dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. T

    JamiiForums Tanzania 💼 OTZ Solution Group: Supplier wa Resin & Hardener Dar es Salaam

    🚨 OTZ SOLUTION GROUP 🚨 Unatafuta bidhaa bora za Fiberglass kwa bei nafuu na uhakika? Sisi OTZ Solution Group tunakuletea suluhisho kamili kwa kazi zako zote za resin. 🔹 Tunauza: Resin (quality ya juu) Hardener Fiberglass Mat (Matt) Vifaa vingine vinavyohusiana na fiberglass ✅ Inafaa kwa...
  2. JamiiForums Tanzania RC Chalamila, Dar es Salaam imekushinda, inakuwaje kuna foleni kiasi hiki huchukui hatua?

    Inasikitisha sana kuona hali ya foleni jijini Dar es Salaam imefikia kiwango hiki. Haiwezekani mtu kukaa sehemu moja kwa zaidi ya saa moja bila kusogea. Njia ya kutoka Morocco kuelekea mjini, kupita Serena Hotel hadi uwanja wa ndege, imekuwa ni mateso makubwa – asubuhi na jioni. Kwa wiki nzima...
  3. JamiiForums Tanzania Matukio mbalimbali ya ziara ya Rais Paul Kagame nchini Tanzania, Mei 3, 2026

    Matukio mbalimbali katika Ziara ya Kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Mei, 2026. Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame akizungumza na Waandishi wa Habari kufuatia Ziara yake ya Kikazi Jijini Dar es Salaam, tarehe 03 Mei, 2026. Rais wa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mabafu na Vyoo vya Mabibo Hostel kukosa milango ni hatarishi kwa watumiaji

    Habari, Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na pia ni mkazi wa Mabibo hostel. Hii changamoto imekuwa ni kwa miaka sasa. Mabafu na vyoo havina milango na wala hakuna dalili za marekebisho kwa usalama wetu binafsi. Hilo suala ni kero kwa sisi tusiokuwa na makazi zaidi ya hostel...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Safari ya Jenerali Ulimwengu kutoka Ngara hadi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    Kumekuwa na utata wa wasifu wa mwandishi wa habari mkongwe, Jenerali Ulimwengu, hasa baada ya kutakiw akuomba upya uraia, enzi za Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa. Akizungumza katika mahojiano maalum, Jenerali Ulimwengu anasimulia safari yake tangu alipozaliwa wilayani Ngara mkoani...
  6. JamiiForums Tanzania Maeneo mengi ya makutano ya barabara Dar es Salaam yamejaa askari wenye silaha; nini kinaendelea?

    Leo asubuhi, nikiwa natokea Bunju, nimekuta askari wengi wakiwa wamejaa kwenye mataa ya Tegeta. Pia, kwenye Kona ya Masana walikuwepo kwa wingi wakiwa na silaha, na hata maeneo ya Mwenge wameongezeka zaidi. Najiuliza, kuna nini kinaendelea? Au ni suala la ripoti ya Jaji Chande inayotarajiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Bonde La Msimbazi Jijini Dar Kuwa Sehemu Muhimu Kwa Uchumi Na Mazingira - Prof. Shemdoe

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema Mradi wa Uendelezaji wa Bonde la Mto Msimbazi utaleta mabadiliko ya kweli kwa kubadilisha eneo la bonde la msimbazi ambalo ni hatarishi kwa sasa na kuwa sehemu muhimu kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Ratiba mpya ya treni za SGR Dar es Salaam - Morogoro, kuanzia Aprili 18, 2026

  9. JamiiForums Tanzania Nukuu za mhe Rais akifungua mkutano wa pili wa kitaifa wa WFNS leo tarehe 16/4/2026, Dar Es Salaam

    Tunapojenga miundombinu ya afya, tunapaswa pia kuzingatia ubora wa huduma kwa mgonjwa, Huduma za saratani zinahitaji uwekezaji mkubwa na usimamizi makini ili kuleta matokeo chanya " Rais Samia Suluhu Hassan
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia Akifungua Mkutano Wa Pili Wa Kimataifa Wa WFNS, Aprili 16, 2026, Dar es Salaam

    https://www.youtube.com/live/zvViP7gngNM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Shirikisho la Dunia la Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu, tarehe 16 Aprili, 2026, Dar es Salaam
  11. V

    JamiiForums Tanzania Mpango Mkakati wa Kuhamisha Viwanda Dar es Salaam kwenda Pwani kwa Kupunguza Foleni na Kuboresha Mipango Miji

    Napenda kuishauri Serikali kuwa inaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa foleni sugu jijini Dar es Salaam na kuboresha upangaji wa makazi kwa kuchukua hatua ya kimkakati ya kuhamisha viwanda vikubwa, vya kati na vidogo kutoka katikati ya jiji kwenda mkoa wa Pwani, ambao unaweza kuandaliwa rasmi kuwa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dar es Salaam: Magohe mpaka Mbezi Magufuli barabara ni mbovu na haipitiki kwa urahisi

    Hivi kwa nini barabara ya Mpiji Magohe mpaka Mbezi hawajazi kifusi kama barabara ya lami imewashinda? Yaani Barabara imechimbika balaa hata kwa kupita hamna, wahusika tunaomba walione hilo, miezi mwili iliyopita walisawawazisha baada ya siku 3 mashimo yakarudi kwa nini wasiweke kifusi tumechoka...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Ujumbe kutoka kwa Ndugu wa Misri: Siku 25 za Ukimya na Wasiwasi katika Bandari ya Dar es Salaam

    Subject: A Message from an Egyptian Brother: 25 Days of Silence and Concern at Dar Port Habari Tanzania, I am writing this not as an official, but as an Egyptian citizen who has lived and worked in our sister nation, Zambia, for years. I have always carried a deep love and respect for...
  14. JamiiForums Tanzania BARUA YA WAZI KWA WADAU WA MASOKO YA MITAJI TANZANIA (CMSA, DSE, WIZARA YA FEDHA)

    BARUA YA WAZI KWA WADAU WA MASOKO YA MITAJI TANZANIA Kwenda kwa: Capital Markets and Securities Authority (CMSA) Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) Wizara ya Fedha Tanzania YAH: Maboresho ya Sheria, Teknolojia ya Trading, na Vigezo vya Uandikishaji ili Kukuza Soko la Mitaji Tanzania...
  15. JamiiForums Tanzania Need Someone in Dar es Salaam to Handle Tasks for You? (On-Ground Support in Tanzania)

    Need Someone in Dar es Salaam to Handle Tasks for You? (On-Ground Support in Tanzania) Hello, If you are outside Dar es Salaam—or even outside Tanzania—and need someone reliable to handle tasks on your behalf, this service may help you save time, travel costs, and unnecessary stress. I run RMK...
  16. JamiiForums Tanzania Need Someone in Dar es Salaam to Handle Tasks for You? (On-Ground Support in Tanzania)

    Need Someone in Dar es Salaam to Handle Tasks for You? (On-Ground Support in Tanzania) Hello, If you are outside Dar es Salaam—or even outside Tanzania—and need someone reliable to handle tasks on your behalf, this service may help you save time, travel costs, and unnecessary stress. I run RMK...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kimara: Polisi walingilia kati kumuokoa aliyepigwa na Wananchi kwa kudaiwa kupoteza nyeti za mtu Mwanaume mmoja

    Jeshi la Polisi limelazimika kuwahi eneo la tukio na kuingilia kati taharuki iliyojibuka Kimara Mwisho, Wilayani Ubungo Mkoani Dar es salaam jioni hii baada ya Wananchi wa eneo hilo kumpiga Mwanaume mmoja anayedaiwa kupoteza sehemu za siri za Mkazi mmoja wa Kimara baada ya kumshika begani...
  18. JamiiForums Tanzania Al Jazeera Walipokuja Kufanya Mazungumzo Tanzania na Mimi 2007 (Dar es Salaam) na 2008 (Tanga)

    AL JAZEERA WALIPOKUJA KUNIHOJI TANGA NA DAR ES SALAAM Mahojiano na Al Jazeera nyumbani kwangu Masaki, Dar es Salaam 2007 Mohamed Val Mtangazaji wa Al Jazeera akinihoji nyumbani kwangu Bombo, Tanga (2008) Huyu kijana kutoka Al Jazeera sikumbuki jina lake alinifahamisha kuwa alipata kuishi...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi ni sehemu gani hapa Dar ni ambayo ni nzuri zaidi kwa kijana kuanzia maisha? Naona kama Goba ni eneo zuri sana

    Wakuu, Kama wewe ni kijana unataka kuondoka nyumbani kwenu uanze maisha ushauri wangu uende ukaishi Goba Kwanza Goba nyumba nyingi ni mpya na ni bei ndogo. Ukiwa na 100k unapata chumba na sebule na jiko na choo tofauti na eneo kama Sinza au Mwenge ambako utapata single room Lakini vilevile...
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi Dar es Salaam itakavyokuwa mwaka 2036 kwa mujibu wa Gemini

    Nimeiambia Gemini itengeneze picha ya Dar jinsi itakavyokuwa miaka 10 ijayo kwa kuangalia kasi yake ya ukuaji wa sasa Ikaleta hii picha I can't wait to see Dar inafikia level za kimataifa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…