dhaifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Matajiri siku zote humchagua kiongozi dhaifu ili wawe huru wafanye watakavyo

    Ndicho kilichotokea katika inchi ya kusadikika sasa hivi watu wanajipigia tu wanavyotaka
  2. X

    Wanaume dhaifu mmeona game ilivyochezwa na 'Russian guy?' Kikombe cha maji and straight to bed

    Mrussia hakutaka kujimaliza kama SIMPS wengi mnavyofanya Alisikika tu akisema: "Hello. How are u doing? You look good. I'm from Russia My English bad Come with me." Magetoni mademu wanapewa kikombe cha maji wanalombwa. Kama wewe unataka kuhudumia na kupay bills, valentine gifts, dinner dates...
  3. Huwezi kuwa mwana-CCM kama siyo mbinafsi

    Mtanzania yeyote mwenye akili timamu hawezi kuishabikia CCM na ukimuona mtanzania yupo CCM jua ama anaitumia CCM kwa maslahi yake binafsi au anatumiwa na wanaoiongoza CCM kwa maslahi yao binafsi. Huwezi kwa sasa kuwa mwana CCM kama wewe siyo mbinafsi.
  4. Kuna muda natamani kuuliza kuwa kwanini Mwigulu anajibu hoja dhaifu (sana) jukwaani ila naogopa naweza kutekwa

    “Uranium haiwezi kuwa na umuhimu kwa watu ambao hawajui afya zao zitarejeshwaje wakiugua. Watoto wao wanasoma mazingira ya duni.......” Mfano hoja ya “wanaomezea mate madini ya uranium”. Kulikuwa na haja gani ya kuizungumza jukwaani wakati hao wanaomsikiliza wanashida ya maji toka dunia...
  5. Hivi huyu Maza anatuchukuliaje Watanganyika aisee?

    Nimejaribu kuisikiliza hotuba ya Rais zaidi ya mara 10, binafsi nasema ni hotuba inayoamsha hisia ngumu kiasi cha kuionea wivu aina yoyote ya siraha . Yule Maza anapaswa kukutana na mkono usiyovaa gata gloves Eti wazazi mlishindwaje kuwakataza watoto wenu Yaani anaamini vipi na wale...
  6. PostGE2025 Kuiba uchaguzi ilianza mdogo mdogo kudokoa hawakuanza tu kuua watu kwa siku moja pia na hii ni baada ya kuona vyombo vya usalama ni dhaifu

    Kuiba uchaguzi ilianza mdogo mdogo kudokoa hawakuanza tu kuuwa watu kwa siku moja pia na hii ni baada ya kuona vyombo vya usalama ni dhaifu. Mtu kwasasa anafanya mapinduzi ya nchi kwa kuiba uchaguzi alafu vyombo vya usalama vinajioa akili na kumpigia saluti kuwa ni rais. Wananchi tutachukua...
  7. PostGE2025 JWTZ imeonyesha udhaifu mkubwa! Ilikuwaje mkaruhusu vifo vya Wananchi mnaotakiwa kuwalinda (kama Jeshi la Wananchi)?

    Kwa jeshi hili siku tukijichanganya kwa Burundi tutachapika vibaya mno, ndani ya masaa 8 nchi yote itakua mikononi mwa Burundi. Wanajeshi wetu mnachoweza nikukamata vijana waliovaa sare zenu basi Msije kujichanganya kwa Burundi au Rwanda. Nimemaliza.
  8. Mfumo dhaifu wa uajiri askari ndani ya vyombo vya usalama unaweza kupitisha majambazi na wauwaji hali inayoweza kuhatarisha usalama wa taifa

    Mfumo dhaifu wa uajiri askari ndani ya vyombo vya usalama unaweza kupitisha majambazi na wauwaji hali inayoweza kuhatarisha usalama wa taifa. Badala ya vyombo vya usalama kulinda raia vinakuwa vinajihusisha na ujambazi
  9. Uislamu hautaki mtu dhaifu. Nipo tayari kuungana na wananchi wenzangu

    Mimi ni muislamu. Uislamu hautaki mtu dhaifu Pia ni mwanaume , najivunia kwa hilo. Nipo tayari kuungana na wananchi wenzangu. Tusiangushane. Hatuna muda mwingine zaidi ya huu. Tukipoteza hii nafasi hatutoipata tenaaaaaa.
  10. Polepole angeokotwa kabla Octoba 29 akiwa na kimfuko chake cha karanga na taulo akiwa dhaifu mwenye depression tungefurahi

    Maombi kwa awaye yote. Mwenye nguvu. Yangetokea maajabu kwa ndugu Polepole mfano wa yanayo watokea makasisi sijui mapadre wa Katoliki ya kupotea kisha kuokotwa siku kadhaa wakiwa hai huku wana msongo wa mawazo (depression) taifa lingepona. Chuki na hasira zingepoa. Visasi visingetarajiwa siku...
  11. D

    Kuhusu ndevu ama mavazi, hoja za Butiku ni dhaifu mno

    Nadhani Mzee Butiku kapaniki tu maana anajua mtiti aliokabiliana nao kaka yake mwaka 1964 jeshi lilipoasi. Lakini hawa hapa ni Wanajeshi mashuhuri kabisa sasa aje hapa Butiku aseme wao kuwa na ndevu ama kuvaa “pull neck” kumewapunguzia sifa gani? Fidel Castro Paul Kagame Assimi Goïta
  12. Nlisema haya kuhusu Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, ni miongoni mwa Marais wenye udhaifu

    Hapa ni baadhi ya sababu ambazo watu Wafaransa wanamkosoa au kukosa upendo kwa Rais Emmanuel Macron, na kwanini baadhi wanaona “bogus” au haaminiki. Kuna mambo mengi, si yote yatakukubalika na kila mtu, lakini nitajaribu kufafanua kwa nini hisia hizo zipo. Sababu kuu za kutokupendwa kwake 1...
  13. Njia ambazo wapinzani mnazitumia ni dhaifu pro max, kwa ufupi ni kwamba hamjielewi.

    Let us say Abdul ameiba mabilioni yenu na kununua gari ya Bilioni mbili kama mnavyoaminishwa. Tuassume ni kweli Samia ameuza bandari kama mlivyoaminishwa. Tuassume Kikwete anaendesha nchi kwa sasa kama mnavyojazwa upepo. Hapo mlipo mnasubiri CCM iachie madaraka kwa kelele za Mange Kimambi, yaani...
  14. Tunaenda Robo Fainali ya CHAN 2024, ila huu ukweli kuwa Taifa Stars ni DHAIFU lazima usemwe. Kenya na Uganda wako vyema Kiufundi kuliko Sisi

    Kwakuwa hata Ibada ya Katoliki niliyohudhuria hii leo inasema kuhusu Mtume Jeremiah alivyochukiwa na kuadhibiwa kwa kuwa Mkweli hata Mimi GENTAMYCINE kama kawaida yangu ya kuwa Msema Ukweli Maishani na hapa JamiiForums kwa kujiamini kabisa nasema Taifa Stars bado si timu Shindani CHAN 2024...
  15. Unadhani ni kwanin wapinzani dhaifu kiuchumi hususani Chadema masalia wanaumizwa sana na hali ya CCM kua na wanachama matajiri wa hoja, mali na fedha?

    Nini hasa sababu ya wapinzani kughadhabishwa mno na wanaCCM kukichangia chama chao mabilioni ya fedha ndani ya masaa kadhaa tu? My friends, ladies and gentleman, Chama cha siasa ambacho kimeshindwa na hakiwezi kujikomboa chenyewe kiuchumi kwa mikakati yake na hazina ya wanachama wake, kamwe...
  16. Je, kauli ya Nchimbi kuwa raisi hatakiwi kuwa dhaifu inamaana gani ?

    Je, kauli ya Nchimbi kuwa Rais hatakiwi kuwa dhaifu inamaana gani ? kwa yanayoendelea kwa sasa nchini. Tafakari,
  17. Jimbo la Sikonge Tabora inakuaje mnaweka viongozi dhaifu sana ?

    Mlianza na Said Nkumba , mkaja Joseph Kakunda kwa ila kwa Munde. Mpo sahihi. Mnabidi kujitafakari Sana .
  18. Ukweli usemwe Polepole ni dhaifu na hakukata kiu

    Habari za Sabato watu wa Mungu, Niende kwenye Mada Kwa ufupi Sana, Nimewaza mengi lakini kubwa huenda Wazee wetu walioasisi hili Taifa letu (Tanganyika) hakuwa JASIRI kama ambavyo tunawasoma kwenye historia. Kiongozi shupavu haogopi ushindani, kuwajibika na kukubali ukosoaji mfano tangu...
  19. Alichokifanya US Jana imeonyesha Israel ni Taifa Dhaifu na halina uwezo wa kuulinda uwepo wake

    Mwanzoni nilidhani ni uongo, nimeshangaa kumbe kweli Israel ilikuwa haina uwezo wa kulipa mitambo ya Nyuklia Fordow. Licha ya kumiliki Bunker Boosters lakini vyote vinauwezo wa kukwangua tu maandaki. Hili tukio maana yake ni nini? Israel haina uwezo wa kujilinda na hailindwi na Mungu bali US...
  20. Hayati Magufuli alikosea kwenye mambo mengi mno. Kubwa mojawapo ni kumchagua huyu mtu

    Mtu huyo ni Rais Samia! Nashawishika kabisa kuamini kuwa huyu Samia alichaguliwa kutokana na jinsia yake tu [kama ilivyojuwa kwa Kamala Harris…the word salad queen…kule Marekani]. Ref: Uchaguzi 2020 - Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…