data

  1. JamiiForums Tanzania Mauzo ya data Tanzania ni hasara

    Kwa wale waliofuatilia interview ya boss wa Voda Hashim Hendi, ali-hint kuhusu bei za data kwamba makampuni ya simu Tanzania yanauza data kwa Sh1 to 1.2 per megabyte, kama aliyoyasema ni kweli basi nchi nzima makampuni hayana net profit kwenye mauzo ya data na hata process ya kuuza minara...
  2. JamiiForums Tanzania Data Analyst at The School of St Jude

    Data Analyst Want to work for one of the largest charities of its kind in Africa? Are you passionate about data and making stories out of numbers? If it sounds like we’re talking about you… Keep reading! About Us The School of St Jude is a pioneering leader in charitable education within...
  3. JamiiForums Tanzania Data Manager at ASUTA

    Job Title: Data Manager Job Location: Dar es salaam. Temeke District Organisation: Asasi ya Uwezeshaji Tanzania – ASUTA Asasi ya Uwezeshaji Tanzania – ASUTA working in partnership with FHI 360 on Epidemic Control (EpiC) which is a global project funded by the U.S. President’s Emergency Plan...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada wa wipe data/factory reset

    Msaada wa kurestore simu imejiweka pin Mara nyingi sasa inanipa 24 hours ndio niweze weka pin na mi nahitaji kutumia muda huu nisema ni flash kila kitu kitajifuta msaada wenu nitumie njia gani niweze weka pin bila kufuta vitu kwenye simu
  5. JamiiForums Tanzania Mtandao wa tigo ni Wezi wa Data

    Leo mimi mwenyewe ni mwathirika wa wizi wa bundle unaofanywa na tigo. Yaani kudownload nyimbo 3 ambazo jumla hazifiki 20MB na kutumia JF na Whatsapp. Nacheck muda huu nina 34MB katika one GB nliyokuwa nayo asubuhi. Huu ni uhuni na wizi wa kiwango kikubwa sana. Hakuna kitu ambacho nmefungua...
  6. JamiiForums Tanzania Huenda Tanzania ikawa inauza data kwa bei ndogo kuliko nchi zote Afrika

    For the second year running, Tanzania is the country in East Africa where you will pay lowest to access the internet on your smartphone, according to data released recently by British technology research firm Cable. The report, Worldwide Mobile Data Pricing 2021, reveals that Somalia is no...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Here is the rank for EA's data affordability and internet accessibility

    Tanzania remains the place to be for cheapest data, internet access WEDNESDAY APRIL 28 2021 Summary For the second year running, Tanzania is the country in East Africa where you will pay lowest to access the internet on your smartphone. PHOTO | FILE | NMG Countries with long-established...
  8. JamiiForums Tanzania Data Clerk at World Health Organization

    Purpose of the SSA: Background Tanzania has made tremendous progress in eradication of poliomyelitis and elimination of MNTE and measles. . The last case of Polio was in 1996 and since then no case of wild poliomyelitis or cVDPV has been detected in Tanzania. In 2020, the WHO African region was...
  9. JamiiForums Tanzania TTCL yarejesha vifurushi vya zamani vya DATA, SMS na DAKIKA

    Katika kutii agizo la Serikali lilitolewa April 2 la kusitisha gharama mpya za vifurushi, TTCL Corporation April 3 ilianza na kukamilisha mchakato wa kurejesha gharama za zamani za vifurushi"Kaimu Mkurugenzi wa Biashara Leonard Laibu Tunapenda kuufahamisha umma wa watanzania kuwa shirika...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Makubaliano ya Umoja wa Afrika kuhusu ulinzi wa Data binafsi za watu

    Ibara ya 8 ya makubaliano hayo imeweka malengo ambayo Watanzania wangenufaika nayo kama #Serikali ingekuwa imetia saini Moja ya lengo ni: Kila #Taifa lazima lihakikishe linatengeneza sheria kwa ajili ya kuimarisha #Haki za msingi za binadamu, uhuru wa raia ikiwemo ulinzi wa taarifa zao na kutoa...
  11. JamiiForums Tanzania Looking for Promotion my Debut Song at your TV and Radio

    Looking for Promotion my Debut Song at your TV and Radio. [
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu kwa Mashirika na Kampuni mbalimbali kulinda Data za Wateja wao

    Sheria ya #UlinziWaData ambayo bado haipo nchini Tanzania ina umuhimu mkubwa kwasababu itasaidia kulinda data za mteja kama zifuatazo; Majina ya Watu(Wateja kama ni kwenye Kampuni ya biashara), Anuani za Posta na Makazi za Wananchi ambao na Wateja wa Makampuni ya biashara Barua pepe za watu...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya ulinzi wa taarifa binafsi (Personal Data Protection)

    Ulinzi wa taarifa ni mchakato wa kulinda taarifa muhimu dhidi ya kuibwa, kutumiwa vibaya, kuharibika au kupotea. Taarifa hizi ni zile ambazo mtu anajaza, anaandikisha au zinakusanywa kutoka kwake kupitia nyenzo za kidigitali au nje ya mtandao Ingawa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  14. JamiiForums Tanzania Data Clerk at WHO

    Data Clerk - (2101624) Grade: No grade Contractual Arrangement: Special Services Agreement (SSA) Contract Duration (Years, Months, Days): 12 Months Primary Location: Tanzania, United Republic of-Dar-es-Salaam Organization: AF_TZA Tanzania Schedule: Full-time IMPORTANT NOTICE: Please note that...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

    Mpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana. Licha ya Serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo, bado makampuni hayo yamekaidi na yanaendelea 'kuwaibia' wananchi kwa kuuza bando kwa bei ambazo...
  16. JamiiForums Tanzania Acha kulalamika vifurushi kupanda, anza kuwa na data plan

    PUNGUZA MATUMIZI YA MTANDAO YASIYO NA TIJA. 👉🏿 Punguza kutizama video za kuchekesha na zisizofundisha chochote. 👉🏿Punguza na Acha kutizama video zenye maudhui ya NGONO hapa MB zinakwenda sana bila faida 👉🏿Punguza na futa magroup ya telegram yenye maudhui yasio na faida, mfano magroup ya...
  17. JamiiForums Tanzania SICPA Tanzania Jobs, March 2021- Data Analyst

    JOB TITLE: Data Analyst Req ID: 20524 Location: Dar Es Salaam (TZ10), Tanzania Department: Customer Projects Deployment & Services (50015623) Job Family: Sales and Customer Support PURPOSE OF THE JOB: We are looking to employ a Data Analyst to actively participate in Service Centre activities...
  18. JamiiForums Tanzania Unaishiwa bando haraka? Fahamu namna ya kudhibiti matumizi yako ya data mtandaoni

    Umeshawahi kuwa mhanga wa kifurushi chako kuisha kabla haujakusudia kiishe? Pengine umekuwa ukilalamika kuwa baadhi ya mitandao inakumalizia data zako, na hii inaweza kusababishwa na kutofahamu kiwango cha data kinachotumika kwa matumizi ya kawaida mtandaoni. Si rahisi kuweka makadirio ya moja...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania IXAfrica breaks ground on data center campus in Nairobi, Kenya

    IXAfrica has broken ground on an 18MW data center in Nairobi, Kenya. Speaking during the ground breaking ceremony, IXAfrica chairman Guy Willner said that the data center will be IXAfrica’s first after years of delays and is on track to be East Africa’s largest ‘hyperscale-ready’ campus. The...
  20. JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Ni ujinga Waziri kutoa Data za Walioathiriwa na Corona kila siku. Bei ya chanjo ni Tsh 400,000

    Naibu Waziri wa Wizara ya Afya Jinsia Wazee na Watoto amesema watu wengi wanasema Tanzania haitoi data, ambapo amesema data haina haja ya kutangazwa kila siku na Waziri, utakuwa ni ujinga mtupu. Amesema Data huwa inataka uchakataji ili kujua tatizo ya magonjwa yanayosababisha vifo na kujua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…