Mwanza, Buzuruga Health Center (Buzuruga Hospital) hali mbaya sana, hakuna dawa wala huduma si nzuri, wagonjwa wanaelekezwa kununua dawa nje ya hospitali kuna duka husika, taasisi haina hata plasta.
Upande wa wanawake wajawazito wanakutana na changamoto ya vifaa, havipo vya kutosha, wananunua...