Dar Kuna nini?
Mtu anakuwa ndugu, rafiki au jamaa mzuri ila akifika Dar akajua kiswahili anakuwa fisi na tapeli.
Yaani anaumiza kichwa anatunga story amtumie elfu 50 halafu anazima simü
Ukimwagiza mahala anapotea
Mitandaoni mnajionyesha mambo safi na tu vitambi na pensi vinjunga kumbe hamna...