dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Makao makuu ya Tz ni Dar es salaam kiuhalisia... Ila Dodoma ni makao makuu Kwa nadharia tu

    Hii inathibitishwa na viongozi wetu kabisaa hawataki hata kdg kukaa Dodoma maana Dodoma wamepafanya sehemu ya kuchukulia POINT 3 tu.
  2. JamiiForums Tanzania Mkutano uliofanyika Dar es salaam tarehe 08.02.2025 na kutoa maazimio ya juu ya mgogoro wa DRC na M23 ni bure na kupoteza muda pamoja na fedha

    Tatizo kubwa nimeliona pale ambapo viongozi wanamuogopa Paul Kagame. Kwahiyo wanagusa juu juu tu wanashindwa kwenda direct. Nathubutu kusema kuwa kilichofanyika tarehe 08 ni kama mchezo wa rede tu ambao hauna mshindi. Rais mmoja alipaswa kusema niko tayari kuingiza jeshi langu Kivu au Goma kama...
  3. JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wameiua Geneva ya Afrika.

    Kikao cha usuluhishi wa mgogoro wa Kongo kimefanyika leo jijini Dar es salaam. Si nia ya uzi huu kujadili maamuzi ya kikao hicho, bali kuangalia faida zitokanazo na kikao hicho. Kama nchi lazima tuangalie faida tunazozipata na hasara zake! Kama sikosei vikao vyote vya usuluhishi wa Burundi...
  4. JamiiForums Tanzania Dar: Rais Samia ashiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa EAC na SADC Februari 8, 2025

    Rais Samia akishiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa EAC na SADC Februari 8, 2025. Rais Samia amewataka viongozi wenzake wa Kikanda kuchukua hatua madhubuti kuhusu hali inayoendelea kuzorota katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, akionya kwamba historia itawahukumu vikali...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Ruto awasili Dar kuhudhuria Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya za EAC na SADC

    Rais wa Jamhuri ya Kenya na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) William Samoei Ruto amewasili Nchini Tanzania na kupokelewa na Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso. Rais Ruto amewasili kuhudhuria Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya za EAC na SADC utakaofanyika...
  6. JamiiForums Tanzania Mawaziri wa EAC-sSADC wajifungia Dar es salaam kujadili usalama wa DRC

    Mkutano wa pamoja wa Mawaziri wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umefanyika jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujadili hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Mkutano huo umeongozwa na Waziri Mkuu...
  7. JamiiForums Tanzania Maporomoko ya Udongo yafunga Barabara Kuu ya Mtwara, Lindi, Dar es Salaam kwa Saa Tano

    Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Mtwara, zimesabisha maporomoko ya udogo, kufunga barabara Kuu ya Mtwara, Lindi, Dar es Salaam, katika eneo la Mikindani kwa zaidi ya saa tano na hivyo kuleta usumbufu kwa abiria na madereva. Soma Pia: Barabara Kuu ya Dar- Lindi imekatika sehemu 2 na kukata...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna gani naweza kusafirisha vitu vya ndani kutoka Zanzibar kwenda Dar?

    Habari Wadau Naomba anayejua taratibu za kusafirisha vitu kama vitanda, makochi, Jokofu anipe maelekezo nataka kuhama Zanzibar niende Dar na vitu vyangu
  9. JamiiForums Tanzania Live From Ukumbi wa FCC Dar es Salaam: Kikao Kazi cha Baraza la Ushindani, FCC na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF

    Wanabodi Niko hapa Ukumbi wa FCC jijini Dar es Salaam, kuwaletea live ya Kikao Kazi cha Baraza la Ushindani, FCC na Wahariri wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF. Hivi sasa Mkurugenzi Mkuu wa FCC, William Erio, anazungumza Karibuni sana. Paskali
  10. JamiiForums Tanzania KERO Mbagala Dar es Salaam: Vyoo vya Stand ya Mabasi na daladala Mbagala rangi tatu ni vichafu sana

    1️⃣ Vyoo vya stand ya mabasi na daladala Mbagala Rangi Tatu viko katika hali mbaya sana! Uchafu umekithiri. 2️⃣ Abiria na wafanyabiashara wanateseka kila siku kwa sababu ya mazingira haya duni. Hili ni eneo linalotumiwa na mamia ya watu kila siku, lakini hali ya vyoo ni ya kusikitisha. 3️⃣...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mwenyeji wa mkutano wa marais wa nchi za SADC na EAC kujadili Mgogoro wa DR Congo

    03 February 2025 Dar es Salaam, Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan amekubali kwa ukarimu kuandaa mkutano huo kujadili hali ya Mashariki mwa DRC Dar es salaam kupokea marais wa nchi za sadc na eac kujadili mgogoro wa nchi ya dr congo Mkutano wa pamoja wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa...
  12. JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati wa Wazaramo pia kudai Dar Es Salaam yao

    Hawa ndo wenyeji wa jiji la Dar. Wamefukuzwa wamekufukuziwa huko pembezoni mwa Mji na bado wanafuatwa kama vile haitoshi. Nashauri ni wakati wa sasa nao kudai jiji lao maana wamekuwa watumwa na watu wa daraja la chini. Mi naumia sana. Sisi tuna nyumba mitaa flani ndo tumebaki sisi tu baada ya...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Je Serikali imabariki Dar es Salaam Secondary kufukuza au kuhamisha wanafunzi wanaopata daraja la IV katika mitihani ya ndani?

    Naomba mamlaka zinazoshughulika na elimu kuanzia Afisa elimu jiji LA Dar es salaam, Afisa elimu mkoa wa Dar es salaam na Waziri wa elimu, mtupatie majibu sahihi ya hiki kinachofanyika Dar es salaam secondary na baadhi ya shule za serikali kama Pugu secondary na kwa shule za msingi kinatokea kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa daraja kata ya Kimanga na Liwiti halmashauri ya Jiji la Dar es salaam mbioni kukamilika

    Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam kupitia mapato yake ya ndani inaenda kukamilisha ujenzi wa kivuko cha Kaveso kilichopo Mtaa wa Amani. Kivuko hicho ni kiungo muhimu Kati ya kata ya Kimanga na Liwiti katika kuboresha usafiri na kirahisisha Maisha ya wakazi wa maeneo hayo. Wananchi wa eneo...
  15. JamiiForums Tanzania Mji wa Goma huko DRC ni Mzuri kuliko Majiji yote Tanzania ukiondoa Dar es Salaam. Tanzania tunakwama wapi?

    Muonekano wa jiji la Goma huko DRC ni wa kuvutia sana hauwezi linganisha na majiji tuliyonayo hapa Tanzania. Sisi Watanzania tunakwama wapi? Mbona miji yetu haivutii, michafu haina mpangilio...shida yetu ni nini? Tukumbuke eneo ulipo mji wa Goma unakumbwa na vita mara kwa mara na Serikali ya DRC...
  16. JamiiForums Tanzania Dar Es Salaam: Huduma zote zilizokuwa zikitolewa ofisi yetu ya Kariakoo sasa zimehamishiwa kwa muda jengo la Diamond Plaza

  17. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu yenye free WiFi Dar es Salaam, nayoweza kufanya online meeting

    Natafuta space ambayo kuna utulivu na kuna unlimited internet Dar es Salaam. Iwe coworkspace ya kulipia au naweza kukaa kama mteja wa vinywaji lakini nitaenda na laptop yangu kwa ajili ya kufanya online meeting. Naomba suggestions.
  18. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ni mji uliojaa wazururaji

    Najua hii mada itawashtua wengi na wengine watapanda munkari ila embu tuelewane kwanza kabla haujajibu kwa jazba. Kwa tathmini yangu ya muda mrefu ni kuwa mji wa Dar es Salaam umejaa watu wasio na kazi maalumu. Wale wenye ajira rasmi serikalini au katika sekta binafsi ni wachache sana, wengi ni...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Matatizo tuliyoyaficha kwa siku mbili kwa kujidanganya hayapo, yamerudii upya

    Kutokana na mkutano wa nishati wa viongozi wa Afrika barabara zikafungwa, kazi zikasitishwa, wanafunzi wakasalia majumbani. Tukayaficha matatizo ya jiji la Dar es salaam kwa muda. Ingawa nayo ilituchoresha kwa kuonesha namna gani hatuna miundombinu ya kutosha hadi kusitisha baadhi ya huduma...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza (Mchaga) wa maisha. Ninaishi hapa Dar es Salaam

    Habari wanajamii, natumaini mnaendelea vyema. Mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 38, naishi hapa Dar es Salaam. Natafuta mwenza wa maisha mwenye malengo ya dhati na uhusiano wa muda mrefu. Mimi ni Mkristo(Lutheran) ninapenda na ninathamini Mahusiano ya kuzingatia Heshima, Upendo wa Dhati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…