dawa ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. zachariano alexido

    Usimuwekee dawa ya kienyeji kwa siri mtu bila kuijua zaidi hiyo dawa, ndo chanzo cha yule dada kumuua mumewe

    Baada ya kuingia mitamboni kusaka habari kuhusu yule bwana alie zikwa na mkewe nyuma ya nyumba. Walikua wanatatizo la kuto pata mtoto kwa muda mrefu. Huyo dada inawezekana alimuwekea dawa ya KIENYEJI MUMEWE kwa kesi hiyo ili wapate mtoto. Inawezekana huyo dada hakujua kama hiyo dawa ni sumu...
  2. A

    Naomba dawa ya miguu kuwaka moto

    Habari wakuu kwa anaejua naomba anisaidie dawa ya miguu kuwaka moto baadhi ya muda miguu yangu inawaka moto anaejua dawa anisaidie tafadhal
  3. VERBOSE

    NILIPOKUA Mkoa X nikapatiwa Dawa ya Maajabu kwa ajili ya Matibabu ya Haraka, Nikapona

    Nilipokua Mkoa X Mwaka Z, ghafla tu nikaanza kuumwa ugonjwa fulani siuelewi ulipotokea mpaka nikaanza kuhisi labda nishapigwa kipapai au namna gani vile maana ule Mkoa unasifika kwa hayo masuala ya kuroganarogana tu, usiku hakulaliki mchana hakukaliki na haakutembeleki baridi sio baridi joto sio...
  4. Etwege

    Dawa ya Oktoba 29/2025 ndiyo pekee itakayowaingia vizuri ccm kwenye chaguzi zijazo

    Lugha pekee watakayoielewa ccm ni ile ya Octoba 29. Lugha iliyozungumzwa na watanzania siku ya uchaguzi mkuu octoba 29/2025 ndiyo lugha pekee wanayoielewa CCM hasa CCM mtandao. 1. Kwanza kususia huo uchaguzi kuliwatia hofu sana ccm ndiyo maana walitumia kila njia ionekane kuna foleni za wapiga...
  5. OLS

    PostGE2025 Nyimbo za ushujaa wakati wa kuzika ni alama ya maumivu yasiyostahimilika, inahitajika dawa ya haraka

    Sikuandika kitu mara baada ya uchaguzi japo nilishuhudia kilichotokea. Kuna makosa kadhaa ambayo CCM wanayafanya ili ku-justify yaliyotokea niwaambie vijana wa CCM Mkae kimya maana mnajiharibia katika siasa za kimataifa. Na ninaamini wengi mnapenda kuja baadae kufanya siasa za kimataifa ili...
  6. O

    Wapi nitapata dawa ya tadalafil 5g?

    Msaada wadau nina uhitaji na tadalafil 5g ila nimezisaka sana bila mafanikio pharmacy nyingi wana 20g
  7. 888I

    Katiba Mpya — Dawa ya Mifumo Inayosuasua?

    Baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, mitaa mingi nchini imejawa na mijadala, midomo na mikono juu — wengine wakiita kilichotokea ni maandamano, wengine wakisema ni vurugu, na wachache wakiona ni kilio cha matumaini kilichopotea. Lakini tukitulia na kuangalia kiundani, pengine yote haya...
  8. kiboko ya popo

    Sumu na dawa maalum ya kufukuza na kuangamiza popo..sumu na dawa ya popo

    Hello.. Popo wamekua ni changamoto kubwa sana kwa mazingira yetu ya majumbani na mazingira yanayotuzunguka.Popo husababisha madhara na uharibifu katika nyumba zetu kama 1. Uchafuzi wa nyumba zetu kama madari na ukuta 2. Kelele nyakati za usiku 3. Popo ana uwezo wa kubeba virusi vya magonjwa...
  9. second9

    Dawa ya Mafua

    Wakuu, Kuna dawa nilitumia mafua yakakata ndani ya masaa kadhaa tu japo pua ilikuwa kama inaungua. Niliuziwa Mbeya mtu alikuwa anapita nazo tu hotelini. Hii dawa naitafuta tena kwa yeyote anajua inapopatikana kwa Dar.
  10. camily

    Dawa ya hizi rashes (upele)

    Msaada vipele ivo vinawasha sana, sijajua shida ni nini
  11. Dr Luu

    Siri hadharani: Dawa ya jino linalouma na lililotoboka

    Habari Nimepata watu wengi wanasumbuliwa na jino wengi nimewapatia huduma ila nimeona changamoto ya wengi nikuwa wapo mbali hivyo imekua ni unfair trade kwakua gharama ya dawa ni 2 - 3k tu ila usafiri unaanzia 5k hadi 15k sasa hili limefanya wengi wasipate huduma hii na kuteseka na maumivu...
  12. Dennis Robert Shughuru

    Tunaweza tengeneza dawa ya ebola na marburg ya kutibu symptoms hii fedheha inatakiwa ifike mwisho

    Maginjwa ya ebola, na marbug yamekuwa yakiitesa sana East afrika hasa DRC, kwa mbali Rwanda, Burundi na Uganda ila kituko tunasubiria huruma za nchi za magharibi watutengenezee dawa to be honest hiki ni kituko Yaani tatizo lipo nyumbani kwako unamsubiria mtu wa mbali ambaye hata haishi hapo...
  13. R

    Mwenye dawa ya Kisukari ambaye yupo tayari kutuma sampo Ujerumani tuwasiliane

    Nimewasiliana na Watabibu wengi wanaodai wana dawa za kuponya Kisukari (diabetes) lakini kila ninayemuomba atume sampo au dozi ya mgonjwa mmoja tuone kweli kama inafanya kazi wanataka ilipiwe kwanza. Kama kuna tabibu anayetibu kwa hakika kisukari cha type zote na yuko tayari kutuma dozi moja...
  14. E

    Dawa ya kuondoa ndevu (Hair removal)

    Nahitaji hii dawa kwa kuondolea ndevu (Nair Hair Removal). Nimeitafuta kwenye maduka mengi sana ila nimeikosa. Mara ya mwisho niliipata supermarket moja ila kwa sasa nimerudi kuinunua sijaikuta. Nimepita supermarket za posta, napo huko nimeikosa. Kariakoo kwenye maduka makubwa na madogo ya...
  15. VictoriaGreenHerbal

    Dawa ya Chango la Uzazi

    Chango la uzazi ni tatizo kubwa linaloshambulia viungo vya uzazi vya mwanamke. Tatizo hili humsababishia maumivu makali ya tumbo, kushindwa kubeba ujauzito, au mimba kuharibika mara kwa mara muda mfupi baada ya kutungwa. Mara nyingi chango la uzazi husababishwa na vifuko vya mayai ya uzazi...
  16. VictoriaGreenHerbal

    Jinsi ya Kuondoa Michirizi Kwenye Ngozi yako

    Dawa ya Kuondoa Michirizi Kwenye Ngozi ✨ Michirizi kwenye ngozi (stretch marks) ni tatizo linalowasumbua watu wengi. Mara nyingi husababishwa na: Unene uliopitiliza 🏋️ Kupungua uzito ghafla Baada ya kujifungua 🤱 Matumizi ya vipodozi vyenye kemikali Mabadiliko ya homoni na urithi wa kimaumbile...
  17. Dr Luu

    Dawa ya jino, Alera. Nisuluhisho kwa maumivu ya jino.

    JE, UNAUMWA NA JINO AU FIZI? 😖 Maumivu ya jino yanaweza kuharibu siku yako yote—ukose kula vizuri, kushindwa kulala na hata kuathiri mdomo kutoa harufu mbaya. Wengi hufikiri suluhisho ni kung’oa tu, lakini si lazima ufikie huko. 🌿 ALERA ni dawa asilia iliyotengenezwa kwa viambato vya mimea ya...
  18. U

    Sababu Kuu Upinzani kushindwa kushika Dola Tanzania ni Ubinafsi na Ukosefu wa Maadili kwa Viongozi wake, dawa ya dhambi hii ni kuikubali na kuuikemea

    Madai ya manyanyaso hayana ukweli bali dawa ni kabadilika
  19. Youbettersleep

    Dawa ya Mpenzi anayekujibu dharau au ambaye hana muda na wewe ni hii hapa

    Wajomba na Mamshangazi habari zenu. Mahusiano yanachangamoto nyingi sana, ukiona mahusiano yako yamesimama imara na hujawahi pitia changamoto kama hizi siku ikikukuta utatamani kuzimia. Baadhi ya mahusiano yanapitia changamoto hizi. 1. Kunyamaziwa kimya kwa siku 2 hadi 3 2. Kujibiwa majibu...
  20. mbasa ya konge

    Msaada wa haraka: Demu wangu ameniambia tokea nianze kudate na yeye sijawahi kumridhisha

    Wakuu nimeabika na kudhaurika.yaani demu wangu ameniambia tokea nianze kudate na yeye sijawahi kumridhisha Wala kumfikisha kileleni. Wakuu kwa yoyote mwenye mkongo au dawa yoyote anielekeze Ili niweze kutumia nikamkomeshe. Ameniudhi sana yaani Huwa najua namshughulikia vizuri kumbe simridhishi...
Back
Top Bottom