demokrasia

  1. JamiiForums Tanzania Je, Mbowe kufutiwa kesi kabla ya mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa?

    Kesi ya Mbowe na wenzake inatarajiwa kuendelea tena mahakamani tarehe 14 Desemba. Wakati huohuo, Mheshimiwa rais Samia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa tarehe 16 na 17 Desemba. Je serikali itamfutia kesi mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Freeman...
  2. JamiiForums Tanzania Haya yananionesha kwamba Rais Samia anataka Demokrasia na Maridhiano

    Nafuatilia mijadala hasa kupiti Twitter. Watu wengi ambao wanaonekana ni experts wa vitu vya siasa wanaongelea sana kuhusu 'maridhiano' na demokrasia. I think term 'maridhiano' inakuja kwa sababu ya mambo mengi yaliyotokea huko awamu ya tano. Ila Rais Samia anaonesha wazi kwamba anataka sana...
  3. JamiiForums Tanzania Nchi yangu ngumu sana. Demokrasia hatuijui na tunaiogopa

    Hakika Nchi yangu Ngumu sana CCM Wanafanya Mikutano bila hata Kibali cha Polisi Vyama vya Upinzani pamoja na kutii Sheria bila Shuruti lakini Wanakatazwa kufanya Mikutano. Nchi yangu kweli Demokasia HATUIJUI na TUNAIOGOPA
  4. JamiiForums Tanzania Marekani yatajwa kuporomoka kidemokrasia

    Ripoti ya taasisi ya kimataifa ya IDEA imeiweka Marekani kwenye orodha ya mataifa yanayorejea nyuma kidemokrasia kwa mara ya kwanza, inayoashiria kuporomoka vibaya kwa taifa hilo kulikoanza mwaka 2019. Kilimwengu, mtu mmoja katika kila watu wanne anaishi katika taifa ambalo demokrasia yake...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Unamfunga Mbowe kisha unakatiwa misaada na mikopo na zaidi kutakiwa kuimarisha utawala bora na demokrasia

    Mungu ana makusudi kwa kila jambo, na mojawapo ya kusudi la Mungu katika hii kesi ya Mbowe, ni watawala kubanwa kimataifa ikiwamo kupunguziwa au kunyimwa kabisa mikopo na misaada iwapo Mbowe atafungwa. Hawataishia hapo, wataongeza mbinyo kutaka aachiliwe na zaidi watataka mabadiliko ya katika...
  6. JamiiForums Tanzania Demokrasia ni hitaji la Wanasiasa tu. Wananchi Hitaji lao kubwa ni Maendeleo

    Itamsaidia nini mwananchi kuwa na Uhuru wa kumchora Rais na Kumtukana atakavyo na huku hakuna Huduma za muhimu kama Elimu, Hospitali, Miundo Mbinu, Umeme na Maji? Yaani kuwa mwanasiasa wa Chama cha Upinzani atakuwa huru kufanya na kusema atakayo then mwananchi anakosa huduma muhimu ndo iwe...
  7. JamiiForums Tanzania Changamoto za Demokrasia kwenye Nchi nyingi

    (i) Kuongezeka kwa tofauti (Gap) za Kiuchumi na Kijamii miongoni mwa Wananchi: Sehemu nyingi Wananchi wote wana haki ya kushiriki Uchaguzi lakini Matajiri ndio wana nafasi ya kushinda. Watu wasiojiweza hulazimika kuuza kura zao ili kutimiza mahitaji yao ya Msingi (ii) Ufisadi na Uzembe: Katika...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna uhusiano wowote kati ya demokrasia na maendeleo

    Tabia ya demokrasia ni kuweka mlolongo wa mambo ambapo hata maamuzi mazuri na yenye tija bado yanahitaji maamuzi ya wengi ili yatekelezwe tofauti na mahali ambako hakuna demokrasia mnyororo wa maamuzi ni mfupi hivyo mambo yote yenye tija huamuliwa kirahisi na kutekelezwa. Kwa maoni yangu...
  9. JamiiForums Tanzania Demokrasia Afrika ni Kitendawili

    Baada ya miaka mingi ya mapinduzi ya kijeshi kutokufanyika Africa kwasasa wimbi la utawala wa kijeshi na mapinduzi yanarudi kwa kasi Afrika. Tumeona nchi za Mali, Guinea na Sudan wanajeshi wakitwaa madaraka kutoka utawala wa kiraia. Huko Ethiopia utawala wa Waziri Mkuu Abey ukielekea...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Demokrasia kuwa kula kwa kura ni kuchelewesha maendeleo

    NA FADHILI MPUNJI Katika kipindi cha miongo mitatu hadi minne demokrasia ya China imekuwa inafuatiliwa kwa kina na wachambuzi wa maswala ya kisiasa. Ufuatiliaji huo umetokana na miujiza ya kiuchumi iliyofanywa na China, na wachambuzi wanajaribu kujua ni kipi China imekifanya na kufikia hapa...
  11. JamiiForums Tanzania Demokrasia na umaskini ni kama mafuta na maji, umaskini ni sumu ya demokrasia

    Bila kuuondoa umaskini ni vigumu sana kusimika demokrasia. Nchi zote zenye demokrasia iliyoshamiri zimefika hapo baada ya kupiga hatua kubwa kuuondoa umaskini. Mambo matano ya yanayofanya umaskini kwa sumu kwa demokrasia ni; 1. Umaskini unadumuza kwa kiasi kikubwa uwezo wa raia kufikiri na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Zambia na Malawi kwenye Demokrasia ziko mbali sana, Tanzania tuko sawa na Burundi

    Amani na utulivu, Ndio kauli za viongozi wa Tanzania ambao wanahisi wanalinda amani na utulivu kumbe Watanzania ni waoga wa kudai haki zao za msingi. Angalia chaguzi za Zambia na Malawi utajua hao walistaraabika muda mrefu sana na katiba zao ni imara kuliko sisi wakumbatia ujamaa hewa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna Demokrasia ya kweli kwenye nchi za kidikteta Bavicha wasingeruhusiwa kulisogelea kaburi la Nyerere!

    Nenda kwenye nchi yoyote ya kidikteta halafu wasimulie kwamba vijana wa upinzani waliingia lilipo kaburi la hayati mwenyekiti wa chama tawala na wakacheza bao na kunywa maziwa, maandazi na samosa. Watashangaa sana. Tanzania tuna demokrasia pana!
  14. JamiiForums Tanzania Getrude Mongella: Unapokuwa unaamini usawa wa binadamu ukiacha baadhi ya binadamu nje wewe ni mnafiki

    RAIS wa Kwanza wa Bunge la Afrika, Balozi Getrude Mongella amesema demokrasia ni ushirikishwaji wa kila mmoja na kwamba huwezi kutofautisha usawa wa binadamu na demokrasia. Amesema “Unapokuwa unaamini usawa wa binadamu ukiacha baadhi ya binadamu nje wewe ni mnafiki. Huwezi ukasimama hapa...
  15. JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi champongeza Rais Samia kwa kuimarisha Demokrasia

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimempongeza na kumshukuru amiri Jeshi mkuu na Rais wa JMT Mama Samia Suluhu Hassan kwa Uzalendo wake kwa Taifa, Ushupavu na Ujasiri katika kulinda na kusimamia "Tunu za Taifa" letu kwa nguvu zake zote kwa akili zake zote na kwa moyo wake wote huku msingi mkuu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Chama cha Demokrasia na Maendeleo kinaendeshwa kwa fujo na vitisho baridi

    Wanabodi, Mnamo jana, naibu katibu mkuu wa Chama cha demokrasia na maendeleo Bw Benson Kigaila aliongea na vyombo vya habari ambapo aliezea mambo ambayo lazima yatekelezwe ili kama wana CHADEMA, waweze kushiriki vikao ambavyo msajili wa vyama vya siasa amepanga kufanya. Katika mambo ambayo...
  17. JamiiForums Tanzania Eswatini: Jeshi na Polisi wapelekwa shuleni kuzuia maandamano

    Makundi yanayotetea demokrasia katika taifa la kusini mwa Afrika, Eswatini, yanaeleza kwamba serikali imepeleka wanajeshi na polisi katika shule ambazo wanafunzi wamekuwa wakiendelea na maandamano kwa wiki kadhaa wakitaka mageuzi ya kisiasa. Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika...
  18. JamiiForums Tanzania Facebook yashutumiwa kusababisha athari kwa watoto

    Mfanyakazi wa zamani wa Facebook, Frances Haugen amewaambia Wabunge Nchini Marekani kuwa App za Kampuni hiyo kuleta athari kwa Watoto. Facebook ni Mtandao wa Kijamii unaotumika zaidi duniani, ikiwa na watuamiaji wapatao Bilioni 2.7 kwa mwezi. Mamilioni ya watu pia hutumia WhatsApp na Instagram...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Demokrasia na Maendeleo ya Watu

    Utangulizi Mwanadamu ameumbwa na vionjo vya asili vya matamanio. Vionjo hivi humuongoza katika kubuni na kujenga mazingira kufikia matamanio yake. Kwa mujibu wa mwanasaikolojia Abraham Maslow, katika kanuni yake kuhusu mpangilio wa vipaumbele vya mahitaji ya mwanadamu, amebainisha kuwa mahitaji...
  20. JamiiForums Tanzania Uwajibikaji wa kidemokrasia

    Dhana za Tathmini Kwa maana ya jumla, kwa watu wengi duniani, demokrasia maana yake ni nguvu ya wengi katika kufanya maamuzi yanayohusu umma na kuweka usawa wa kisiasa katika matumizi ya nguvu hiyo (International IDEA 2008: 20-21). Demokrasia ni lazima iwape wananchi uwezo wa kujieleza na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…