da'vinci mshana jr amber rutty baby

  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ipe neno picha yangu ya leo asubuhi

    Mtego waPanya huo.................... UTANI KIDOGO! KIM JOUNG UN Ameweka Bendera Ya IRAN Korea Kaskazini Ili TRUMP Afikirie Kuwa Ni Iran. apate Kuipiga Korea ya Kaskazini.......
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    Jerusalem leo yageuka kama Gaza, Makombora toka Iran yameshushwa kama mvua 30 Km za Maraba zimeharibiwa vibaya sana

    Jerusalem today looks like Gaza .. IsraHELL you get what you deserve
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mtakumbuka huu UJUMBE , tunaelekea Tanzania kuwa kama ZIMBABWE.Ameandika Mheshimiwa Godbless Lema

    Dhahabu ya taifa si “pesa iliyoko mezani,” bali kinga ya taifa, inadumisha thamani ya sarafu, inakabiliana na mfumuko wa bei, na inavutia uwekezaji. Kuiondoa kutoka hazina au kuuza zote mara moja ni kujipiga makofi. Ni hatari isiyo na kifani. Hatari hii si ya nadharia tu, bali ni kielelezo cha...
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    Wakili Boniface Mwabukusi amemtaka Jaji Mkuu wa Tanzania asiruhusu kesi kama hizo. Tundu Lissu atolewe

  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    RAIS SAMIA akabidhiwa Gari Na Wa-Tanzania Wenye Urai Wa Oman

  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    Machafuko ya uchaguzi wa Oktoba29 2025 nchini Tanzania yalifunikwa na giza zito la kuzimwa kwa intaneti

    Machafuko ya uchaguzi wa Oktoba 2025 nchini Tanzania yalifunikwa na giza zito la kuzimwa kwa intaneti, baada ya mrindimo wa bunduki kunyamaza ghafla. Sasa, ushahidi mpya unafichua kile ambacho hakikusimuliwa – vifo vya watu ambao idadi yao bado haijulikani, miili iliyotoweka, na tuhuma za...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ulaya Baridi Kali kuna barifu nyingi sana Kaka bora tubaki huko huko Home huku hakufai au wewe unaonaje ?

  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    MAREKANI: Rwanda inahatarisha Usalama wa eneo la Afrika Mashariki

    Haya yanajiri siku chache tu baada ya kusainiwa makubaliano ya amani yaliosimamiwa na Marekani. Awali balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Mike Waltz, aliliambia Baraza la Usalama la Umoja huo kwamba, badala ya kupiga hatua kuelekea amani, Rwanda inaongoza eneo hilo kuelekea ukosefu wa...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    Picha Yangu ya Leo Baada ya Uchaguzi Mkuu Wa Tanzania

    Mchora vibonzo wetu =AZVodGy-7VfJFtYauXKiSJ4maIdCuy7mr4LBz2CewgRmTb8mD-KjNErSe4fMel81EGoMLYz5XAhtECJrdgA7jKf4TzdM0j_lf9YPzUuDneRtYd8jX-B19kXtRtoMED5O8d7RMSVBZMO0U0ZrsnwtNo9AZfsGjFrBu2-IbzEJAqQQkByqtI6ddpaHt1ZUtD6i3Kv-PvrekjAlm3qFHcUdK1Y&__tn_=-]K*F']Said Michael 'Wakudata' anatupia jicho...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    Usiku Mwema Marafiki Zangu

  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    Nchi 7 'hatari' zaidi kwa usalama Afrika

    Maelezo ya picha, Makumi ya watu nchini Kenya wametekwa nyara na kuuawa tangu maandamano yalipozuka mwezi Juni 2024Maelezo kuhusu taarifa Afrika ya Kusini mwa Jangwa la Sahara imeshuhudia kushuka kwa viwango vya amani katika mwaka uliopita, ambapo wastani wa hali ya amani katika eneo hili...
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    Kuna Aina sita ya vyakula ambavyo vikichanganywa hugeuka sumu

    Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine. Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya. Wengine huumwa hadi kusababisha kupoteza uhai na hii ni baada tu ya kupendelea kuchanganya chakula. Mtu mmoja anaweza kula...
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    War No More Trouble Live At The Rainbow Theatre, London 1977

  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    Unarudi Toka Kazini Unamkuta Mkeo anampiga Mama yako Mzazi.Je utafanya kitu gani kwa mkeo?

    Hatari kweli kisia huyu atakuwa ni mama yake mzazi au mama mkwe wake?
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    Hakuna haja ya kuoga kila siku - hii ndiyo sababu

    Na Matilda Welin Makala mwandishi Je, ni lazima kuoga mara kwa mara? Baadhi ya wataalamu wanaamini kwamba kuoga kila siku kunategemea zaidi 'mkataba wa kijamii' kuliko mahitaji halisi. Miaka michache iliyopita, niliacha kuoga kila siku. Janga la Corona lilisababisha watu wafanyie kazi nyumbani...
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mwamba huyu Historia Yake Haito sahaulika duniani kote Bingwa Wa Kung fu duniani Bruce Lee

    MWAMBA HUYU HAPA... BLUCE LEE alivunja rekodi ya dunia Mara 10 ndani ya miaka miwili tu.Bluce Alivunja rekodi ya dunia baada ya kupiga push up 2000 kwa kutumia vidole viwili vya mkono moja,kupiga Push up 15000 kwa mikono miwili bila kupumzika,Push up 4000 kwa mkono moja na Push up 1000 kwa...
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    Dawa Ya Nguvu Ya Kiume Ya Asili Kwa Wale Wenzangu Kwenye Mashindano Ya Kitandani usiku wanaofunga Goli Mapema haya chukuweni dawa hiyo Nimetoa Bure

    DAWA YA NGUVU YA KIUME aka Viagra Ya Asili Tafadhali kama wewe ni chini ya Umri wa Miaka 20 kaa Mbali dawa hii. Mwanume yeyote ambaye hutoa hudumu ya dakika 2 tu katika mashindano ya Kitandani na Mke baada ya kuchukua mchanganyiko huu usijali utaongezeka muda mpaka kufika dakika 30 Kumaliza...
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    Jamaa anaitwa Mohamed ameibiwa watoto 2 saa 12 jioni na mfanyakazi wa ndani Wilaya ya Temeke

    Atakaye waona ampigie simu Mr Mohamed kwa namba hii hapa 0744555574. BREAKING NEWS: Alhamdulillahi Watoto Wamepatikana Wapo Polisi Mama yao ameshakwenda kuwaona wanapelekwa hospitali kupimwa afya zao.
  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    Moto Mkubwa unawatesa Wamarekani wa Jimbo la California

    Tizama dunia hii. James Woods, muigizaji maarufu wa Hollywood ambaye alishabikia Wapalestina wote wa Ghazza wateketezwe, Mungu kamtahini kwa kuunguliwa na nyumba yake katika moto mkubwa unaoendelea kuiteketeza California, sasa analia kama mtoto mdogo! Ama kweli mzigo wa mwenzio ni kanda la usufi
Back
Top Bottom