Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha zoezi la kufufua na kuboresha kisima cha kuzalisha maji cha Keko Bora kilichopo Mtaa wa Bora, Kata ya Chang’ombe, Wilaya ya Temeke, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha upatikanaji wa huduma ya maji kwa wakazi wa...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekabidhi rasmi eneo la ujenzi wa tenki la maji litakalokuwa na uwezo wa kuhifadhi lita 500,000 katika eneo la Mbezi Msumi kwa mkandarasi Jeccs Construction and Supply Limted.
Hatua hiyo ni kuashiria kuanza rasmi kwa shughuli za...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeungana na Wanawake Dunian kote katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Kata ya Mburahati, Wilaya ya Ubungo, Mkoa wa Dar es salaam huku ikisisitiza ujumbe wa jamii kudhibiti upotevu wa maji.
Maadhimisho haya...
Mimi ni Mkazi wa Kimara Kilungule kwa Mkua. Kero yangu inahusu DAWASA mara ya mwisho maji kutoka ilikuwa tarehe 30/10/2025.
Je, ni kwamba hii mamlaka imetusahau kabisa? Maana tuliambiwa mgao wa maji umeisha tumesubiria lakini wapi, je hii huduma kwetu ndiyo basi?
Napata tabu sana nanunua ndoo...
Anonymous (c723)
Thread
dawasa
kilungule
kimara
maji
maji ya dawasa
mara
mara ya mwisho
mwisho
oktoba
ya mwisho
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imefungua dawati la huduma kwa wateja katika mtaa wa Bwawani, Stand ya Makumbusho kwa lengo la kuwafikia wananchi kutatua changamoto na kupokea maoni juu ya uboreshaji huduma ya maji.
Akizungumzia katika Dawati hilo Afisa Huduma...
Katika kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imezidi kusogeza huduma karibu na wananchi kwa kufungua dawati maalum la huduma kwa wateja katika mtaa wa Bwawani, Stand ya Makumbusho. Hatua hii inalenga kusikiliza na kutatua changamoto...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema huduma ya maji katika maeneo ya Shekilango NHC na Ubungo Magufuli Hosteli imeanza kuimarika na huduma kuwafikia Wananchi.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa DAWASA, Everlasting Lyaro amesema wamehakikisha upatikanaji wa...
Kamati ya Siasa Wilaya ya Ubungo ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya hiyo, Mheshimiwa Rogat Mbowe wameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa kasi ya utekelezaji wa mradi wa maji Msumi ikisema mradi huo unakwenda kuwa muarobaini wa...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea na utekelezaji wa maagizo ya Waziri wa Maji, Mheshimiwa Jumaa Aweso ya kuongeza vyanzo vya upatikanaji wa maji kwa uchimbaji wa visima virefu vya maji vitakavyo uunganishwa katika mtandao wa Mamlaka.
Lengo ni kusaidia...
Kufuatia kujitokeza kwa wingi kwa vitendo vya ulaghai wa Watu wachache wanaowarubuni Wananchi kutoa fedha ili waunganishiwe huduma ya Maji katika Kitongoji cha Makurunge, Kata ya Kiluvya Mkoani Pwani, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeweka mikakati ya pamoja na...
Kufuatia kujitokeza kwa wingi kwa vitendo vya ulaghai wa Watu wachache wanaowarubuni Wananchi kutoa fedha ili waunganishiwe huduma ya Maji katika Kitongoji cha Makurunge, Kata ya Kiluvya Mkoani Pwani, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeweka mikakati ya pamoja na...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeendelea kusisitiza usomaji wa dira za maji shirikishi ili kupunguza dhana ya baadhi ya wateja kuhusu kubambikiziwa bili za maji kila mwezi zisizo akisi matumizi yao.
Hayo yamebainishwa na Meneja wa DAWASA mkoa wa kihuduma...
Benki ya Dunia imetembelea na kukagua utekelezaji wa Miradi inayofadhiliwa na Banki hiyo ya Usafi wa Mazingira katika Mikoa ya Dar es salaam na Pwani yenye thamani ya zaidi ya Bilioni 179 na kuhimiza ukamilishaji wake kwa wakati ili kuleta tija kwa Jamii nufaika.
Katika ziara hii iliyoongozwa...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekutana na Mbunge wa Jimbo la Chamazi, Mheshimiwa Abdallah Chaurembo, madiwani na Wenyeviti wa Mitaa 22 kutoka kata za Charambe, Kilungule, Chamazi na Mianzini
kwa lengo la kutathmini hali ya huduma ya maji katika maeneo hayo...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA), Mhandisi Mkama Bwire ametembelee maeneo mbalimbali ndani ya Mkoa wa Dar Es Salaam kujionea upatikanaji wa Maji na kuweka mikakati ya kumaliza changamoto mbalimbali za kihuduma katika maeneo hayo.
Mhandisi...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imefungua dawati la huduma kwa wateja katika Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Ubungo kwa lengo la kusikiliza na kutatua changamoto za huduma ya maji zinazowakabili wananchi, hususan wa Jimbo la Kibamba.
Akizungumza katika dawati hilo...
Dar es Salaam na Pwani mvua hainyeshi kama tulivyoaminishwa na TMA. Ila ata ikinyesha uwa haina msaada sana kwenye kuongeza maji kwaajili ya “intake” za DAWASA walizozitega Ruvu juu na chini.
Mvua za Morogoro ndio mkombozi wetu. Milima ya Uluguru ndio kimbilio letu. Sasa naomba kuuliza, huko...
Katika harakati zangu za kutembelea ndugu jamaa na marafiki leo Mwaka mpya nimekutana na hii chamber ya maji ya Dawasa inavujisha maji kama mto maji mengi yanapotea hapa.
Nilipouliza wenyeji wakaniambia eneo ni Tegeta A, Kwa matope
TAARIFA MUHIMU
KURUHUSU HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA KIMARA, UBUNGO, MWENGE, MASAKI NA MUHIMBILI
21.12.2025
Ndugu wateja mnaohudumiwa kupitia TANKI LA MAJI KIMARA tunapenda kuwajulisha kuwa huduma ya maji imefunguliwa na maeneo yafuatayo yatapata huduma;-
Kimara Mwisho, Korogwe, Bucha, Kona...
Embu muangalie waungwana...Kuna vitu vingine hata MABEBERU watakua wanatucheka na kutudharau sana na kutuita we are so poor..
Kuna vitu jamani mbona vinafanyika tukiamua? Haya basi mnakula mapesa ila tukumbukeni na wananchi , tunakosa hata maji ya kutawaza, wakati mwingine mtu unabana mavi mda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.