Wapendwa habari za muda huu?
Nimeona niandike uzi huu nikiwa na masikitiko kuhusu huyu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera aitwaye Shedrack Mhagama.
Huyu mheshimiwa amekuwa ni tatizo kwa watumishi wanaofanya kazi katika Halmashauri yake ambayo siyo kongwe sana...