demokrasia

  1. JamiiForums Tanzania Wakati JPM akipondaponda demokrasia, hii ndiyo shughuli aliyokuwa akifanya Polepole, aliisahau katiba mpya, atakumbukwa kwa kusifia "vieitee"

    Alikuwa Katibu Mwenezi wa CCM aliyetumia muda mwingi kufanya mambo yasiyoeleweka. Alikuwa anakata mauno mbele ya watu, badala ya kuongelea wakulima, wafugaji au katiba mpya.
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA sio waumini wa demokrasia kweli, wakipata dola watatunyanyasa kwa udikteta

    Nimesema hivyo kwa sababu, CHADEMA pamoja na wanachama wao, hawaamini, hawakubali na wala hawaridhiki mtu mwingine kuwa na mawazo na maamuzi tofauti na wao. Wanalazimisha yule watakayemfanya adui, LAZIMA kila mtu amfanye adui. Ukiamua binafsi kwa maslahi na faida yako mwenyewe Ukamfanya rafiki...
  3. JamiiForums Tanzania Orodha ya Maadui wa CDM

    Mbowe KIGAILA MWALIMU CHAUMMA ZITTO SPIKA JAJI MKUU MAHAKAMA YANGA ENG HERSI ALI KAMWE Kwa ufupi kila mtu ni mbaya kwao.hii ni dalili ya kuchanganyikiwa kitaalamu inaitwa paranoia yaani ukichaa unaoogopa hadi ndugu au mwenza wako. Ongeza orodha
  4. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Mwansiasa Kenya ashauri EAC isijikite katika Biashara tu ifike hatua kuwatenga wale wasiofuata utawala wa sheria na demokrasia

    GT Naona kaamuamua kupiga dongo. Baadhi ya viongozi kiaina.. anasema hakuna maana yakuwa na ushirikiano na watu wakandamizaji wa demokrasia. === During the EALA games opening ceremony, Mombasa senator Omar Hassan took stage and urged East African leaders to fight for common standard and strive...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 IGP Wambura: Jeshi la Polisi halitamvumilia mtu au kikundi cha watu, watakaojaribu kuvuruga amani ya watu kwa namna yoyote ile

    Mkuu wa jeshi la polisi nchini Camillus Wambura amesema jeshi hilo halitovumilia mtu au kikundi cha watu watakaojaribu kuvunja amani ya nchi kwa namna yoyote ile. IGP Wambura amesema hayo katika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Agosti 11, 2025 katika Shule ya...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ni uhuru wa watu ambao haupo duniani kote

    Huwezi kuwa na mfumo wa demokrasia kwenye mfumo wa ubebali au ubeberu,ni nchi gani hiyo uingereza,urusi,marekani,ujeruman,nk? Kiuhalisia nchi zote duniani zinafuata mifumo ya kidini ambayo huitaji pesa tu na si vinginevyo Ukiondoa mifumo ya ubebari,ubeberu na dini utabakiwa na mfumo wa UJAMAA...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hayati Ndugai alikuwa mkomavu kisiasa na kiuongozi, na aliyeamini katika demokrasia ya Bunge

    "Hayati Ndugai alikuwa mkomavu kisiasa na kiuongozi, na aliyeamini katika demokrasia ya Bunge. Alipokuwa Spika Bunge lilishuhudia mafanikio mbalimbali yaliyoelezwa hapa na Katibu wa Bunge lakini pia Mheshimiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"- Rais Samia. Rais wa Jamhuri ya...
  8. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole, Joseph Goebbels wa awamu ya tano aliyesimamia sera za kuua demokrasia, accomplice kwa majanga ya Lissu Dodoma

    Joseph Goebbels alikuwa mwenezi wa sera za chama cha kidikteta cha Adolf Hitler. Hitler alikuwa moja ya madikteta katili kabisa dunia imewahi kuwafahamu. Mtu aliyetumika kuupika na kuuukubalisha udikteta wa Hitler, ni Joseph Goebbels. Ni huyu Pole pole alisimamia sera ya kuua vyama vya siasa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nasoma Maoni wakuu: Ni kitu gani kinavunja Demokrasia? na Kipi kifanyike kurejesha Demokrasia ya Taifa letu?

    Wakuu wa JF habari zenu, Leo nimetafakari sana suala ya mapambano ya Kuhamasisha kuwepo kwa Demokrasia kwa nchi yetu, kuna viashiria vinavyotushawishi kusema Taifa hili lina Misingi ya Demokrasia au la. Tuweke pembeni suala la vyama vya siasa kisha tujiulize tu kuwa kulingana na kiashiria cha...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Walioenguliwa uchaguzi wa ndani kuhamia upinzani na kuteuliwa kuwa wagombea ni kukua kwa demokrasia au udhaifu wa upinzani kukosa wagombea wenye sif?

    Tumeshuhudia uchaguzi ndani ya chama tawala nchini ukitamatika hivi karibuni. Uchaguzi ambao umewaacha/ kuwaengua waliokuwa wabunge katika majimbo mbalimbali. Licha ya rafu katika chaguzi hizo; baadhi ya waliokua wagombea wameingia katika vyama vya upinzani kwenda kupeperusha bendera kupitia...
  11. JamiiForums Tanzania Tufute mfumo wa vyama vingi kibaki kimoja, Demokrasia siyo saizi yetu

    1.Tuna tumia muda mwingi kubishana kuhusu itikadi za vyama badala ya mustakabali wa nchi yetu. Mwaka mzima ni vyama, vyama ...upuuzi 2.Tunaumizana sisi kwa sisi kisa tu tumetofautiana vyama, kuna watu wako magerezani na wengine wamekufa au kujeruhiwa sababu ya vurugu za vyama. 3. Kila...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tujenge demokrasia inayozingatia uwazi, uwajibikaji na nidhamu ndani ya CCM

    Mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni msingi muhimu wa demokrasia ya ndani ya chama. Mwaka huu, tumeshuhudia mwitikio mkubwa wa wajumbe kushiriki, jambo linaloonesha nguvu ya chama na uaminifu wa wanachama wake katika mchakato wa kidemokrasia. Hata hivyo, yapo maeneo...
  13. JamiiForums Tanzania Mbona katika utawala wa Jumanne kaseja wapinzani walikuwa wanatangazwa, je aliyeua demokrasia kabisa ni Jumanne au Mzee wa Push -Up.?.

    Tuwe wakweli ikiwa Jumanne kaseja aliruhusu partial democracy wapinzani wakawa wanatangazwa na kushinda je anabidi kulaumiwa sana tofauti na yule mzee wa Push up ambaye kwa sasa yupo motoni.?..
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM imejianika kuwa ni adui namba moja wa DEMOKRASIA nchini kupitia kura za uteuzi wagombea

    Leo tarehe 04 Agosti 2025 nchi nzima imeshuhudia zoezi la kura za uteuzi wa wagombea nafasi za Udiwani na Ubunge kuelekea uchaguzi mkuu hapo Oktoba 29. CCM ilianza kuvunja Katiba ya Nchi baada ya kumteua Samia Suluhu kuwa mgombea pekee wa Urais hapo January ambapo kwa mujibu wa Ibara ya 38 ya...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA, mkakati wa kisheria na kisiasa kwa ajili ya uchaguzi ujao 2025

    Kwa kuzingatia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (kama ilivyorekebishwa), haki za kisiasa na za kijamii zimewekwa wazi, ikiwa ni pamoja na uhuru wa vyama vya siasa kushiriki katika shughuli za kisiasa kwa mujibu wa Ibara ya 20(1) inayosema: “Kila mtu anao uhuru wa kuungana...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Maelekezo ya mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu yaleta mabadiliko chanya katika kukuza demokrasia ya kuwapata viongozi

    MAELEKEZO YA MWENYEKITI WA CCM (T) MHE. SAMIA SULUHU HASSAN YALETA MABADILIKO CHANYA KATIKA KUKUZA DEMOKRASIA YA KUWAPATA VIONGOZI WAWAKILISHI KUPITIA UVCCM Tarehe 1 Agosti, 2025 itaendelea kukumbukwa kama siku ya mafanikio makubwa ndani ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), ambapo...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Mjumbe CCM amuuliza Peter Msigwa kama atahama chama andapo atashindwa kura za maoni, Msigwa asema kuhama sio kosa la jinai, inategemeana na mazingira

    Mtia nia wa Ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, leo 31 Julai 2025 amemjibu moja ya mjumbe aaliyemuuliza swali "endapo akishindwa atahama chama?" Msigwa amejibu swali hilo wakati akiomba kura za maoni kutola kwa wajumbe wa Kata ya Mtwivila.
  18. I

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kufungwa kwa mitandao kuelekea uchaguzi mkuu je hii ndio demokrasia tunayoipigania kama nchi?

    Kwa muda mrefu tumeshuhudia kuzorota kwa ufanisi wa network katiak social media ikiwa lengo la kudhibiti utoaji wa uhuru wa maoni katika majukwaa mbalimbali kama Twitter, ClubHouse, na sasa kwenye YouTube hasa pale watu wanapotaka kujadili hali ya siasa nchini Hali hii sio tu inakiuka katiba...
  19. JamiiForums Tanzania Wassira: Kifupi cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo sio CDM

    Akizungumza katika Kipindi cha Mizani, TBC, mzee Stephen Wasira amesema kuhusu suala la watu wengi kuenguliwa kwa kushindwa kujaza fomu amesema wengi walikuwa wanatumia majina ambayo hayajasajiliwa. Wasira amesema, Chama Cha Mapinduzi wamesajili jina hilo na kifupi chake ambacho ni CCM. Lakini...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwaka huu hakuna uchaguzi ni uhuni uhuni tu, suala la jana kutokutoa majina ni ushahidi mwingine kuwa kuna wahuni wanabaka demokrasia ya nchi

    Mwaka huu hakuna uchaguzi ni uhuni uhuni tu, suala la jana kuto kutoa majina ni ushahidi mwengine kuwa kuna wahuni wanabaka demokrasia ya nchi. Hawa wahuni na mbumbumbu wanafikiri kujifanya viziwi na kuharakisha uchaguzi wa kihuni kutawahahalilasha wao kuwa viongozi wa nchi na kwamba kutazima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…