degree

An academic degree is a qualification awarded to students upon successful completion of a course of study in higher education, usually at a college or university. These institutions commonly offer degrees at various levels, usually including bachelor's, master's and doctorates, often alongside other academic certificates and professional degrees. The most common undergraduate degree is the bachelor's degree, although in some countries there are lower level higher education qualifications that are also titled degrees (e.g. associate degrees and foundation degrees).

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Kwenu mnaotaka kusoma degree nje ya nchi kwa malengo ya kuajiriwa Tanzania, Kama chuo hakina umaarufu ni bora usome hapa hapa, Utateseka !

    Ninawajua watu kama kadhaa walioenda kusoma nje ya nchi miaka ya 2012 hadi 2015, Wamesumbuka sana kwenye soko la ajira imewabidi tu wakubaliane na matokeo kwa kujiendeleza na shughuli nyinginezo Kwenye ajira degree huwa ina uzito sana hivyo inabidi uwe makini kwenye uchaguzi wa vyuo, Masters...
  2. F

    Erasmus Mundus GOALS Scholarship 2025/27: A Fully-Funded Master's Degree in Sports Management: Application assistance will be given

    Navigate www.researchlinktz.com and view the "Opportunities' page to see this scholarship. If you want to apply we can give assistance. You can write to info@researchlinktz.com or see contacts in the website above.
  3. W

    Wimbi kubwa la wahitimu tegemezi wanaomaliza vyuo wasioweza kujitegemea, kuna faida ya kuwa na elimu ya chuo kama huwezi kujilisha?

    Tunawaona wahitimu wengi sana wakibaki majumbani au kwenda kwa dada zao walioolewa baada ya kuhitimu. Speaking from experience vijana wengi baada ya kumaliza chuo huanza kuomba ajira bila mafanikio (hawana connection, hawana experience), mwaka unakatika wanaona kujitolea (volunteering) kwenye...
  4. P

    Ameacha chuo mwaka wa pili kozi ya clinical medicine na anataka kwenda kusoma degree ya ufamasia

    Hello habari kuna dogo kaamua kuacha kozi ya clinical medicine na kwenda kozi ya ufamasia ,na alikuwa anafanya vizuri tu sasa ilikuwa anakarbia kufanya mtihani wa cat one mwaka wa pili kaamua kuacha anataka akasome ufamasia tumemweleza aendelee kwanza na diploma afu atajiendeleza badae hataki...
  5. G

    Tips za Written Interview ya Utumishi kwa Mwalimu wa Kemia na Biolojia Ngazi ya Degree

    Ndugu Mwenye notes au maswali au ABC cha nini naweza kusoma kufaulu interview ya kuandika ya utumishi msaasa please, Natanguliza shukrani. N. B Mwl wa kemia na biologia🙏🙏🙏🙏🙏
  6. M

    Graduates waambiwe ukweli , Career nyingi hasa za kutumia mdomo hazitambui degree zenu. Mjiongeze

    Habari wadau. Nimekutana na graduates wa UDSM analalamika ajira hapati na yeye ana degree ya Journalism & Mass communication from school of Journalism ya UDSM. Baada ya kumsikiliza nilimuuliza swali. Kwamba kama ndio yeye anafungua media yake yenye radio na Tv wanakuja watu kuomba kazi.. mmoja...
  7. Mtu aliyemaliza Diploma ya Uvuvi yan fisheries science and technology anaweza kusoma degree ya Computer science?

    Hello Naomba kuuliza mtu aliyemaliza diploma ya uvuvi yan fisheries science and technology anaweza kusoma degree ya Computer science au IT Asanten.
  8. Kama una Degree na kama umeajiriwa, sahau kuwa Tajiri

    Katika jamii yetu, imezoeleka kwamba kupata shahada (degree) na ajira rasmi ni hatua kubwa ya mafanikio. Hata hivyo, ukweli wa maisha unaonesha kwamba mafanikio ya kifedha hayategemei moja kwa moja kiwango cha elimu wala ajira pekee. Ajira nyingi za ofisi zinakupa mshahara wa kutosha kukidhi...
  9. Ukisoma Degree ya Political Science (Sayansi ya siasa) unategemea kuajiriwa wapi bongo?

    Hawa watu wanaosoma degree ya Political Science katika vyuo vya hapa Tanzania huwa wanaajiriwa wapi? Ni kazi gani mahususi ambazo zinahataji waliosomea political science tu? Hii degree naona imekaa kimtego sana na kama haina mashiko kabisa kwa nchi kama ya Tanzania.
  10. Natafuta kazi/intern, Bachelor of Engineering in Electronics and Telecommunications Engineering

    Mimi (Me)- fresh graduate, course husika hapo juu, Kwasasa nafanya kama kibarua kwenye kampuni Fulani ya telecom ambayo nimekuwa Kwa muda wa miezi 6. Expertise zangu Kwa standards za Huawei ( ISDP, WebICT) Naomba mtu mwenye uwezo wa kunisaidia kupata internship/kazi ya uhakika hata...
  11. Ishakuwa kawaida mtu ana degree kuwa bodaboda au barmaid

    Ndipo tulipofikia kama nchi watu wengi hasa dar ma barmaid fuatilia sana wengi wamesoma kama sio diploma basi wana degree.wengi sana kikubwa tu maisha yaendelee inawabidi wafanye hivyo.imagine mtu kamaliza degree ya education 2016 mpaka leo hana ajira je huu ni uungwana?
  12. K

    Msichana mjasiriamali na mhitimu wa Uhasibu. Natafuta kazi naomba mnisaidie

    Habari wakuu, Mimi ni msichana wa miaka 23 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu kwa masomo 2024 ya Uhasibu na Biashara (Bachelor in Accounting ). Tangu nikiwa chuo nimekuwa nikifanya ujasiriamali wa kuuza vipodozi na nguo za kike hadi hivi juzi juzi nilipohitimu. Nipo hapa hapa Dar es Salaam...
  13. S

    Kuchukua digrii tofauti na diploma uliyosoma kuna athari gani?

    Wadau nimesom diploma ya pharmacy now niko chemistry degree najiuliza nikiajiriwa kwa diploma hii degree kada nitabadilishaje? Mshahara utapandaje ushauri please.
  14. M

    Wachambuzi wa vita ya Middle East mnanishangaza sana!

    Ni suala la ajabu sana kwa mtanzania anayeishi Tanzania na HALI hii ya maishà, eti naye anafanya propaganda ya vita vya mashariki ya kati. Kama kweli una akili si ufanye propaganda ya kuondoka umasikini unao kukabili. Ukiona habari hata hujaihakikisha unawahi kupost, wakati huu wa vita...
  15. Ushauri: Jeshi la Polisi liajiri watu wenye angalau Degree 1 yenye GPA ya kuanzia 3.5 na kuendelea

    Tunataka jeshi la wasomi wenye GPA kubwa ili wakifanya mambo ya hovyo tuwe na haki zote za kuwanyooshea kidole. Mtu aliyeishia form 4 na kupata division 4 hawezi kulaumiwa kwani upeo wake hauwezi kuwa wa juu. Muda wote atahitaji kutumia nguvu kuliko akili katika utatuzi wa changamoto...
  16. Kiwango cha Elimu nafasi ya Ubunge iwe angalau Degree, Waziri awe mtaalamu na mwenye uzoefu wa kutosha kwenye sekta husika

    Wakuu, Hivi kwanini tunaendelea na kigezo cha kujua kusoma na kuandika kwa wanasiasa ambao baadae wanakuja kushika nafasi kubwa ambazo zinahitaji mtu awe na upeo na mkubwa? Huku ndio tunapata watu ambao ukiwawekea kengele tu kule mbele wanakuwa kama nyumbu bila kujali lolote. Tunakazana na...
  17. Je inawezekana kusoma CPA na kufanyiwa recategorization bila kua na degree ya uhasibu?

    Kwa mtu ambaye tayari ni muajiriwa, na anataka kusoma degree nyingine, je aanze na uhasibu then CPA ndio afanyiwe recategorization, au haiwezekani kusoma CPA bila kua na degree ya uhasibu? Kama ilivyo school of law? Maana school of law ni lazima mtu amalize bachelor ya LLB?.
  18. Niende kusoma digrii au diploma?

    Habari za muda wanaJF, Mimi ni kijana nimemaliza form six mwaka huu 2024, matokeo yangu kiufupi yalikua kama ufuatavyo. Chemistry - E Bio - E Geography - D BAM - E G.S - D Sema kweli matokeo yangu hayakua mazuri kwa ujumla. Bila kusita nilifanya application za vyuo kwa level mbili zote...
  19. Je, naweza kupata scholarship ya kusoma nje ya nchi bachelor degree?

    Habari wana JF, Mimi ni mwanachuo wa diploma mwaka wa pili nilikuwa naulizia kwa wazoefu kuwa naweza kupata scholarship ya kusoma nje ya nchi kusomea bachelor degree na kama ni ndio, vigezo vyake na sites za ku'apply ni zipi?
  20. M

    Inaumiza sana kusoma chuo kikuu na kupata degree ila haitumiki kukubadilishia maisha, umri unaenda na maisha yako yanazidi kuwa magumu

    Nimeona hii interview ya huyu muhitimu inatrend mitandaoni imeniumiza sana kwa kweli Hujafa hujaumbika! Kijana Noel Swai, mkazi wa Bunju A jijini Dar es Salaam amekuwa mtu wa kutoa machozi kila siku kutokana na maisha magumu anayoyapitia baada ya kupata ajali mbaya ya bodaboda, miaka sita...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…