damu

Damu is a god of vegetation and rebirth in Sumerian mythology.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mikopo ‘kausha damu’ yatajwa kusambaratisha familia, wanandoa

    Chama cha ACT-Wazalendo kimeiomba Serikali kupitia mfumo mzima wa ukopeshaji unaotekelezwa na taasisi zisizo za kiserikali nchini kwa kuwa wananyinywa na kuhatarisha maisha ya wanawake. Kimetolea mfano wa mikopo inayojulikana kausha damu kuwa licha ya kuwasumbua wanawake pia imevunja ndoa...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 1000 wajitokeza kuchangia damu, chupa 600 za damu zapatikana katika Kampeni ya KISUTU GIRLS BLOOD DRIVE

    Zaidi ya Wanafunzi 1000 kutoka Shule mbalimbali za Sekondari jijini Dar es Salaam wamejitokeza katika tukio la uchangiaji damu wa hiari lililofanyika katika Viwanja vya Shule ya Kisutu ambapo zaidi ya chupa 600 za damu zimepatikana. Tukio hilo la uchangiaji damu wa hiari limeratibiwa na Shule...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania NPS: Malaria, Shinikizo la Damu, Uzazi, Saratani na Kisukari Magonjwa yanayoongoza kutesa zaidi Watanzania

    Hivi unakumbuka mara ya mwisho uliumwa maradhi gani? Ripoti ya utafiti wa ufuatiliaji kaya (NPS) 2020/2021, imeyaorodhesha maradhi matano yanayoongoza kulaza wagonjwa hospitalini nchini, ambayo ni malaria (asilimia 0.7), matatizo ya uzazi (asilimia moja), homa (asilimia 0.4), tumbo (asilimia...
  4. Reality of heaven

    JamiiForums Tanzania Hamna kiumbe cha Mungu chochote kilicho haramu, vyote vinaliwa Wala siyo dhambi!! Isipokuwa Usile damu tu!

    Habari wakuu!! Leo kuna madhehebu na dini zinadanya watu kuhusu kubagua vyakula mfano nguruwe nk kuwa ukila ni dhambi! Naomba niwatoe hofu kuwa sio dhambi wewe kuleni tu chochote kile kiwekacho mbele yako labda uwe hautumii tu lakini sio kwa maana ya kwamba ukitumia ni dhambi!! Uthibitisho kuwa...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mamia wajitokeza kuchangia damu MOI wapewa elimu ya umuhimu wa Bima ya Afya kwa wote

    Mamia ya Wanafunzi kutoka vyuo vikuu na kati vya jijini Dar es Salaam wamejitokeza kwa wingi kuchangia damu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI pamoja na Hospitali ya Taifa Muhimbili kwaajili ya kusaidia wagonjwa wenye uhitaji wa damu ambapo zaidi ya chupa 300 za damu zimepatikana kupitia zoezi...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wenye Damu kundi A wana hatari ya kupata Kiharusi kuliko wenye kundi O

    Chapisho la Timu ya Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Maryland katika jarida la Neurology, limeonesha wenye Damu ya Kundi A wana uwezekano mkubwa wa kupata Kiharusi kabla ya umri wa miaka 60. Wenye Kundi O la Damu wameonekana kuwa na uwezekano mdogo au kuchelewa kupata Kiharusi cha mapema...
  7. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa lishe kwa watu wenye Shinikizo kubwa la damu (Hypertension)

    Watu wenye changamoto ya shinikizo kubwa la damu hupaswa kufuata masharti sahihi ya mlo ili kupunguza athari za ugonjwa huu, pamoja na kusaidia katika udhibiti wake. Kwa kuzingatia umuhimu wa lishe kama sehemu ya mkakati muhimu wa kuboresha afya kwa watu wenye changamoto hii, Shirika la afya...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Madaktari Bingwa MOI wapewa mbinu za kisasa za upasuaji wa Vivimbe vya Mishipa ya damu kwenye ubongo

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) zimeanza kutoa mafunzo maalum ya upasuaji wa vivimbe vya mishipa ya damu kwenye ubongo kwa mbinu za kisasa kwa madaktari bingwa waliohitimu katika chuo hicho ambapo wagonjwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Taifa la kidemokrasia linapaswa kuepuka kwa nguvu zote desturi na mila ya mauaji ya siri; hakuna maendeleo yakudumu kwenye damu inayolia

    Nimejaribu kutafakari ni kwanini wauaji wengi ukamatwa kirahisi baada Tu yakufanya mauaji ila waalifu wengine uchukua muda? Nimetafakari ni kwanini watu wengi wanaweza kukaa kimya pale wanaposikia ndugu Yao kauwawa lakini NI vigumu kusamehe likaisha? Nimejiuliza kwanini MTU maarufu akiuwawa...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame: Umwagaji Damu nchini DR Congo hauihusu Rwanda

    Rais Paul Kagame amesema matatizo ya Congo hayakuundwa na Rwanda na si matatizo yao pia hawezi kuwajibika kwa matatizo yanayosababishwa na Wakongo wenye asili ya Rwanda wanaodai kunyimwa Haki zao kama raia. Kauli ya Kagame inakuja kukiwa na ongezeko la vifo na mwagaji damu katika maeneo...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Croatia kutoka kwenye Vita ya Umwagaji Damu hadi Kombe la Dunia

    Panama, Mauritania, Georgia na Eritrea ni nchi nne zenye takribani saizi sawa za watu wa Kroatia. Mataifa hayo manne yanashiriki mechi moja ya Kombe la Dunia baina yao na hiyo ilikuwa wakati Panama ilipocheza Urusi 2018, ikimaliza hatua ya makundi kwa vipigo vitatu na kuruhusu mabao 11. Asili...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Damu ya Ben Saanane sasa yaanza kuipasua CCM

    Damu ya kijana mbichi kabisa iliyomwagwa na lizee la miaka 60 sasa imeanza kujibu mapigo. Dhihaka, dharau na kila aina ya madhila yanamuandama aliyeimwaga. Waliomuunga mkono kwa aina ya maisha na hulka alizokuwa nazo wanaumia mioyoni na akilini. Wanatamani asisimangwe hadharani. Lkn...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Rufaa ya Tumbi kuanza kusafisha damu

    Wakati Serikali ikiweka mkazo katika huduma za kusafisha damu (dialysis), hospitali ya Rufaa ya Tumbi mkoani Pwani, inatarajiwa kuanza kutoa huduma hiyo Desemba 15, 2022. Hatua hiyo itapunguza adha ya rufaa kwa wagonjwa wanaohitaji huduma ya dialysis katika hospitali hiyo ambapo kwa wiki watu...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tafiti zinaonyesha wanawake wanaopata mimba kutoka kwa ndugu wa damu, wao na watoto wao wanatengwa

    Tafiti zinaonyesha Wanawake wanakosa uamuzi wa kuendelea kulea mimba isiyotarajiwa hasa zile zitokanazo na maharimu (kujamiiana na ndugu wa damu) kwani jambo hili halikubaliki na jamii nyingi za Kiafrika. Pia watoto waliopatikana kwa mazingira haya hutengwa na kubaguliwa (Rosemary B. &...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa damu

    Nina mtoto wangu. anashida ya sikoseli. Jana kapimwa anadamu 6.3 he hiyo damu IPO sawa au anahitaji kuongezewa?
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MSD yaelezea vifaa vya kisasa ilivyonunua ikiwemo vya kupima maini, damu na figo zinavyofanya kazi mwilini

    Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Mavere Tukai Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Mavere Tukai anafafanua kuhusu utendaji wa Bohari ya Dawa (MSD) kuhusu ilivyojipanga katika kutoa huduma ikiwemo kuongeza wataalam wa afya na kununua vifaa. Amesema MSD imeendelea kufanya Maboresho na mageuzi upande wa huduma za...
  17. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Precision Air ifungiwe na ifutwe, imejaa Damu na Dhuluma

    Kwanza ni kawaida Dunia nzima ndege ikipata ajali wa kwanza kuwajibishwa ni Kampuni ya ndege mara nyingi hiyo aina ya ndege huzuiwa kufanya kazi au Kampuni hutozwa faini kubwa, mwisho wa Concord ni ajali iliyotokea Atlantik hata Ethiopian iliyoanguka miaka 2 iliyopita Boeing waliitoa...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hospitali za Tanzania zinakabiliwa na upungufu mkubwa wa Damu

    Tanzania bado inakabiliwa na tatizo la upungufu wa damu salama hospitalini huku wataalamu wakitoa wito kwa taasisi binafsi na za umma kuongeza kasi ya uchangiaji damu kwa hiari ili kubadili wimbi hilo. Wataalamu waliokusanyika wakati wa hafla ya kuchangia damu iliyoandaliwa na wafanyakazi wa...
  19. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Kutokwa na damu ya hedhi kidogo au mfano wa matone

    Kiasi na muda wa kutokwa na damu ya hedhi kwa ufanisi wa homoni ya ''estrogen'' kunaweza kutofautiana sana, kulingana na muda na kiasi cha homoni ya 'Estrogen'' kilichopokelewa na tabaka la ndani la mji wa uzazi (endometrium). Sababu kuu ya mwanamke kutokwa na damu ya hedhi kidogo au mfano wa...
  20. Bridger

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ulaji wa Limao na Ndimu husababisha upungufu wa Damu Mwilini

    Baadhi ya jamii huamini kuwa ulaji wa limao na ndimu husababisha upungufu wa damu mwilini. Uvumi huu uliosambaa kwenye maeneo mengi hutoa maonyo makali hasa kwa watoto na wanawake wenye ujauzito wanaojaribu kutumia matunda haya. Je, ni kweli kuwa matunda haya hukausha damu mwilini?
Back
Top Bottom