deni la taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania StanChart Bank Yaipatia Tanzania Mkopo Nafuu wa Shilingi Bilioni 1.4 Kwa Ajili ya Sgr Lot 3 & 4

    Bank ya Standard Chartered imeipatia Tanzania Mkopo Nafuu wa Shilingi Bilioni 1.4 Kwa Ajili ya ujenzi wa mradi wa reli ya Sgr kwenye lot 3 na 4.. ======= The Tanzania government has received a grant of 1.4bn/- (approximately $ 596,406) from International Standard Chartered Bank Ltd which will...
  2. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Deni la taifa likifika Trillion 200, nahamia Burundi rasmi

    Kwakweli sitakuwa tayari kulipa deni kubwa kama hilo wakati halijanisaidia mimi wala taifa langu kwa namna yoyote ile. Natoa mifano michache; 1) Unapokopa chanjo za mafua za Trillion 2, halafu wanachoma watu 100 tu, faida yake hasa kwangu binafsi na kwa taifa ni lipi kiasi tukamuliwe tozo za...
  3. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Countdown: Naomba niwe napewa updates za deni la taifa hadi litakapofika Trillion 100

    Kwa heshima zote naomba kila itakapopatikana taarifa ya deni jioya lataifa, tuwe tunapeana taarifa on a step by step basis hadi deni litakapofika Trillion 100. Pia napendekeza ile siku deni letu linagonga Trillion 100 tuweze kuangalia miradi mbali mbali iliyokamilishwa kwa mikopo iliyosababisha...
  4. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Maulid Kitenge wa E-FM amvaa Mwigulu kuhusu Deni la Taifa. Maswali ni mengi kuliko majibu, kulikoni?

    MTANGAZAJI Maarufu nchini Maulid Baraka Kitenge amemtaka Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba kujitokeza hadharani na kujibu hoja zinazohusu Mikopo kwani sasa Deni limefikia Trilioni 91 na walipaji ni sisi wananchi tunataka majibu "tunazungumza na wewe Mwigulu kama taifa haya maswali ni...
  5. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa la Marekani

    Kuwa na madeni ya mikopo ni jambo la kawaida sana kwa maendeleo ya mwananchi au taifa lo lote hapa duniani. Msikilize hapa seneta wa USA anavyoelezea ukubwa wa deni la mikopo ya taifa hilo kubwa ulimwenguni.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: UNDP imetoa orodha ya nchi 54 duniani zilizoelemewa na deni la Taifa. 25 zinatoka Afrika Tanzania haipo, tukope zaidi tujenge Uchumi zaidi

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila kupitia Ukurasa wake wa Instagram amewafunda wanaolalamika Kuhusu ukuaji wa deni la Taifa. Kafulila amesisitiza kama Taifa lazima tukope zaidi ili tujenge uchumi wetu zaidi, Mhe Kafulila anasema hata Japan ambayo ni nchi ya...
  7. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Kufanyike uhakiki wa Deni la Taifa

    Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kutekeleza miradi mikubwa ya miundombinu ikiwemo ya reli ya kisasa ya SGR, ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere na barabara za mwendokasi kutoka katikati ya mji wa Dar es Salaam kwenda Mbagala. Hata hivyo serekali ya Rais Samia imeweza kupata...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Mwigulu anasema hakuna Mtanzania atagongewa mlango alipe Deni la Taifa, kwani tozo maana yake nini?

    Mimi ni layman wa uchumi lakini alichoongea leo Mwigulu Nchemba katika kipindi cha 360 Clouds TV ni Doctorial Rubbish, amesema, "Hakuna siku Mtanzania atakwenda kugongewa mlango kwamba sasa atoe mbuzi alipe Deni la Taifa. Na hakuna siku Mtanzania ataambiwa alipe Deni la Taifa atoe mchango...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania John Heche: Walio Madarakani Wanatengeneza umasikini, Deni la taifa lafika Trilioni 94. Bandari ya Dar yazidiwa na Mombasa

    Chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Nyasa kimefanya kongamano la kisiasa lenye lengo la kutoa elimu kwa wanachi juu ya haki zao. Mhe. Mchg. Peter Msigwa, mbunge Mstaafu wa Iringa Mjini, Joseph Mbilinyi, Mbunge Mstaafu wa Mbeya Mjini na Mbunge Mstaafu wa Tarime Mhe. Heche ni...
  10. Mocumentary

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa lafika TZS trilioni 91.03

    Hadi Oktoba 2022 Deni la Taifa liliongezeka kufikia dola za Marekani milioni 39,006.1 (TZS trilioni 91.03) kwa mujibu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Kati ya kiwango hicho, TZS trilioni 64 ni deni la nje, huku deni la ndani likiwa ni TZS trilioni 26.6. ---- Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt...
  11. naliwe

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata deni la taifa hadi kufikia leo?

    Wakuu naomba msaada katika hilo.
  12. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Deni la Taifa

    Deni la taifa huwa linapimwa kwa ustahimivu yaani wanatazama uchumi wa Nchi kisha wanaangalia kama hili deni linaweza kulipika. Ukiona deni na bado wanaweza kukopa inamaana kuwa hilo deni ni stahimivu. Deni haliwezi kua tamu, deni ni chungu sababu tutalazimika kukata baadhi ya matumizi ya...
  13. Replica

    JamiiForums Tanzania Mchumi: Wengi wakisikia 'figures' za Deni la Taifa wanaogopa, kama lipo kwaajili ya miradi itakayozalisha lina tija

    Mhadhiri wa chuo kikuu cha Dodoma, David Mwakapala akiwa Bungeni Dodoma amesema watu wengi wanaogopa idadi ya tarakimu likisemwa deni la Taifa au Serikali ikiingia mkopo. Mwakapala amesema deni baya ni ile inayoingia kwenye 'Productive activies' lakini inayokopwa inaingia kwenye miradi ambayo...
  14. Bikirajohola

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba: Deni la Taifa lafikia Tsh Trilion 69.44

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Aprili 2022, deni la Serikali lilikuwa Sh69.44 trilioni ikilinganishwa na Sh60.72 trilioni kwa kipindi kama hicho mwaka 2021, sawa na ongezeko la asilimia 14.4. Kati ya kiasi hicho, deni la nje lilikuwa Sh47.07 trilioni na deni...
  15. OLS

    JamiiForums Tanzania CAG amesema deni la Taifa limepanda kwa 13.7% kutokana na kushuka kwa thamani ya shilingi

    Naendelea kuipitia ripoti ya CAG ambayo imesema deni la Taifa limeongezeka kwa 13.7% kwa mwaka wa fedha 2020/21 ambapo mwaka uliotanguliailiongezeka kwa 7% ongezeko limetajwa ni kwa sababu ya kushuka kwa thamani ya shilingi. Deni la nje ndio limekuwa kwa kasi kuliko deni la ndani ambapo deni la...
  16. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Deni la taifa linadaiwa kuongezeka kwa 13% na kufikia Tilioni 64+

    Hii ni zaidi ya hatari! Japokuwa wanaendelea kujitetea kwamba deni la taifa bado ni himilivu lakini ukweli kama Nchi tunadaiwa pesa nyingi sana na hali hiyo lazima inaipa wakati mgumu Serikali kukusanya mapato yake. Sipati picha ongezeko hilo lingetokea wakati wa Utawala wa JPM!
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Ufaransa: Tanzania yasaini Mkataba wa Mkopo wa Masharti nafuu wa Euro Milioni 178

    Utiaji Saini wa Mikataba na Makubaliano hiyo unalenga kuendeleza Uhusiano kati ya Mataifa hayo mawili. Miongoni mwa Makubaliano hayo ni Mkataba wa Mkopo wa Masharti nafuu wa Euro Milioni 178 kwa ajili ya kugharamia mradi wa ujenzi wa barabara wa mabasi yaendayo haraka Vilevile, Tanzania na...
  18. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba afafanue kwanini tunakopa kulipa deni

    Binafsi naamini huku mtaani hata mtu binafsi ukifikia hatua ya kukopa Ili kulipa deni unakuwa umefikia point of no return. So how on Earth kama nchi tumefikia hapo . Je hii ni hali ya kawaida? Tushawahi kufika hatua hiyo before? Madeni ni hulka ya mtu, mtaani kuna watu hawaogopi madeni ila...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Sita imeshakopa Trillion 10 ndani ya miezi 9 madarakani. Tunaomba ufafanuzi

    Mbatia katika hotuba yake ya mwisho wa mwaka alisikika akisema mpaka sasa Serkali ya awamu ya sita imeshakopa takriban Trillion 10 tokea iingie madarakani! Nauliza kwanini serikali haiji kutoa ufafanuzi wa kutosha badala yake kufunika funika mambo?. Mheshimiwa Spika Ndugai japo kaomba msamaha...
  20. markp

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa la Tanzania kamwe halitalipika wala kupungua, tusidanganyike

    Deni la taifa kila rais anayeingia analiongeza kwa urefu na upana anaotaka. Kama MKAPA trl 23, KIKWETE Trl 20 na MAGUFULI Trl 29 ukijumlisha hao tu unapata 72 na sasa tunaambiwa deni ni maeneo ya 70 huko huko sasa nani atakuja kuwa Rais ambae hatakopa ila atalipa au kupunguza deni kama wote...
Back
Top Bottom