Kutokana na uhaba wa maji jijini Dar es Salaam, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imetangaza ratiba ya upatikanaji wa huduma ya maji kwa mpango wa dharura kwa wakazi wa jiji hilo, hatua inayolenga kuhakikisha huduma hiyo inapatikana kwa usawa wakati wa changamoto za uzalishaji...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza kufufua na kuhuisha visima virefu vya maji ili kupunguza nakisi ya maji ndani ya mkoa wa Dar es Salaam na mikoa jirani.
Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Mkama Bwire ameyasema hayo siku Ijumaa Desemba 12, 2025 katika...
Hii ni 2025 na hili ni jiji namba moja Tanzania ambalo tunajivunia ila wananchi wake bado wanatumia maji ya chemi Chemi, yaani mwaka 2025 bado tupo primitive stage na hapa ni jijini Dar es salaam, sasa mikoa jirani hali ikoje.
_________
Wakazi wa Ubungo Riverside Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa...
TAARIFA KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM NA PWANI
TAARIFA YA UPUNGUFU WA HUDUMA YA MAJI
6.12.2025
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawataarifu wateja na wananchi wanaohudumiwa na mtambo wa kuzalisha maji Ruvu Chini (Kuanzia maeneo ya Bagamoyo, Tegeta, Boko, Mbezi...
Mkurugenzi wa manara tv na diwani mteule wa kata ya Kariakoo Hajj Manara leo November 19, 2025 ameeleza wazi namna alivyojipanga kukabliana na changamoto zinazowakabiri wanakazi wa kata ya Kariakoo ikiwemo changamoto ya uhifadhiji wa maji taka yanachafua hali ya hewa ndani ya kata hiyo
Huku...
Katika mambo ambayo yananshangaza sana ni namna shiriki la dawasa linavyoongozwa mfano mwezi wa tisa na wa kumi kama mvua za vuli zikichelewa kunyesha kuwa na uhakika kunakuwa na shida ya maji kwa sehemu kubwa ya mkoa wa dar es salaam
Na ukiwauliza wanakupa majibu marahisi huu ni wakati wa...
Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi Mkama Bwire, amefanya ziara ya kukagua upatikanaji wa maji katika maeneo ya Ubungo, Mburahati, Magomeni, Saranga na Kinyerezi. Ziara hiyo imelenga kubaini changamoto na kuhakikisha huduma inawafikia wananchi.
Mhandisi Bwire amesema huduma ya maji katika...
Muda mrefu sasa tunatumia maji machafu, tulijua labda ni changamoto ya muda mfupi tu. Sasa tunaona imeshakuwa mazoea.
DAWASA Kibaha, ndio kusema mumeamua rasmi kutuuzia wananchi maji machafu?
Hivi haya maji ndio maji ya kutuuzia Watanganyika kweli?
Katibu Mkuu - Maji na Waziri Maji, ni karibu mwezi sasa hatuna maji ya uhakika. Mafundi wanadai kuwa mitambo ya maji Wazo ni mibovu na hawajui lini yatapona. Ushauri wanao toa ni kuchimba visima kama unaweza na kuchimbia simtank.
Wimbi la makampuni feki yake kuchimba visima jijini Dodoma (na mikoa mingine) limekua kwa kasi sana, kutokana na changamoto ya maji na kasi ya ukuaji wa mji.
Sasa kushindana bei, wengi wao wasiowaaminifu wameanza uhuni na ujanja ujanja, ambao madhara yake hayataonekana ndani ya siku 2 au mwaka...
Naona wamemiss makelele hawa jamaa.
Hadi sasa DAWASA day 3 leo hamna tone la maji limetoka mtaani kwetu na wakati TANESCO nao wameona wasiwe nyuma, yamepita masaa 24 sasa wamezima.
Ngoja tuone kama ni kina cha maji kimeshuka au jua kali nguzo zimeoza.
Leo nilitembekea Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) Kinondoni, nikakuta wameweka Bango kubwa lenye majina na namba za Viongozi.
Hii si kawaida, kukuta majina ya Viongizi yamewekwa wazi na namba zao za simu.
Nashauri hata taasisi nyingine zifanye hivi ili kiondoa...
Wakazi wa Tabata Banebane eneo la Katoma, kipande hicho hakina maji ya mgao wala maji ya aina yoyote kwa kipindi cha miezi 5 na zaidi.
Majibu ya wahusika ni kwamba ooh kuna merekebisho, wakanganya sasa wanasema kuna mradi wa bomba haitoshi.
Baada ya kadhia hiyo ya muda mrefu, ndio wanakuja...
KERO hii Ina mwaka mzima.
Wananch hapa wamechoka lakini watoa huduma wanaleta uwongo kwamba huduma imerejea.
Hata choo cha Kinyerezi stendi hakina maji huko nje ya mji kutakuwa na matope
Wakuu,
Nadhani saivi ningekuwa na mjengo wangu wa maana huku Mbezi Beach, pamoja na ndinga kaliiiiiii.
Jamani, hakuna taasisi/shirika la kiserikali linakera kama DAWASA Wizara ya Maji na TANESCO 😫😫😫, yaani mtu ungekuwa na mamlaka unazifutilia zote mbali kila kitu kinaanza upya kwa kuwa na...
Aweso Tangu msifiane pale Dawasa sasa hivi maji yanatoka kama hozi la kenge yaani maji hakuna kabisa zaidi ya wiki sasa mnafungulia maji dk 15 kisha mnakata , hivi hii nchi tuna LAANA gani ?
Pale Manzese maji yanatoka na tope sijui walisahau kuweka dawa ya kusafishia , unajua hizi nafasi...
- Tatizo hili linaendelea hata baada ya kukamilika mradi wa maji wa tanki la bangulo uliogharimu bilioni 36.8 na maji hamna Kinyerezi.
Wakazi wa Kinyerezi wapo katika wakati mgumu maji ya Dawasa yanatoka dakika 30 mara moja kwa mwezi,magari ya maji boza yanauza maji ya chumvi sh 24,000 lita...
Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) wameaswa kuzingatia uadilifu na kujiepusha na vitendo vya rushwa mahali pa kazi ili kuboresha huduma kwa wateja na kuleta tija kwa Serikali.
Hayo yamesemwa na Afisa Mchunguzi kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai Wakazi wa Mtaa wa Makamba, Mbezi Msakuzi wana uhaba wa Huduma ya Maji katika Mtaa wa Makamba kutokana na Mradi kutokamilika kwa maelezo Mhandisi amesitisha uchimbaji mtaro kwa "sababu binafsi", ufafanuzi umetolewa...
Kusoma hoja ya awali bonyeza hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.