data

  1. JamiiForums Tanzania Professional Data Analysis by Bright and Genius Editors – SPSS, R, STATA, AMOS, SmartPLS & Machine Learning by Python

    Professional Data Analysis by Bright and Genius Editors – SPSS, R, STATA, AMOS, SmartPLS & Machine Learning by Python Unahitaji msaada wa kitaalamu kwenye uchambuzi wa data kwa ajili ya Dissertation, Thesis, Research Paper, au Taarifa za Kitaaluma au Kibiashara? Tunafanya uchambuzi wa data kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kutakua na mradi kubwa sana wa ku-analyze protein data zote ambazo zipo kwenye uniprot database

    Analysis of protein data itabase kwenye maeneo yafuatayo Energy distribution of individual amino acid and complete protein Magnetic force of individual amino acid and complete protein Amino acids sequence rules Protein folding mechanism Predict protein mutation Link ifuatayo inakuonyesha data...
  3. JamiiForums Tanzania DATA SET CABLE KWA BEI POA

    DATA CABLE SET – Kasi, Ufanisi na Ubora kwa Vifaa Vyako Vyote! Unachoka na nyaya zinazovunjika haraka? Tunakuletea Data Cable Set ya kisasa yenye ubora wa hali ya juu! Seti hii inajumuisha: 1x Type-C Cable – Kwa simu mpya na vifaa vya kisasa✅ 1x Lightning Cable – Inayofaa iPhone na iPad✅ 1x...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Yas/Tigo wanapika data za vifurushi na kuibia wateja? Taarifa za matumizi ya kifurushi zimekuwa pungufu ya bando huku MB zimeisha!

    Wakuu, najua hii ni ndefu kidogo lakini tafadhali soma mpaka mwisho ili tukomeshe jinamizi hili, ******* Wakuu mimi ni mtumiaji wa huduma ya Postpaid kwenye mtandao wa Yas/Tigo, ambako ninanunua kifurushi cha Combo cha elf 60,000/-, kwenye kifurushi hiki napata data GB 55, Dakika 3000 mitandao...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa rais wa TFF Yanga wakishindwa kutokea na washusha daraja

    Yaani ningekua rais wa TFF nangojea siku ambayo watani zangu vyuva FC wanayosema hawatakuja kucheza mechi, wasipotokea nawashusha hadi daraja. Yaani nafanya kama nimejizima data hivi nawashushilia mbali....Ndoto zingine bwana!!!!
  6. JamiiForums Tanzania Why I Don’t Analyze Data Without Writing a Mini-Proposal First Even When It’s Already Coded

    Recently, a medical student studying abroad reached out to me. They had a coded dataset, collected through a structured questionnaire, and were ready for data analysis. Their message was straightforward: “The coding is done. I just need the analysis.” But instead of jumping straight into SPSS...
  7. M

    JamiiForums Tanzania DINI INAYOONGOZA KWA MAUJI YA WATU WENGI DUNIANI NI UKRISTO, DATA HIZO HAPO

    📊 MAKADIRIO YA VIFO VYA VITA KWA KUZINGATIA DINI ZA KITAIFA (Nchi zenye Wakristo wengi vs Waislamu wengi) ✅ 1. Nchi zenye Wakristo WENGI (Christian-majority countries): Vita vikubwa vilivyotokea kutoka nchi hizi ni: WWI (1914–1918) WWII (1939–1945) Vita vya ukoloni Afrika na Asia Vita vya...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini ukiweka Line ya halotel Option ya tethering inatoweka?? Yaan huwezi kushare data kwa wireless

    Watalaam Simu nayotumia ni iphon 11 Mnisaidie
  9. S

    JamiiForums Tanzania Windows 7,8, 10, 11. Okoa kifurushi Cha Intaneti na data saver 99%

    Data saver 99% software inasaidia kudhibiti matumizi ya kifurushi Chako Cha Intaneti kwa kuchagua programu gani itumie intaneti kwa wakati unaotaka kwenye kompyuta (Windows OS 7, 8, 10, 11) yako. Programu inauzwa 30,000 Tsh. Kumbuka bila kuwa na hii programu kifurushi Chako Cha Intaneti...
  10. JamiiForums Tanzania Swala la kujizima data kwenye kujitafuta lina faida na hasara zake

    Swala lakujizima data limeanzisha vitu vingi kwenye jamii yetu kwakutoa matunda kwa baadhi ya watu na kupoteza watu kwenye ramani. Hapa tunazungumzia style za utangazaji wa biashara, upambe (uchawa), influencer 😃, nk Upande wa faida: Kuna yule binti alikuwa anajipa vibe kwenye biashara yake...
  11. JamiiForums Tanzania Umebanwa Na kazi unataka mtu wa Kukuingizia Data kwenye Mfumo wako wa Ofisini?

    Habari naitwa Rashid kama kichwa cha habari kinavyoeleza, Unaweza kuwa unahitaji usaidizi wa muda wa kuingiziwa data zako kwenye mifumo ofisini kwako Usisite Kunitafuta, Nina ingiza Data kwenye Database na mfumo wowote Ule kwa usahihi. Namba za Simu 0627225627/ 0745747368 Email...
  12. JamiiForums Tanzania Umebanwa Na kazi unataka mtu wa Kukuingizia Data kwenye Mfumo wako wa Ofisini?

    Habari naitwa Rashid kama kichwa cha habari kinavyoeleza, Unaweza kuwa unahitaji usaidizi wa muda wa kuingiziwa data zako kwenye mifumo ofisini kwako Usisite Kunitafuta, Nina ingiza Data kwenye Database na mfumo wowote Ule kwa usahihi. Namba za Simu 0627225627/ 0745747368 Email...
  13. JamiiForums Tanzania Espionage: Jasusi anapopokonywa Data zake kichwani akiwa amelala huku akijihisi km yupo Macho kumbe yupo usingizini?

    Nauliza tu hivi umeshawahi kulala kisha ukaanza kuota kwenye ndoto ukiwa unaona mazingira ni halisi kabisa bila kujua kwamba upo ndotoni ghafla bin vuu ndoto inaanza kuchangamka unajikuta aidha kwa kukasirishwa au kufurahishwa aidha unaanza kuongea katika hali kujitetea au unaanza kucheka bila...
  14. JamiiForums Tanzania Njia za kukusanya data kwenye research unahisi ipi itakufaa?

    You know when conducting research and you reach the stage of data collection, as a researcher, unakuwa na uwanja mpana wa kuamua njia ipi utumie. Should you go for primary data, secondary data, or both? Okay may be let me break them down ili tuelewane kidogo, the moment I say primary data hapa...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada...i phone 6 yangu imezimwa napataje data zangu zilizomo humo??

    JuZ kat sikuwa na habar kama hizi simu za iphone matoleo ya nyuma wanazizima zisifanye kaz tena.nikiwa sina hili wala lile ghafla simu nikaona haifanyi kaz imejizima...nikajaribu kuiwasha ikashindikana na sikuiangusha wala kuiharibu kokote..kwenda kwa fundi anasema iphone wameamua kuzima hizi...
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake mnazidi kujipoteza data

    Kuna wakati najiuliza maswali mengi nakosa majibu! Utofauti wa mwanamke na mwanaume upo na kila mtu anafahamu hilo, ila tunaamua kuchagua tu kuziba masikio na kusema kuwa tupo sawa. Hii picha imenifanya nifikirie mbali sana, sikatai kuwa kuna maaskari game wanawake ila sio kila eneo la game...
  17. JamiiForums Tanzania Natumia Iphone 7 plus ila haifungui Social Media Mpaka Na Data

    Habarini. Natumia iphone 7 plus nikifungua whatsapp,Facebook,instagram,tiktok. Mpaka niwe na Data’ wakati iphone zingine hata kama hauna data zinafungua whatsapp,facebook,IG.
  18. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania ndo nchi ambayo unaweza kusoma mpaka chuo kikuu na bado data zako zisionekane popote wakizitaka

    Hii ni nchi ya ajabu sana. Unamaliza mpaka chuo kikuu lakini siku ya interview wanakwambia hawakujui eti kisa ulipoteza vyeti tu hata kama viliungua moto ndani. Nchi ya maajabu sana. Hata IT Tanzania haifanyi kazi kabisa. Hii niyo nchi ya vi wonder kama alivyosema JPM
  19. JamiiForums Tanzania Tunahitaji data base itakayo onesha mashule yote Tanzania kwa kila Wilaya

    Binafsi naona tunaishi kwenye Nchi ambacho hata ukiulizwa utaje shule zilizoko wilaya uliyotoka huwezi kuzijua; Nashauri; Kuwe na ukurasa (Data base) ukiingia unapata Shule zote kwa kila mkoa na kwa kila Wilaya 1. Mfano: Kuwepo na shule za A-level (mnaweza kwenda mbali na kuweka combination) 2...
  20. JamiiForums Tanzania Programming huwa inaishia kwenye if-else pamoja na data types.

    Habari zenu wakuu… Naomba Leo tuongee kuhusu mambo haya ya programming, kwa maana watu wengi huwa wanahisi programming ni ngumu na hii yote ni kutokana na kutokujua msingi na dhima ya programming ni ipi. Na ndio maana nimeandika hili bandiko ili kutoa degree ya kompyuta sayansi ya miaka mitatu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…