daraja

Daraja Academy is a secondary school for Kenyan girls located outside of Nanyuki, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania DC SHAKA APONGEZA UAMUZI SERIKALI CHINI YA RAIS SAMIA KULIJENGA UPYA DARAJA LA MAGOLE

    DC SHAKA HAMDU SHAKA APONGEZA UAMUZI WA SERIKALI YA RAIS SAMIA KUJENGA UPYA DARAJA LA MAGOLE Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mh. Shaka Hamdu Shaka, amepongeza hatua na uamuzi wa Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wa kujenga upya Daraja la Magole, katika barabara kuu ya Morogoro - Dodoma...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hata kama ni kuwanunua wale wa daraja la juu, A class, ndio utoe milioni kwa usiku 1 ?

    Tanzania ina mambo ya kushangaza sana wazee. Hivi unaanzaje kutoa mtonyo wa milioni moja kwa usiku mmoja tu kulala na demu kwa kisingizio ni A class? Dem anaejiuza ambaye pengine jana alikuwa na mteja mwingine, na kesho yake ana wateja wawili
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya kumaliza muda wake IPU, usalama wa Tulia Ackson unarudi daraja moja la Nchimbi na Polepole.

    Huu uzi ni kwa ajili tu ya kumkumbusha mama la mama Tulia Ackson. Baada ya kumaliza muda wake kimataifa usalama wake unashuka daraja kidogo kutoka ule wa Abdul na Wanu Hafidhi na kusogea daraja la Nchimbi na Polepole. IPU ilikuwa inampa kinga ya kuvanish without trace. Kwa hiyo a jitahidi...
  4. JamiiForums Tanzania Ameacha ufundi electronics yeye anaenda kusomea udereva daraja c

    Hatumzuii au hatumpingi mtu ila tunampa tu ushauri yeye ataamua aubebe au autupe Kuna mdogo wangu alitoka kijijini juzi kamaliza form4 mwaka jana. Sasa alikuja kama na laki 3.5 hivi lrngo akasomee udereva. Ila kwa upendo tu nikaona nimpe ushauri wa kuchagua. Nikamshauri kuhusu ufundi wa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mradi wa Daraja la Mto Sanga lililopo Meatu Shinyanga umekamilika ila Wafanyakazi tunadai mishahara tangu Aprili 2025

    Sisi wafanyakazi wa ujenzi wa Daraja la Mto Sanga linalounganisha Ifungilo na Usangijo, Wilaya ya Meatu, tunailalamikia Kampuni ya Busangwa Company Limited ya Shinyanga kwa kushindwa kutulipa stahiki zetu baada ya kumaliza kazi ya ujenzi wa daraja hilo. Tulifanya kazi kwa uaminifu tangu mwezi...
  6. JamiiForums Tanzania RESOLVED Daraja la Kimara Mwisho lawekewa kingo

    Julai 10, 2026, Mdau aliandika kupitia JamiiForums.com kuwa ni vema ujenzi wa daraja lililopo Kimara Mwisho ukamaliziwa kwa kuwa ni hatarishi kwa watumiaji kutokana na kukosa kingo za pembeni. Pia soma ~ Serikali naomba mlimalizie Daraja la Kimara mnahatarisha usalama wa wananchi Daraja hilo...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Dampo la takataka liwekwe kwenye njia ya Watembea kwa miguu katika daraja la Mirongo, Mwanza

    Naomba kuwasilisha kero kuhusu uwekaji wa dampo la takataka kwenye njia ya watembea kwa miguu katika barabara ya kuelekea U-turn ya Daraja la Mirongo, Jiji la Mwanza. Uamuzi huu umeleta usumbufu mkubwa kwa watembea kwa miguu, kwani njia hiyo sasa imezibwa na kuwalazimisha baadhi ya watu...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nafasi za mwalimu wa daraja la 3C inaone,kana zimeisha jana (waliofanya usaili April 2026)

    Shikamooni,...Kwa muliofanya usaili wa mahojiano mwalimu wa kiswahili daraja la III C Hapo jana kwa hesabu zisizo rasimi (ambazo hazijatolewa na sektetarieti ya ajira) inaonekana nafasi 147 zilizohitajika zimejazwa.Je tutegemee zitaendelea? Sawa kama uko kwenye database (kanzi data) kama...
  9. JamiiForums Tanzania Kati ya daraja A, B na C, ni lipi linaonekana kuwa imara zaidi?

    Mdau, ni daraja unadhani linaweza kuwa imara zaidi na kwanini?
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri Shemdoe alisema Mfumo wa PEPMIS usiwe kikwazo cha kutopanda daraja Watumishi, Wilaya ya Chemba tunateseka

    Walimu kutoka Wilaya ya Chemba, Mkoa wa Dodoma, tunacheleweshwa kupandishwa madaraja, tulitakiwa kupanda madaraja kuanzia Mei 2026, lakini hadi sasa hatujapandishwa wala kupewa maelezo ya wazi kuhusu sababu ya kuchelewa. Tuliposubiri kupata majibu, baadhi yetu tuliwasiliana na Maafisa Utumishi...
  11. JamiiForums Tanzania MADOGO MLIOPANDA DARAJA, HUKU LIGI KUU HAKUNA UTANI HUKU UMEME UPO NA UKISHANGAA UNAPIGWA SHOTI.

    Madogo mnaochipukia kunako KIMASIHARA, Kaeni kwa PASSWORD kwa zama tulizopo usiumize sana kichwa. Mchukue mpeleke hospitali ya serikali, mwambie doctor sisi hatuumwi tumekuja kufanya check-Up. Kisha mtipu doctor hata ka 5K au teni mwambie ampime huyo kuku wako vipimo vifuatavyo; 1.UTI...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tungeweka progressive score 00% au total score 20% October 29,2025 nani angepanda daraja la urais? Mwalimu mmoja amehoji

    Walimu msituhusiahe na matatizo yenu maana mfumo mnaujua wenyewe,haya manunguniko msinungunike hizani, Uchaguzi uliisha mnapaswa kuchapa kazi siyo fimbo,maana sheria na kanuni mnazijua wenyewe kwa hiyo jitahidini muwe mnajaza progress kotekote kwa haki, Ombeni time sasa ichunguze kwa nn...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali imetenga Sh. Bilioni 1.2 kujenga daraja la kisasa la chuma (Mita 30) katika Mto Nyameni, Kata ya Ulaya - Kilosa

    Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa wameelezwa kuwa watanufaika na Shilingi Bilioni 1.2 zilizotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu kwa ajili ya ujenzi wa daraja la kisasa la chuma lenye urefu wa Mita 30 katika Mto Nyameni, Kata ya Ulaya, mradi...
  14. JamiiForums Tanzania Maswali Usaili Mkaguzi Daraja la II (NAOT)

    Maswali yanayoulizwa katika usaili huu yamejikita maeneo manne ambayo ni: Uelewa wa mambo mbalimbali yanayotokea katika jamii, Maswali kuhusu taaluma yako, Maswali kuhusu Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT), Maswali kuhusu kompyuta, internet na akili mnemba na maswali kuhusu hesabu. Japo lolote...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kazi za Afisa Ardhi daraja la II zimetangazwa na degree ya Sheria imetajwa kama moja taaluma zinazohitajika lakini kwenye Ajira Portal huwezi omba

  16. O

    JamiiForums Kenya Watu 45 Wafikishwa Mahakamani kwa Kuzuia Trafiki Karibu na Daraja la Nyayo Stadium

    Watu 45 wamefikishwa mahakamani baada ya kukamatwa kwa madai ya kuzuia mtiririko wa magari katika eneo la daraja la waenda kwa miguu la Nyayo Stadium, kando ya Barabara ya Mombasa, Nairobi. Mamlaka ya Kitaifa ya Usalama wa Usafiri na Barabara (NTSA) imesema hatua hiyo ni sehemu ya operesheni ya...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO DIT: Usalama wa wanafunzi wanaovuka barabara kwenda madarasa ya nnje ya chuo ni mdogo

    Wito kwa Uongozi wa DIT kuhusu usalama wa wanafunzi Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Kwanza (Bachelor) katika Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT). Ningependa kuwasilisha changamoto inayohusu usalama wa wanafunzi wanaotumia njia kati ya DIT Main Campus na jengo...
  18. JamiiForums Tanzania Hekaheka za boda boda daraja la kijazi

    Wazee mida ya jioni (Jana), nilikua napita kwa mguu pale kijazi interchange aise vurugu za bodaboda sio mchezo. Yaani waendeshaji na abiria ni kama wamenunua tiketi ya kifo! Hakuna rules yaani pikipiki kama mia Kila mtu anaenda upande wake taa zilivyoruhuaiwa! Huku watu wa miguu vivyo hivyo...
  19. JamiiForums Tanzania KERO Serikali naomba mlimalizie Daraja la Kimara mnahatarisha usalama wa wananchi

    Kazi iendelee Kwenu Serikali, mliyempa kandarasi ya kujenga dalaja hilo tajwa hapo juu naomba mumshupalie alimalizie, na kama mnalirekebisha ninyi wenyewe naomba mfanye haraka kulimalizia, limalizieni au lirekebisheni haraka Kama wewe ni mkazi wa Kimara utaelewa nazungumzia nn! Simu yangu...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Halmashauri ya Kyela walioajiriwa 2022 hatujapandishwa madaraja, wengine tayari

    Watumishi wa Halmashauri ya Kyela walioajiriwa mwaka 2022 bado hatujapandishwa madaraja, wakati watumishi wa halmashauri nyingine tayari wamefanyiwa utaratibu huo. Tunapofuatilia suala hili hatupati majibu ya kueleweka. Tunaomba msaada ili wahusika watoe ufafanuzi na kuhakikisha haki yetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…