dhahabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Marekani: Polisi yaruhusu maandamano ya waTanzanians tarehe 23 Oktoba 2026 in Washington kukumbuka mauaji ya Oktoba 29

    An event titled “East Africa Diaspora Protest” is advertised on Eventbrite by the East Africa Diaspora Movement. According to the announcement: Date: Friday, 23 October 2026. Time: 9:00 a.m. to 1:00 p.m. Location: US Department of State, 2201 C Street NW, Washington, DC. Purpose: To advocate...
  2. JamiiForums Tanzania Je unatamani kujua nini ufanye ili uweze kuuza dhahabu yako nje ya nchi? Mfano, soko la Dubai na nyaraka gani unatakiwa uwe nazo?

    Gharama za kusafirisha dhahabu kilo moja (1 KG) kutoka Tanzania kwenda Dubai hazina kiwango kimoja cha usafiri (flat rate), bali zinajumuisha kodi na tozo za serikali (Tanzania) pamoja na gharama za usafirishaji na ulinzi (Logistics & Insurance). Ili kusafirisha na kuuza dhahabu kwa njia za...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa wimbo "Dje Melasi" (T.P. OK Jazz): Shule ya Rumba, Utunzi wa Mose Fanfan na Sauti za Dhahabu za Youlou Mabiala

    Habari za jioni wana-JamiiForums (JF Entertainment)! Leo natamani tuimbe na kurudi nyuma kidogo kwenye zama za dhahabu za muziki wa Congolese Rumba. Tukizungumzia bendi kongwe na yenye heshima kubwa barani Afrika, T.P. OK Jazz chini ya maestro Franco Luambo Makiadi, hatuwezi kuacha kutaja wimbo...
  4. E

    JamiiForums Tanzania TANZIA Buriani Carlyto Lassa: Sauti ya Dhahabu ya Rumba Iliyoishia Madhabahuni

    Tasnia ya muziki barani Afrika, hususan wapenzi wa Rumba ya Kongo na muziki wa Injili, imepata pigo kubwa kufuatia kifo cha nguli Charles Ndombasi Lassa, anayefahamika zaidi kama Carlyto Lassa. Mwimbaji huyu mwenye sauti nyororo kama asali, mtunzi, mpiga gitaa, na mchungaji, amefariki dunia...
  5. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kukamatwa na kushitakiwa ni kuvikwa taji la dhahabu

    "Kwenye siasa za ukombozi siyo hizi za udalali, kukamatwa na kushitakiwa ni kuvikwa taji la dhahabu". Tundu Lissu akihutubia watia nia April 3, 2025
  6. JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa Moro wamegundua machimbo ya dhahabu?

  7. JamiiForums Tanzania Inawezekana kuwa dhahabu hii? Nashindwa kuelewa

  8. JamiiForums Tanzania Dhahabu yafumuka Dar, Vijana wahini maduara.. Katoro msije

    Unahama Dar Uwende wapi? Dhahabu imetufuata yenyewe... Uzuri tuna nyenzo za kisasa. Hakuna kutumia Mundu ukija Chanika
  9. JamiiForums Tanzania Kwa mtu yeyote anayehitaji kushirikiana katika uchimbaji wa dhahabu

    Wadau,ni kwamba tunatafuta mtu wa kushirikiana nae katika uchimbaji wa dhahabu,maana yake ni kwamba,tumefikia hatua tumeishiwa lasilimali fedha,kwaiyo tunatafuta mtu atakae kuwa tayari kutuunga mkono ili tufike kwenye uzarishaji. Atakae wiwa kushirikiana na sisi anakaribishwa kutembelea site na...
  10. JamiiForums Tanzania Nimekumbukwa, kieneo changu cha Makunganya huko Morogoro nasikia imegunduliwa dhahabu, watu wamekivamia. Walahi tutatoana macho

    Hamjambo wote! Baada ya wanaonichukia kunidhihaki, kuniponda, kunikejeli na kuninyali. Huku wanisema sina hili wala lile. Sina maisha wala kitu chakufanya. Wengine wamefika mbali wakinitukana na kuniambia nashinda tuu mitandaoni kurushiana maneno na watu. Sasa nimekumbukwa. Mambo yanaenda...
  11. JamiiForums Tanzania Anayepajua Mkundi mwisho Morogoro atupe ramani naskia Kuna Machimbo ya Dhahabu.

    Naombeni location wakuu kwa anayepajua
  12. JamiiForums Tanzania Nafikri Geita na Tarime ndio wilaya zenye ardhi yenye dhahabu ya kutosha ila nashangaa Tarime ukuaji upo slow. Kimbieni kule muwekeze vita hakuna tena

    Naelewa mlikimbilia mwanza, rudini, tarime pamekucha. Njoo uwekeze ustaafu kwa raha na sio kupishana na kuku huko mashambani😁
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuliko kupewa msaada kama huu bora wachimba dhahabu wa Katoro wawe wanaichangia serikali.

    Kama watu wanafanya harusi ya zaidi ya bil 3 alafu wanaacha serikali yao inapewa msaada wa bil 2.6 kwa manyayasho. Hapo hakuna busara
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuliko kupewa msaada kama huu bora wachimba dhahabu wa Katoro wawe wanaichangia serikali.

    Kama watu wanafanya harusi ya zaidi ya bil 3 alafu wanaacha serikali yao inapewa msaada wa bil 2.6 kwa manyayasho. Hapo hakuna busara
  15. JamiiForums Tanzania Tunatafuta muwezeshaji kwenye kazi yetu ya uchimbaji wa madini ya dhahabu

    Wakuu salaam, Husika na kichwa cha habari hapo juu,sisi ni wachimbaji wadogo tunaopatika hapa kata ya runzewe Kijiji cha burumbaga mkoa wa Geita. Tulianza kazi hii ya utafiti tukiwa watu wanne na hadi sasa tumefika watu nane,katika kuanza tulianza tukiwa na mtaji kidogo sana wa kuendesha kazi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta dhahabu ya kununua

    Kama wewe ni mchimbaji mdogo una dhahabu unauza mimi natafuta dhahabu ya vipande (gold nuggets) za kununua. Hasa wale ambao wamepata dhahabu machimboni kwa njia zisizo rasmi na wanatafuta soko karibuni pm
  17. JamiiForums Tanzania Natamani sana kumiliki dhahabu

    Wakuu, salamu. Katika mali ambazo natamani sana kumiliki basi ni Dhahabu. Tayari nina viwanja, sasa nataka kumiliki Dhahabu. Naombeni mwongozo.
  18. JamiiForums Tanzania Kuelekea 7/7 (Jubilee ya Dhahabu)

    Maadhimisho ya mwaka huu ni ya kihistoria kwani yanasherehekea Jubilei ya Dhahabu (Miaka 50) tangu kuanzishwa kwa maonyesho haya. Kuna kitu kinajiinua hapa.. Kutokana na kuwepo tetesi/maandalizi ya maandamano ambayo ni haki kikatiba Vitisho vimeshaanza kutolewa kila kona.. Ni wazi kuna...
  19. JamiiForums Tanzania Kama wazee wetu walikutwa wanacheza bao na dhahabu, kwanini tuwalaumu mabeberu?

    Historia ya Afrika imejaa simulizi za utajiri wa rasilimali, lakini pia simulizi za kuporwa kwa rasilimali hizo. Mara nyingi lawama zote hupelekwa kwa mabeberu wakoloni na makampuni ya kimataifa kwa sababu ya kuhodhi thamani ya dhahabu, almasi, mafuta na madini mengine. Lakini tukirudi nyuma...
  20. JamiiForums Tanzania Changamoto ya masoko katika biashara ya kununua madini:gemstones vs dhahabu

    CHANGAMOTO YA MASOKO KATIKA BIASHARA YA KUNUNUA MADINI: GEMSTONES VS DHAHABU Unapoingia kwenye biashara ya kununua madini tambua kuwa hii ni biashara kama biashara zingine, madini ni bidhaa kama bidhaa zingine unazoenda kununua na kuuza kwa wanunuzi hivo hata madini yako hivyo pia... Kamwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…