dawa za kulevya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mashahidi 14 kutoa ushahidi kesi ya dawa za kulevya za Sh559 milioni

    Aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Kupambana na dawa za kulevya (ADU), Godrey Nzowa anatarajia kutoa ushahidi katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Cocaine zenye thamani ya Sh559 milioni inayomkabili raia wa Liberia, Ndjane Abubakar. Abubakar anadaiwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya...
  2. JamiiForums Tanzania Dar: Watu watatu Wakamatwa wakiwa na kilo 15.19 za dawa za kulevya aina ya Heroin

    Washirika wa mmiliki wa kituo cha Cambiasso Sport Academy kilichopo Tuangoma wakamatwa na kilo 15 za dawa za kulevya aina ya heroin. Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) imewakamata watuhumiwa watatu ambao ni washirika wa mmiliki wa kituo cha Cambiasso Sport Academy kilichopo...
  3. JamiiForums Tanzania Ripoti DCEA: Dar, Tanga na Pwani ni vinara wa Dawa za Kulevya Tanzania

    Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kupambana na Kuzuia Dawa za kulevya, Gerald Kusaya amesema kati ya mwaka 2021/22 wamekamata Kilo 11,974.4 za Dawa hizo nchini huku mikoa hiyo ikiongoza. DCEA Kusaya amesema "Mikoa hiyo inaongoza kutokana na jiografia yake ilivyo sababu Dawa nyingi zinazomakatwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kocha wa Makipa Simba SC na wengine 8 wakamatwa na Dawa za Kulevya

    Kocha wa makipa simba mbaroni kwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya heroine. Sambamba na boss wa Cambiaso ================ Kocha huyo, Mwalami Sultan ni kati ya watuhumiwa 9 akiwemo Mmiliki wa Kambiaso Sports Academy, Alhaj Kambi Zubeir Seif wanadaiwa kukutwa na dawa za kulevya aina ya...
  5. JamiiForums Tanzania Ridhwani Kikwete akemea vikali wauza dawa za kulevya na ataka sheria kali itungwe

    Dj walete na song letu la Iyena iyena. Kwa Mara ya kwanza namuona Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akichangia hoja ya marekebisho ya muswada wa sheria ya Dawa za kulevya na ametaka sheria Kali zitungwe kukomesha wauza Dawa za kulevya. Ni kipi kimekushangaza? Mwanakondoo ameshinda tumfuate...
  6. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Madhara ya matumizi ya dawa za kulevya na matibabu yake kwa ustawi wa jamii

    Andiko langu linahusu madhara ya matumizi ya dawa za kulevya na matibabu yake jinsi gani mtumiaji au muathilika wa dawa za kulevya anaweza kupata matibabu na akaludi katika hali ya usawa, Aina ya dawa za kulevya, 1. Heroin 2. Bangi 3. Cocaine 4. Dawa za tiba zenye asili ya kulevya 5...
  7. JamiiForums Tanzania Ripoti: Saudi Arabia inakaribia kuwa lango kuu la Dawa za Kulevya

    Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya (GDNC) imeeleza hayo baada ya kunasa tembe milioni 47 Dawa za Kulevya aina ya za Amphetamine ambazo zilikuwa zimefichwa kwenye shehena ya unga, ikiwa ni jaribio kubwa zaidi la kusafirisha dawa hizo. Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Vidonge hivyo...
  8. JamiiForums Tanzania Pamoja na yote, Makonda alipambana sana na wazambazaji wa dawa za kulevya

    Mnyonge mnnyongeni ila haki yake apewe huyu bwana makonda aliweza San kupamban na wazambazaji wa dawa za kulevya na ama hakika dawa ziliadimika na kupotea kbsa kipindi hicho wauuzaji walikimbia nnchi nakutokomea kuziko julikana. Nilimuona makonda kwa macho yangu akibubujika machozi ktk kanisa...
  9. JamiiForums Tanzania SoC02 Dawa za kulevya na athari zake katika maisha

    Andiko langu litakua na sehemu tatu kuu, sehemu ya kwanza dawa za kulevya na maana yake. Sehemu ya pili urahibu wa dawa za kulevya na athali zake. Sehemu ya tatu namna ya kuepukanana na hili janga. DAWA ZA KULEVYA. Dawa za kulevya ni aina ya kemikali zitumikazo katika mwili wa mwanadam kwa...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Siku ya Kimataifa ya kupambana na Dawa za Kulevya kama nchi tujitathmini

    Tunapo elekea kwenye kilele cha maadhimisho ya kimataifa ya kupambana na madawa ya kulevya ambapo kilele ni tarehe 1/7 na trh. 2/7, kama nchi tunapaswa tujitathimini hali yetu kama nchi, Je vita ya kupambana na madawa ya kulevya insaidia kupunguza au hali ni mbaya? Nini kifanyike ili kukomesha...
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake wanaotumia dawa za kulevya waongezeka maradufu

    Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limesema idadi ya wanawake wanaotumia dawa za kulevya mkoani humo, imeongezeka maradufu kulinganishwa na wanaume. Akisoma taarifa ya mwenendo wa vitendo vya matumizi ya dawa za kulevya mkoani Mwanza katika utangulizi wa Siku ya Kupambana na Dawa za Kulevya, Mrakibu...
  12. JamiiForums Tanzania Ripoti: Kamishna Jenerali wa DCEA asema wamekamata Dawa za kulevya kilo 877

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imesema katika kipindi cha Januari hadi Mei 2022, imekamata kilo 877.217 za dawa za kulevya, imezuia uingizaji wa kilo 122,047.0855 na lita 85 za kemikali bashirifu nchini. Kamishna Jenerali wa DCEA, Gerald Kusaya ametoa takwimu wakati...
  13. JamiiForums Tanzania Arusha: Vinara waliokamatwa na gunia 15 za Mirungi wachomolewa usiku wa manane Polisi

    Wafanyabiasha vinara wa dawa za kulevya aina ya Mirungi kutoka Nchini Kenya waliokamatwa na magunia 15 mei 14 mwaka huu katika Mji wa Namanga, wanadaiwa kuachiwa katika mazingira ya utata, usiku wa manane huku gari lililokuwa likisafirisha mihadarati hiyo likitoweka kituo cha polisi ...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya pombe na dawa za kulevya

    Shalom wapendwa Kumekwa na ongezeeko kubwa la Watoto wa wachungaji na maaskofu kuharibikiwa kutokana na utumiaji wa mihadarati na ulevi wa kupindukia. Hii inatokana na vita kali ya Shetani ili kudhoofisha nguvu ya Kanisa. Utumiaji wa dawa za kulevya na Pombe kupita kiasi huja na dalili...
  15. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Askari mbaroni kwa madai ya kusafirisha dawa za kulevya

    Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kusafirisha kilo 120 za mirungi. Kamanda wa Polisi Mkoa Kilimanjaro, Simon Maigwa alipoulizwa na Mwananchi kuhusu madai ya tuhuma hizo alisema anaifuatilia na hakutaka kuingia kwa undani juu ya ukamataji huo...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene: Matumizi ya dawa za kulevya yamekuwa 'fashion'

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Sera na Uratibu, George Simbachawene amesema kwa sasa, si ajabu kukuta pengine matumizi ya Dawa hizo yanafanywa hata na watu wenye nafasi kubwa, akieleza "Hali hii iliendelea tutakuwa na Taifa gani kesho?" Akiwa Bungeni, Simbachawene amesema ameamua...
  17. JamiiForums Tanzania Marekani yamshikilia kiongozi wa Yakuza kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya

    Marekani imemkamata kiongozi wa kundi la yakuza la Japan na wanaume watatu wa Thailand, wakiwatuhumu kwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroini na methamphetamine na kujaribu kupata makombora ya kutoka ardhini hadi angani yaliyotengenezwa na Marekani kwa ajili ya makundi yenye silaha huko...
  18. JamiiForums Tanzania ARUSHA: Wawili wanaswa wakisafirisha dawa za kulevya aina ya Heroin gramu 70.77

    Jeshi la Polisi mkoani Arusha linamshikilia mfanyabiashara Abdi Hamis (27) mkazi wa Ngarenaro na Ally Said (25) dereva na mkazi wa Olasiti baada ya kukamatwa wakisafirisha dawa za kulevya aina ya Heroin gramu 70.77 kwa kutumia gari Na. T 949 DQA lenye tela Na. T. 253 CXR. Kamanda wa Polisi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Dawa za kulevya KG 187 zakamatwa mkoani Arusha

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikiria Ndg. Elia Mwambo (45) Mkazi Mkazi wa Ngaramtoni Arusha kwa tuhuma za kusafirisha Dawa za kulevya yanayodhaniwa kuwa ni Mirungi yenye uzito wa 187 kg. Akitoa taarifa hiyo kamanda wa Jeshi la polisi Mkoani Arusha ACP. Justine Masejo amesema mtuhumiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ukihusika na dawa za kulevya Zanzibar kifungo cha maisha jela

    Baada Rais wa Zanzibar, Dr. Hussein Ali Mwinyi kuidhinisha sheria mpya ya kudhibiti dawa za kulevya, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Dkt. Saada Mkuya, leo Ijumaa Februari 4 2022 amezungumzia sheria hiyo ambayo imeanza kutumika. “Kama Kamishna Mkuu au Afisa ambaye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…