dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Shirika la Kudhibiti Magonjwa Afrika limepongeza kuidhinishwa kwa dawa ya kwanza ya malaria kwa watoto wachanga

    Shirika la Kudhibiti Magonjwa Afrika (Africa CDC) limepongeza kuidhinishwa kwa dawa ya kwanza ya malaria iliyoundwa mahsusi kwa ajili ya watoto wachanga na wenye uzito chini ya kilo tano. Dawa hiyo mpya, Coartem Baby, imetengenezwa kwa ushirikiano kati ya kampuni ya dawa ya Uswisi, Novartis, na...
  2. JamiiForums Tanzania Dawa ya jino bovu siyo Kungoa

    Wizara ya Afya imetoa maelekezo ya njia bora ya kutibu jino lililotoboka/kuoza badala ya kukimbilia kuling'oa. Jambo linalowafanya watu wengi wakimbilie kung'oa jino ni maumivu makali waliyoyapata kutoka kwenye jino lililooza au kutoboka. Zipo njia mbalimbali zitakazokusaidia kufanya jino lako...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli zipo dawa mitishamba herbal za kusafisha mishipa ya damu

    Wakuu na wataalam je zipo kweli na zinafanya kazi ? Maana nahitaji ya cholestrol na Pressure
  4. JamiiForums Tanzania Dawa ya jino, Alera. Nisuluhisho kwa maumivu ya jino.

    JE, UNAUMWA NA JINO AU FIZI? 😖 Maumivu ya jino yanaweza kuharibu siku yako yote—ukose kula vizuri, kushindwa kulala na hata kuathiri mdomo kutoa harufu mbaya. Wengi hufikiri suluhisho ni kung’oa tu, lakini si lazima ufikie huko. 🌿 ALERA ni dawa asilia iliyotengenezwa kwa viambato vya mimea ya...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Sababu Kuu Upinzani kushindwa kushika Dola Tanzania ni Ubinafsi na Ukosefu wa Maadili kwa Viongozi wake, dawa ya dhambi hii ni kuikubali na kuuikemea

    Madai ya manyanyaso hayana ukweli bali dawa ni kabadilika
  6. JamiiForums Tanzania Kero: Mdudu mla mbao juu ya dari dawa yake ni nini?

    Ndugu zangu habari ya usiku? Kama kichwa cha habari kinavyosema, nimekumbwa na wadudu wala mbao juu ya dari / bati kwa takribani miezi 6 sasa. Kero iliyopo sasa ni kwamba nyakati za usiku hao wadudu wanapiga kelele hatari wakiwa wanakula hizo mbao. Nimejaribu mara kadhaa kupanda huko juu kuona...
  7. JamiiForums Tanzania Dawa Asili & Ushauri wa Afya na Dr Luu

    Habari za wakati huu. Nimeanzisha thread hii ili kutoa elimu ya mtindo wa maisha, kuelezea matibabu ya tiba lishe asili, mitishamba na huduma binafsi unayoweza kupata toka kwangu. Nitakua na mfululizo wa mada mbalimbali zinazohusu afya na mtindo wa maisha. Ndani ya makala hii tutapata faida...
  8. JamiiForums Tanzania Drug abuse: Dawa za kulevya, maana yake, aina zake, vyanzo vya kutumia dawa za kulevya, madhara yake na ufumbuzi wake

    NB: lengo la ujumbe ni kutoa elimu kwa wasomaji sio kutoa tiba kwa muathirika wa dawa za kulevya. Kwa muathirika wa dawa za kulevya anatakiwa kufika katika hospitali au vituo vya afya vyenye kutoa huduma hiyo. Drug Abuse ni kutumia dawa za kulevya au kemikali kwa njia isiyo sahihi, mara nyingi...
  9. JamiiForums Tanzania Dawa ya Mpenzi anayekujibu dharau au ambaye hana muda na wewe ni hii hapa

    Wajomba na Mamshangazi habari zenu. Mahusiano yanachangamoto nyingi sana, ukiona mahusiano yako yamesimama imara na hujawahi pitia changamoto kama hizi siku ikikukuta utatamani kuzimia. Baadhi ya mahusiano yanapitia changamoto hizi. 1. Kunyamaziwa kimya kwa siku 2 hadi 3 2. Kujibiwa majibu...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka: Demu wangu ameniambia tokea nianze kudate na yeye sijawahi kumridhisha

    Wakuu nimeabika na kudhaurika.yaani demu wangu ameniambia tokea nianze kudate na yeye sijawahi kumridhisha Wala kumfikisha kileleni. Wakuu kwa yoyote mwenye mkongo au dawa yoyote anielekeze Ili niweze kutumia nikamkomeshe. Ameniudhi sana yaani Huwa najua namshughulikia vizuri kumbe simridhishi...
  11. JamiiForums Tanzania Watendaji wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) watembelea Taasisi ya Mwenza ya Madagascar

    Watendaji wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) wakiongozwa na Meneja wa Masoko ya Kikanda, Bi. Nabila Hemed wametembelea Bohari Kuu ya Dawa ya Madagascar (SALAMA) na kuzungumza na uongozi wa bohari hiyo, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Bw. Claude Eric Ramanantoanina kuhusu njia bora za kuimarisha...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je dawa niliyopewq haina madhara?

    Pole kwa majukumu wana jamii. Nina changamoto ya kiafya, mwaka 2023 nilipa bahati ya kupata kazi sehemu kwa muda wa mwaka mmoja na zaidi, wakati wa kipindi hicho sikuweza kutoka nje ya eneo langu kwa muda wote hivyo kuwa na mwanamke ikaniwia ngumu. Baada ya kumaliza mkataba na kurudi nyumbani...
  13. JamiiForums Tanzania Tatizo la Kuvimba Miguu na kua na Donda NDUGU Kidonda ambacho hakiponi hata kwa Dawa Gani, Sababu huwa ni Nini?

    Wakuu, najua humu jukwaani hususani kwenye hili jukwaa la Afya kuna watu wengi wenye maarifa mbalimbali yahusuyo afya, magonjwa na tiba. Sasa kuna hili tatizo nimekua nikiliona nimeona kwa mtu wa kwanza sasa nimeliona kwa mtu wa pili. Mtu wa kwanza yeye kazi yake ni ulinzi. Huyu yeye tatizo...
  14. JamiiForums Tanzania Sindano hii Chungu ila ina dawa inayotibu iwafikieni popote pale Wanawake na Wanaume

  15. JamiiForums Tanzania Sasa ni Rasmi - Gaza kuwa Jewish City Netanyahu akubali - Arabs wote kufukuzwa Dawa ya Jeuri ni Kusudi, hard kuishi na waongo Aamua kufuata Quran 5:21

    Babu kachoka na visingizio na kutishiwa Nyau eti Uingereza sijui Canada kaamua kuwaambia kama Mbwai mbwai tu so Palestina kutawanywa watakuwa Taifa katika nchi kadhaa Duniani ila Sio katika Ardhi Allah aliyompa Nabii Musa na Vizazi vyake Quran 5:21 Enyi watu wangu! Ingieni katika nchi takatifu...
  16. JamiiForums Tanzania Ipi dawa ya Dhakari kupinda

    Kiukweli napata changamoto kubwa sana pia nakosa kujihamini kwenye tendo sababu ya dhakari[uume] wangu umepinda kuelekea chini. Nakuwa mnyonge kwenye tendo maana baadhi ya mikao siwezi kupaform vizuri. Nilivyo kuwa mdogo nilikuwa navaa sana chupi labda ndio sababu ya kupinda. Mwenye kujua...
  17. JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 niliwapekea udsm proposal ya kutengeneza dawa ya Corona wakaikataa- Moja ya sababu iliyoni-inspired kuwa na ndoto za uRais wa Tanzania

    ###Lengo la uzi halina kusudi la kuisema vibaya taasisi ya UDSM bali unaelezea LIFE EXPERIENCE### Corona hiyo inaanza mwaka 2019 mwishoni inaenda weweee zinafanyika jitihada nyingi za kutengeneza dawa mda sisi nchi za afrika tumebakia kama onlookers zinafanikiwa mwaka 2021 Kwanin ilikuwa UDSM...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Dawa gani nzuri ya kusafisha viti ndani ya gari

    ni dawa ipi nzuri naweza kuipata madukani ya kusafishia viti ndani ya gari
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atembelea Kiwanda cha Dawa na Zana za Kilimo Nchini Belarus

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa, leo tarehe 22 Julai 2025, ameendelea na ziara yake rasmi nchini Belarus kwa kutembelea maeneo muhimu ya uzalishaji na ushirikiano wa kimkakati. Akiwa katika mji wa Minsk, Majaliwa alitembelea kiwanda cha Belmedpreparaty, ambacho ni maarufu kwa utengenezaji wa dawa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Eti nauza dawa ya kuacha Pombe! Kha unataka niwe nakunywa kahawa?

    Nimekereka sana na huyu mmasai. Mbaya zaidi ananifuata ofisini kwangu! Niwe nashinda kwenye vijiwe vya kahawa ? Niache ugimbi kweli?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…