degree

An academic degree is a qualification awarded to students upon successful completion of a course of study in higher education, usually at a college or university. These institutions commonly offer degrees at various levels, usually including bachelor's, master's and doctorates, often alongside other academic certificates and professional degrees. The most common undergraduate degree is the bachelor's degree, although in some countries there are lower level higher education qualifications that are also titled degrees (e.g. associate degrees and foundation degrees).

View More On Wikipedia.org
  1. Rais ajaye wa kutoka bara awe na degree ya Historia!

    Watanzagiza wanaangamizwa na kuangamia kwa kukosa uelewa wa historia, wengi hawaelewi historia ya hii nchi tuishio, muslim wanailewa vizuri na ndiyo maana wako ahead of the game, nashauri raisi ajaye (kama hata kuna kitu kama raisi ajaye tena ambaye siyo muslim) kama siyo mwana historia basi...
  2. I hate when people confuse education with intelligence you can have a bachelor's degree and still be an idiot.

    Ndio maana baadhi ya watu wanaishia kuwa machawa,waimba mapambio.
  3. A

    KERO Chuo cha Mipango Dodoma: Refund za wanafunzi waliomaliza Bachelor Degree mwaka 2025

    Wanafunzi tuliomaliza Chuo cha Mipango Dodoma mwaka jana (2025) mpaka leo hatujalipwa refunds zetu kwa waliozidisha ada na taratibu zote za kuhakiki account na majina tayari tangu tarehe 9 Januari 2026 lakini cha ajabu mpaka leo hakuna malipo. Tukiuliza kuhusu hizo refunds, hatupewi taarifa ya...
  4. Nimepanga nisome open university degree ya ICT, Lakini malalamiko ya watu humu ni Mengi je ni uhalisia?

    Mimi ni mtumishi, Nilipata ruhusa ya kwenda masomoni lakini sikwenda kwasababu ya ukiritimba uliopo halmashauri kwamba ukienda masomoni basi uwezi kupanda daraja, na Mimi napanda daraja Mwakani, nimetimiza miaka mitatu ya ajira Sasa, naona nikasome kitu kingine, passion yangu ni Mambo ya...
  5. Naomba mwenye ujuzi na utumishi. Nimepata kazi kwa kigezo cha diploma lakini nina degree

    Habari wakuu nimekuja kwenu kuomba uelewa nimeajiriwa na diploma lakn nina cheti changu cha degree bado sijakichukua chuoni naomba kujua je itachukua muda gan kazini hadi niweze kukitumia cheti cha degree na kisheria ya utumishi pia inasemaje ni kosa au, Kwa anaejua naomba maelezo niweze...
  6. Diploma jina la kwenye Deed poll degree limevutwa la form 4.

    Majina ya form 4 mfano (John M. Doe), lakini yakabadilishwa na deedpoll yakawa John Doe Michael (Notice M imekuja mwisho na kuwa kwa kirefu). Na ndio Jina lililopo kwenye Cheti Diploma na Kwenye Ajira serikalini. Nimeenda kujiendeleza Degree, muda wa registration wajina yakavutwa ya form 4...
  7. M

    Kuna utofauti wa kusomea degree ya Biashara vyuo vya Tanzania na Ulaya kwa mtu ambaye hana msingi wa biashara?

    Kuna wanafunzi wawili wote wamesoma chekechea hadi form 6 Tz. Moja kabaki Tanzania mwengine kaenda Uingereza, wote wanasomea degree ya usimamizi wa biashara Kwao wana hali za kawaida, aliebaki anasoma kwa mkopo wa serikali, wa nje kapata mdhamini. kutakuwa na utofauti wakishamaliza vyuo...
  8. Sasa wewe Murilo, Umeshasema Umemkamata Niffer, Lakini mpaka Sasa Ndugu wanazungushwa Kila Kituo, Hizi Degree zenu za Sheria mnazinunuaga?

    Katika jambo ninaliliamini 100% Mapolisi wengi aina ya Muliro, Mafwele na genge lao , Huwa Elimu zao ni za kuunga unga sana, Wakiwaga chuoni Wanaishia Kuhonga na kununua Mitihani . Unaweza jiuliza, Muliro kasema wamemkamata Niffer, lakini bado Mpaka muda huu Ndugu wa Niffer Wanazunguka Kila...
  9. Shahidi kesi ya Lissu asema ana degree ya Refrigerator ana air conditioner

    Dunia ina mengi Leo nimeshangaa Shahidi ambaye ni Afisa wa Police kusema alipata Elimu ya Degree mambo ya Mafriji huko Nairobi Hivi chuo kikuu kitaamua kudahili na kutoa elimu ya mafundi fridge Police mbona mnaajiri mabunda. Sasa Kwa jitu ujinga kama hili mtashinda kesi Gani?
  10. M

    Aliemaliza degree 2018 yupo kitaa, mwenzake alierudia form 4 akiwa "25 years" kahitimu diploma mwaka jana 2024 ila tayari kapata ajira taasisi nzito

    Hawa ni wanafunzi naowajua vizuri walimaliza form 4 mwaka 2012 Moja alifaulu kwa division 1 ya point 16 (ya enzi hizo), akaenda A Level shule nzuri ya private akafaulu division 2 nzuri, chuo akamaliza 2019, hakuwa mvivu wa kusubiria kazi ijilete, ni mpambanaji, kajitolea sana na kuhudhuria...
  11. M

    IFM Mwanza yageuka dampo la degree za insurance and risk management,

    Bachelor of Accounting - 81 Bachelor of Banking and Finance - 103 Bachelor of Science in Insurance and Risk Management - 553 Ni kweli taifa linahitaji vijana wenye taaluma za Insurance na tunaipongeza IFM kuwa na hii kozi lakini ukweli mchungu ni kwamba uhitaji wake ni mdogo mno sokoni. Kwa...
  12. F

    Msaada! Hivi kati ya degree ya general nursing, nursing anaesthetic na clinical nutrition na physiotherapy ipi ina soko?

    Wakuu wajuzi wa mambo msaada naombeni mnipe mawazo kidogo hivi kati ya degree ya nursing anaesthetic,general nursing, clinical nutrition na physiotherapy ipi iko marketable wakuu?
  13. Wanaku-Delude Kuwa Umeelimika, Ila Wewe Ni Robot Lao Tu, Maana Nje Ya Mfumo Wao Vyeti Vyao Vya Degree Ni Vifungashio.

    Katika jamii ya leo, elimu imekuwa kama kipimo cha thamani ya mwanadamu. Certificate, Diploma na Degree vimechukua nafasi ya heshima, ajira na hadaa kubwa ya kijamii. Hata hivyo, ukweli ni kwamba hiyo ni chicanery tu, unaambiwa na unajiona umeelimika kwa sababu umepokea uthibitisho wa...
  14. B

    Masters Degree

    Masters of education in assessment and evaluation. Naomba Tushauriane wanazuoni hii kozi nahitaji kuongeza ujuzi. kabla sijajitosa rasmi, kama yupo wa kuniboreshea kwa kujenga kozi nyingine nzuri zaidi nakukaribisha sharti iwe Education tu. Bachelor yangu ni Education. Kwa wale walamba nyau...
  15. T

    Kijana aliyemaliza degree ya sheria anayetafuta kazi, wakati anaendelea kutafuta kazi ambaye anaweza kupewa kikazi kidogo cha kufanya, tuwasiliane

    Kijana aliyemaliza degree ya sheria anayetafuta kazi, wakati anaendelea kutafuta kazi ambaye anaweza kupewa kikazi kidogo cha kufanya, tuwasiliane
  16. Kwa degree hizi za chatgAI kuna watu huko kazini watashindwa kuoperate mashine

    Just image miaka yote ya chuo wanafunzi au mwanafunzi anatumia chagAI kujibu assignment hajawahi ata siku moja kushughulisha akili yake kusoma vitabu library hio degree itakayokuja kuzalishwa hapo asee 😁😁 sijui tu. Hakuna kuingia library watu ni copy na paste reference ni google basi Waajir...
  17. N

    Kozi hizi za degree zimesitishwa kwenye vyuo vifuatavyo, Fanya maamuzi mengine kama ulikuwa na mipango ya kusomea

    Vyuo hivi havitapokeo maombi ya kozi zifuatazo kwa mujibu wa Tume ya vyuo vikuu (TCU) SAUT Mwanza Bachelor of Laws Bachelor of Arts in Sociology Bachelor of Philosophy with Education Bachelor in Tourism and Hospitality Management UDOM Bachelor of Education in Science with ICT Bachelor of...
  18. Degree ambazo ukisoma hukosi Ajira

    Degree ambazo ukisoma hukosi Ajira. 1. Computer Science 2. Healthcare 3. Degree of Mass Communication 4. Some engineering courses. 5. Business Management. Ongezea Degree moja hapa tuone?
  19. Tetesi: UDOM kupunguza programme degree za ualimu, sasa zitabakia nne tu

    I salute you kinsmen. Mara baada ya UDOM kuwa na mkuu mpya chuo kuna mabadiliko makubwa kwa wadogo zetu wanafunzi wa ualimu ndaki ya elimu (college of education) Inaonekana ni mapendekezo ya serikali katika kupunguza idadi ya walimu kwa madai wamekuwa wengi nchini na hawana ajira, hivyo kulimit...
  20. W

    Mgambo akisoma diploma kisha aende jkt, kuna advantage yoyote ya kubakizwa aajiriwe Jwtz ?

    Alimapomaliza form 4 alipata division 2 lakini alipatwa na msiba, hakuweza kuendelea na shule kwasabau za kiuchumi. Alienda mafunzo ya mgambo lakini alipomaliza kuna pesa za usimamizi wa mirathi zilitoka akaenda kusoma Diploma ya Mechanical Engineering Je, akienda JKT anaweza kupewa kipaumbele...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…