demokrasia

  1. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Jokate: CCM ndio chama kinachoheshimu Demokrasia

    Wakuu, Ya kweli hayo? Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 ===== Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo, amezindua rasmi kampeni za...
  2. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM: TAMISEMI itambue demokrasia yetu ni changa, ipuuze makosa madogomadogo katika hatua ya rufaa uchaguzi Serikali za mitaa

    "Wapo Wanaccm waliowekewa mapingamizi, wapo wa ACT, wapo wa CHADEMA, na majibu ya mapingamizi yalitoka, lakini kwa hatua za rufaa kwa maelekezo ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ambaye ni Rais wa Tanzania nilipofanya naye mazungumzo, ambacho tumekiona wapo wagombea wengi sana wa vyama...
  3. Ejolisi

    JamiiForums Tanzania Demokrasia inayoongelewa nchi hiyo labda ipewe jina lingine

    Kwa drama zinazoendelea kwenye mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa zinaonesha kwa jinsi gani tuna matatizo. Ka uchaguzi haka kadogo drama za kijinga zinainuka ambazo hazina maana. Demokrasia nchi hii ime base kwenye kuhamasisha watu kupiga tu "kupiga kura ni haki yako" Watu wengi hawana...
  4. Msanii

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi ni fedheha dhidi ya demokrasia nchini

    Kulizungumzia Jeshi la Polisi Tanzania haimaanishi kutishia ama kuingilia usalama wa nchi. Soma hii taarifa yao hapa chini Pia soma: LGE2024 - Polisi: Kuna chama cha Siasa kinapanga kufanya Vurugu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Siyo mara ya kwanza polisi kutoa tuhuma ambazo hawajawahi...
  5. Cannabis

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbowe alalamika kuhusu ubakaji wa Demokrasia kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ametumia mtandao wa X kulalamika kuhusu vitendo vya ubakaji wa Demokrasia unaoendelea kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Mbowe ameandika; "Taifa linaendelea kushuhudia kwa njia mbalimbali ubakaji mkubwa wa demokrasia kwenye uchaguzi huu wa Serikali za...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ukirudi kutoka ziarani Marekani na Cuba tuletee zawadi hii: Uwe umejifunza demokrasia ya vyama vingi na uchaguzi huru na wa haki

    Sio bahati mbaya rais Samia amekwenda Marekani wakati huu taifa hilo lenye nguvu zaidi duniani likiwa katikati ya mtanange mkali wa uchaguzi. Na mara hii ni kati ya mhafidhina Donald Trump na mwanamama Kamala Harris. Mtu hawezi kushindwa kufikiri kuwa kimya kimya rais Samia amekuwa kwenye...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Demokrasia imekomaa sana nchini, kata yangu ina wagombea uongozi wa kijiji wa CCM pekee

    Asante sana vijiji vyote vitano kwa namna mnavyokiamini na kukikubali Chama Cha Mapinduzi. Shukran sana kwa kuamua kuongozwa na vongozi makini na waaminifu wa CCM. Ni kitongoji kimoja pekee ndio kina mgombea dhaifu sana kutoka upinzani, hata hivyo nampongeza kwa ujasiri aliokuanao licha ya...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Katika shindano la stories of change 2024 nilieleza kuwa tume huru kuundwa na chama kimoja sio demokrasia

    Katika shindano la stories of change 2024 nilieleza kuwa tume huru kuundwa na chama kimoja cha siasa sio demokrasia wakati nchi ina mfumo wa vyama vingi vya siasa. Nilisema Kwa chama kimoja kuunda tume huru kunapoteza maana halisi ya nchi yetu kuwa ni ya vyama vingi vya siasa kunakuwa hakuna...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wameichoka Demokrasia?

    Karibia nusu ya Wamarekani wanamsapoti na wangependa awe Rais wao mtu anayehusudu madikteta kuanzia Xi, Putin, Kiduku hadi Hitler!
  10. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Demokrasia nyakati za uchaguzi inavyokiimarisha Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    DEMOKRASIA NYAKATI ZA UCHAGUZI INAVYOKIIMARISHA CHAMA CHA MAPINDUZI Safari ya CCM 🚍 Simulizi hii ya 'Safari ya CCM' inatueleza namna michakato ya kidemokrasia nyakati za uchaguzi inavyokiimarisha Chama cha Mapinduzi (CCM), kwanzia zama za siasa za chama kimoja hadi ulipokuja mfumo wa vyama...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Marekani yamsifia rais Samia kwa kuimarisha demokrasia na bunge laidhinisha ufadhili kwa Tanzania

    KATIKA kipindi ambacho CHADEMA imekuwa ikieneza propaganda potofu kuhusu hali ya demokrasia nchini Tanzania, ukweli umeonekana wazi kupitia matamshi ya Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) la Marekani. Viongozi wa juu wa CHADEMA, akiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu, wamekuwa wakiandika barua...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sisi tuliiga wapi kuwa na vyeo vyote viwili vya Waziri Mkuu na Makamu wa Rais?

    Kwenye nchi nyingi maarufu zenye mfumo wa Urais wenye nguvu ziko hivi 1. Marekani - Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais 2.Ufaransa - Haina makamu wa Rais, ina Waziri Mkuu 3. Africa Kusini - Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais 4.Kenya - Haina waziri mkuu, ina makamu wa Rais 5.Zambia -...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unakwama wapi kuona ubabe haufai kwenye demokrasia kama ambavyo hauifai kwenye kukusanya kodi?

    Hivi majuzi Mheshimiwa Rais Samia amewataka maafisa wa TRA kuacha ubabe wanapofuatilia kodi kwa wananchi. Ni jambo jema. Lakini nashindwa kuelewa kwanini Rais Samia haoni pia si vizuri kutumia ubabe kuzuia maandamano ya amani ya vyama vya siasa? Pia soma: Rais Samia: Uchumi wetu unakua lakini...
  14. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wananchi kushirikishwa kumtoa madarakani Naibu Rais wa Kenya

    Spika wa Bunge la Kitaifa la Kenya, Moses Wetang'ula ametangaza ushiriki wa wananchi katika hoja ya kumng'oa madarakani Naibu Rais, Rigathi Gachagua Oktoba 4, 2024 kutokana na tuhuma za matumizi mabaya ya Ofisi Mchakato huo utafanyika katika kaunti zote 47 na Wetang'ula amebainisha kuwa...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa majeshi wa Uganda, Gen. Muhoozi Kainerugaba, anapanda mbegu gani kisiasa na anatoa ujumbe gani kwa demokrasia ya Afrika Mashariki?

    C&P Mkuu wa Majeshi wa Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza rasmi kuwa hatagombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2026, isipokuwa ataelekeza nguvu zake jeshini huku akimuunga mkono baba yake, Rais Yoweri Museveni, ambaye anatarajiwa kugombea tena urais mwaka huo. Kupitia akaunti yake...
  16. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Tuliambiwa Magufuli ni dikteta; Kulikoni Samia "Mama wa Demokrasia"?

    Tuliaminishwa humu na genge la watu kwamba ati Magufuli ni dikteta, mara sijui ati anavunja Demokrasia! Tukaambiwa ati tunapaswa kulikomboa taifa dhidi ya udikteta..... Kila mtu akawa anafoka na kujifanya anadai haki. Alipoingia Samia tukaambiwa ati Mama anaupiga mwingi, mara ati mama...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuache kushabikia uvunjifu wa demokrasia, tutakuja kujuta baadaye.

    Pamoja na vyombo vya habari kupotosha taarifa nyingi zilizotolewa na wanachi kuhusu kutofurahishwa na nguvu kubwa ya kuzima maandamano, watanzania tunapaswa kujua kuwa tusipokuwa na upinzani imara nchi hii tutakuwa kama yatima, hapatakuwepo wa kututetea pale watawala watakapokuwa wanafanya jinsi...
  18. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, ni kweli Mungu hana Demokrasia? Mbona alisema "Tufanye mtu kwa mfano wetu"

    Nauliza tu baada ya kumsikia RC Makonda akisema Mungu hana Demokrasia. Mwanzo 1:26 - Tufanye mtu kwa mfano wetu. Je, ni kweli? Nawatakia Dominica njema 🌹 ===== RC Makonda atahadharisha akuhusu walaghai wanaotumia neno la Mungu kurubuni wananchi Akizungumza na maelfu ya Wananchi...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ruto kampa live Raisi Samia na demokrasia fake

    Ruto kampa live Samia kuhusu maandamano Niongezee hili la imani Mwanzo 9:6 BHND Share Amwagaye damu ya binadamu, damu yake itamwagwa na binadamu; maana binadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ruto: Kwenye demokrasia, Maandamano ni jambo la kawaida

    Hii clip inajieleza wazi: Tanzania itajifunza lini kuuhusu ukweli huu? Kwanini Kila mtu asipewe haki yake? Kwanini kujipanga kupora haki za wengine? Kulikoni kujipanga kuchuma laana? Uporaji ni laana!
Back
Top Bottom