba wa Taifa ndugu Madaraka Nyerere amesema atastaafu siasa siku chache zijazo. Ikumbukwe kuwa Madaraka alikuwa mwenyeji wa mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu alipotembelea Butiama na kulala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere. Source: Radio One Maendeleo hayana vyama!
  15. J

    GE2020 Dkt. Bashiru: CCM mwaka huu itavunja rekodi kwa kupata ushindi mkubwa wa kihistoria kwa sababu tunashindana na vyama dhaifu sana!

    Katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru amesema CCM itapata ushindi mkubwa na wa kihistoria ambao haijawahi kuupata tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Bashiru amesema mwaka huu CCM iliyoshikamana bila uwepo wa makundi inashindana na vyama dhaifu sana vya upinzani. Chanzo: ITV habari ------ MWANDISHI...
  16. GE2020 Kama wewe sio dhaifu kwanini utafute kupendelewa?

    MTU DHAIFU HUTAFUTA UPENDELEO; JE LISU ANAPAMBANA NA MTU DHAIFU? Na, Robert Heriel Kikawaida watu dhaifu hutafuta kupendelewa, hutafuta dezo kwa watu. Pia kikawaida watu dhaifu ndio hupewa upendeleo na huukubali huo upendeleo kwa kuwa wanajua hawastahili. Hii ni tofauti na mtu hodari. Mtu...
  17. J

    Hoja dhaifu juu ya Gwajima lini alikuwa mwana CCM-usiachie mwiba unawachoma

    Wananchaama na wafuasi wengi wa vyama vya upinzani ukiwa msema ukweli na mpinga ufisadi basi wanakuona wewe ni mpinzani na kwa upande mwingine si MWANA CCM kisa tu unasimamia ukweli. Kama utakuwa mfuatiliaji wa hotuba mbali mbali na makemeo ya Mgombea wa CCM Jimbo la kawe utagundua ujasili...
  18. Polisi Tanzania nipeni 'Rukhsa' ya 'Kuwashikisha' Adabu Wanaume 'Dhaifu' na 'Wazembe' kama hawa kwani Wanatutia mno Aibu

    Mfanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) jijini Dar es Salaam, Ombeni Alfayo, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumkata mke wake kiganja cha mkono wa kulia kwa sime kwa madai ya wivu wa kimapenzi. Nipashe Ukiona Mwanaume yoyote anafanya 'Upumbavu' na 'Ushamba' huu jua...
  19. GE2020 Je, kutokuwa na Tume Huru ya Uchaguzi kunachangia kwa kiasi kikubwa kutokuwa na Uchaguzi usio Huru na wa Haki?

    Tunapoelekea kipindi cha kampeni tuna tegemea hoja nzito haswa kutoka kwa wagombea wa upinzani kuhusu serikali ya awamu ya tano kushindwa kuweka mifumo ambayo ingewezesha tume huru ya uchaguzi kuwepo. Lazima tufahamu kwamba Tume Huru ya Uchaguzi ni shirika linalo jitegemea pamoja na kuwa na...
  20. K

    Media Tanzania bado ni dhaifu sana. Kuna haja ya kujifunza kutoka wa wenzao wa Kimataifa

    Nimejaribu kufuatilia habari mbalimbali zinazotoka katika vyombo mbali mbali vya habari (Media) hapa nchini hasa katika kipindi hiki cha Msiba wa Mkapa. Jambo la kusikitisha ambalo mimi binafsi nimegundua ni kwamba bado wapo mbali saana (nyuma) katika weredi wa jinsi gani ya kuandaa taarifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…