dawa

Da‘wah (Arabic: دعوة‎, [ˈdæʕwæh] "invitation", also spelt daawa, dawah, daawah or dakwah😉 is the act of inviting or calling people to embrace Islam. For certain groups within Islam like the Salafis and Jamaat-e-Islami, Dawah is also considered as a political activity. For these groups, the aim of Dawah outreach is also to engineer a reversal of what they perceive as the decline of Islam in the modern era, through the systematic propagation of Islamist ideology and ultimately enable the establishment of an Islamic state.

View More On Wikipedia.org
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kuitawala pesa. Laki Tano inaisha ndani ya wiki Moja. Natumia dawa za matatizo ya akili. Nifanye nini?

    Nina shida ya kiakili natumia dawa zinatwa resperidone. Changamoto niliyonayo ni kuwa hata nifanye Nini nkipata kipato haichukui wiki laki Tano imeisha. Hata niweke mikakati ghani nitajikuta tu baada ya wiki nipo kwenye stress Sina pesa. Nmefikia hatua Sasa hii hali imenichosha naomba...
  2. JamiiForums Tanzania Hakuna kabisa dawa ya makosa yakututakasa ila damu yake Yesu

    Anayeijua hii tenzi anisaidie kwa kuipata na kama ana link ya audio anisaidie
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Benaya Kapinga asisitiza Dawa na Vifaa Tiba vipelekwe kwa wakati sehemu za kutolea huduma za afya

    MBUNGE BENAYA KAPINGA ASISITIZA DAWA NA VIFAA TIBA VIPELEKWE KWA WAKATI SEHEMU ZA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini Mkoa wa Ruvuma Benaya Liuka Kapinga akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Mei, 2023. "Serikali katika Jimbo la...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge Benaya Kapiga Asisitiza Vifaa Tiba na Dawa zipelekwe kwa Wakati Maeneo ya Kutolea Huduma za Afya

    MBUNGE BENAYA KAPINGA ASISITIZA DAWA NA VIFAA TIBA VIPELEKWE KWA WAKATI SEHEMU ZA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA Mbunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini Mkoa wa Ruvuma Mhe. Benaya Liuka Kapinga akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Mei, 2023. "Serikali katika Jimbo...
  5. JamiiForums Tanzania Chakula bora ni Dawa

    Habari, Chakula bora ni Dawa. Ila Dawa sio chakula Bora. Tumia chakula kama dawa. Usije jikuta unatumia dawa kama chakula.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Dawa aina ya Amoxicillin, Zinki na ORS ni bure kwa watoto chini ya miaka 5

    Picha: Ummy Mwalimu Serikali imesema dawa za kidonge myeyuko cha Amoxicillin, Zinki na ORS kwa ajili ya watoto wenye umri chini ya miaka mitano, haziuzwi, zinatolewa bure kwa wananchi, kwa sababu zinanunuliwa na serikali kwa kushirikiana na wadau. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Mhe.Ummy...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza Dawa za Kutibu Homa na Kuhara kwa Watoto zitolewe bure Nchi nzima

    Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu leo Mei 12, 2023 Bungeni Dodoma kwenda kwa Waganga wa Wilaya na Mikoa Nchini kote akiwataka kusimamia utoaji wa Dawa hizo kwa Watoto wenye chini ya miaka 5. Waziri Ummy amesema Dawa hizo zikiwemo Kidonge Myeyuko cha 'Amoxicillin', Zinc na...
  8. JamiiForums Tanzania Maduka ya mahitaji ya nyumbani yapigwe marufuku kuuza dawa za kutuliza maumivu

    Dawa za kutuliza maumivu ni dawa tiba kama dawa nyingine za tiba,hivyo zinahitaji kuwa na "prescription" kutoka kwa wataalamu wa afya,lakini cha ajabu dawa hizi zinauzwa kiholela holela tu kama bublish,dawa kama Paracetamol,Panadol,Diclopar,Dawa tatu nk,ukienda maduka ya kawaida unazikuta mtu...
  9. JamiiForums Tanzania Nimegundua hivi majuzi kuwa mashavu yangu yana nenepa

    Wakuuu za sahizi Nimegundua hivi majuzi kuwa mashavu yangu yana nenepa kitu ambacho sijafurahishwa nacho Nilikuwa naomba kama kuna mtu anayejua dawa au njia ya asili ya kuyapunguza mashavu yangu anisaidie Siyapendi kwa kweli 😢😢😢😢😢😢 Nawasilisha Edit:: mimi ni me nasemea mashavu ya usoni
  10. JamiiForums Tanzania Utapeli wa Dawa ya 'HIT' katika kuua Mbu

    Hizi dawa zilikuwa vizuri miaka minne iliyopita ila hali ya sasa kwa kweli ni UTAPELI wa wazi. 1. Haiui MBU kwa kiwango kinachopaswa yaani katika Mbu 50 watakufa watatu (3). Yaani mpk mbu afe ni umloweshe na hiyo dawa ndio atakufa ila ukipuliza kama inavyoelekezwa upulize ktk mazingira ya eneo...
  11. JamiiForums Tanzania Haji Manara Acha kuwawekea dawa wapinzani,ulianza huo mchezo ukiwa Simba SASA umeuleta Yanga

    Unatuharibia image,hako kamchezo ulikuwa nako ukiwa Simba sasa umekakwta jangwani,Sisi tuna timu imara hatuitaji kupuliza dawa kwenye mabasi na dressing room za wapinzani. Unatuharibia sana
  12. JamiiForums Tanzania Karibuni tuoneshane Dawa za Kiasili za kabila lenu Kwa Picha au maelezo ya Maneno

    Inawezekana uko Mjini ndio, sema Simatifoni siku hizi hadi vijijini zimezagaa, embu mwambie aliyeko Kijijini akutumie picha ya Mmea wa Kiasili ambao Kikwenu, mnatumia kujitibu kitu fulani. 1. Majani ya Mpapai Aiseee, ukitaka kuongezea Damu kwa wingi na Kwa Gharama ndogoooo, chukua Majani ya...
  13. JamiiForums Tanzania Nina upungufu wa homoni ya Testosterone, low testosterone au male hypogonadism nitapata wapi dawa ya kupaka?

    Ni muda mwingine najitokeza kuomba msaada, ushauli na mawazo kutoka kwa madaktari, wataalamu wa afya au mzoefu wa hili tatizo. Ni baada ya kufanyiwa upasuaji (operation) ya kuondoa korodani zenye kansa na kubakia bila korodani ndipo tatizo lilipoanzia. Nikakosa nguvu za kufanya kazi kwa muda...
  14. JamiiForums Tanzania Dawa ya kuondoa udini yapatikana

    Habari zenu wanajamii Furaha yangu ni kupata majawabu ya kila swali. Leo ninayo njia ya kuondoa udini serikalini. Lipo neno linaitwa KWELI nalo ni mfano wa Biblia,na Quruan.Ila tofauti yake KWELI haitaji jina la mtume yeyote bali inafuata misingi,kanuni na sheria za nje.Hasa ikizingatia akili...
  15. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua dawa ya kumfanya mtu ajiamini

    Yaani kiujumli hili tatizo la kutojiamini limenianza toka nikiwa mtoto mpaka kufikia sasa japo nahisi limepungua kidogo labda kutokana na kukutana na watu wa tofauti tofauti kila wakati. Kwa mfano kuna kitu nimewahi buni nikapeleka shuleni veta nikaambiwa nikitolee maelezo nilishindwa kabisa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa vifaa tiba (medical equipment) Tanzania

    Habari, Hill Medical Equipment ni kampuni inayo jihusisha na uuzaji na usambazaji wa vifaa tiba(medical equipment) katika mikoa yote ndani ya tanzania. Pia hill medical equipment tunauza vifaa tiba vyenye ubora wa hali ya juu kwa bei elekezi ya serikali. Tunakalibisha taasisi, hospitali...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi hawa masai wanaotembea wakiuza dawa ni za kweli au matapeli?

    Hola Amigos, Jana nmekutana na mmasaai anatembea akiuza dawa mbalimbali kwenye kigunia, alikuwa ameshikilia kama kimenu cha dawa alizonazo na bei zake, ukikutana naye haongei sana anakupa kipeperushi tu. Baadhi ya dawa nlizoziona kwenye menu Mkongo puturu-10,000 Mkuyati-15,000 Dawa ya...
  18. JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na maumivu ya mguu hasa maeneo ya paja, dawa gani ya kumeza inaweza kunisaidia

    Habari, Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya mguu maeneo ya paja kuelekea kiunoni. Kwa kweli sijawahi kuanguka au kupata jeraha lolote hivi karibu ila naona tu mguu unakuwa na maumivu. Dawa gani nzuri iliwahi kukusaidia kwa maumivu ya mwili au viungo...
  19. JamiiForums Tanzania Taasisi ya MOI yaanzisha Teknolojia mpya mbadala wa dawa za maumivu sugu ya mgongo na kichwa bila upasuaji

    Kwa mara ya kwanza Afrika, teknolojia mpya ya mbadala wa dawa za maumivu, imeanza kutumia katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI). Hadi Aprili 28, 2023 jumla ya wagonjwa 18 wamepata huduma hiyo, ili kuepuka maumivu ya mishipa ya fahamu, ambapo huduma hiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Temporary: ugonjwa umenikaba mtu anikope 10,000 ninunue dawa nitamrudishia

    Habari, wadau leo sipo sawa ninaumwa vibaya alafu Sina pesa kabisa nimejipoza na vipanado nk ila wapi ninahofia zaidi usiku Naomba mtu anikope 10,000 tu niande pharmacy chap nitamrejeshea few days nikipokea vipesa kwenye mishe zangu uhakika, dharula sijajiandaa. NB: Moderator uzi huu utatuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…