UTIRIRISHAJI MAJITAKA POSTA WADHIBITIWA
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imedhibiti utiririshaji wa majitaka kwa uondoaji wa majitaka na taka ngumu zilizokuwa zimepelekea chemba kuziba katika eneo la Posta.
Mamlaka inasisitiza matumizi sahihi ya miundombinu ya...
Yani ni namna gani unaona kabisa Serikali bado haijawa serious, imagine maeneo ya Goba maji ya Dawasa hayatoki yapata week sasa na hatujui chochote kinachoendelea.
Kufanya kazi serikalini nimeamini ni raha sana, yani huduma hutoi na mshahara unaingia!
Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imepokea maombi ya maunganisho mapya ya huduma ya maji kwa wakazi zaidi ya elfu nne wa maeneo ya Bangulo, Kata ya Pugu Stesheni Wilayani Ilala waliojitokeza kuomba huduma ya Majisafi baada ya kukamilika kwa mradi wa Usambazaji maji Dar...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika hatua ya kujali na kuthamini makundi maalumu katika jamii, imetoa msaada wa mahitaji ya kibinadamu katika kituo cha Makao ya Kulea Watoto Yatima, kilichopo mtaa wa Nzasa, Kata ya Kijitonyama Wilaya ya Ubungo.
Hatua hii ni...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuwaunganishia maji wananchi watakaonufaika na Mradi wa Maji wa Bangulo kwa ufanisi na uaminifu, na kuhakikisha hakuna mianya yoyote ya rushwa itakayojitokeza kwani kuunganishiwa maji ni haki...
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso, amewapongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) kwa kumaliza Mradi wa Maji wa Bangulo kwa Wakati huku akiwahimiza Wananchi Pugu Station wanaozunguka Tenki la Maji kulinda Mradi huo.
Amesema hayo leo 18 Machi 2025 alipotembelea mradi...
Wakuu,
Inakribia wiki sasa Mbezi Beach hakuna maji, majibu ni yale yale tumepokea tunashughulikia/tunafanyia kazi, mara mafundi wanatoa upepo, lakini hakuna maji.
Halafu bili ikija laki😂😂. Mwaka huu kama ni mgao mnatumoa, yaani unapigwa kila upande, maji hupati na bili inakuja ya maana...
Ndugu zangu, nimesoma sehemu mhandishi huyu wa dawasa akidanganya. Pamoja na mvua zinazonyesha dsm kuna maeneo hakuna maji ikiwa ni pamoja na kinyerezi.
Ndg waandishi wa habari popote pale mnaposoma huu ujumbe fikeni kinyerezi saranga mjionee, mpate habari za kukosekana maji yapata mwezi wanne...
Wakati Wananchi wenzetu wa maeneo mbalimbali wakilalamika adha ya kukosa huduma ya maji, huku kwetu Wakazi wa Mbezi Makabe hadi Msumi hali siyo nzuri na ni kama tumeshazoea hali hiyo.
Tunapata adha ya kukosa maji japokuwa tuna mabomba ya DAWASA, Maji yanaweza yasitoke hata wiki tatu bila...
DC KIBAHA AFUNGUA BARAZA KUU LA WAFANYAKAZI DAWASA
Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Mhe.Nickson Simon amefungua kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA).
Akifungua kikao hicho katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere Wilayani Kibaha, Mhe...
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mhandisi Mkama Bwire, amesema kuwa hali ya maji katika Mto Ruvu ni ya kutosha, hivyo wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam wasiwe na hofu ya upungufu wa maji.
Mhandisi Bwire ameyasema hayo leo, Machi 11...
Wakuu,
Nadhani tutakubaliana pande zote kuwa maji sasa hivi ni changamoto. DAWASA walishauri watu wafunge pump, maji hata yasipokuwa na presha sana inaweza kusaidia!
Arooo, sasa hivi kwanza maji hayatoki, yakitoka ni usiku, halafu presha ni ile ya kuchululu, yaani hata pumzi hazifanyi kazi...
Wananchi wa mtaa wa Nyeburu uliopo kata ya Buyuni ILALA, Dar es salaam wameilalamikia mamlaka ya maji safi na mazingira DAWASA Kisarawe kwa kushindwa kufikisha huduma ya maji kwa zaidi ya miaka miwili sasa.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti wamesema licha ya mamlaka hiyo kushindwa kufikisha...
Na hili jua huku unapigwa mgao wa maji wiki nzima , ukirudi japo uwashe feni unapigwa mgao wa umeme basi unakaa kama mbuzi mwenye kiu ukibweka huku ulimi nje ......mtatuua jamani ..... achilieni hata maji tu
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam) inafanya ununuzi wa pampu nne zinazogharimu shilingi bilioni 13 kusaidia uzalishaji maji katika mtambo wa kuzalisha maji wa Ruvu Juu uliopo mkoani Pwani.
Akizungumza leo Februari 27 Kaimu Mkurugenzi Uzalishaji na Usambazaji Maji Mhandisi...
Kumekuwa na utaratibu wa Dawasa kufika eneo la nyumba na kukata maji bila hata kutoa taarifa kama wanakata maji ilhali wenye nyumba wapo na namba za simu wanazo kwenye karatasi zao.
Je, hii ni sawa?
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam DAWASA Mhandisi Mkama Bwire amesema wanakusudia kurejesha Mamlaka hiyo kwa wananchi ili kutoa fursa na na nafasi ya kufikisha mrejesho wa huduma na kutatua changamoto za Maji ili kusaidiwa kwa haraka.
Mhandisi...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira DAWASA inatekeleza ujenzi wa vituo nane(8) vya kisasa vya kuchakata majitaka/takatope vyenye thamani ya Bilioni 16 katika jiji la Dar Es Salaam ambavyo itasaidia kupunguza gharama za kuzoa majitaka kutokana na ufinyu wa maeneo ya kuyahifadhi...
AWESO AITAKA DAWASA KUSHIRIKIANA KWA KARIBU NA WENYEVITI WA MITAA
Waziri wa Maji, Jumaa Awesso ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) kushirikiana kwa karibu na wenyeviti wa mitaa ili kuweza kutatua changamoto za maji pamoja na kurahisisha ufikishaji wa huduma...
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar Es Salaam(DAWASA) @dawasatz Mhandisi Mkama Bwire amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusaidia upatikanaji wa maji katika Wilaya ya Kinondoni kufikia asilimia 97%.
Akizungumza katika Kikao Kazi cha DAWASA na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.