Kama huna habari, wanasayansi wamekuwa wakichunguza mwenendo wa ulimwengu (universe), na matokeo ya tafiti zao yamefichua jambo la kushangaza: ulimwengu hauko tuli, bali unapanuka kwa kasi kubwa sana.
Kupitia uchunguzi wa kina wa anga (astronomy), wamegundua kuwa kuna nguvu ya ajabu inayoitwa...
Ukweli useme na mpaka sasa nchi yetu kuna madawa ya kulevya.Kuna siku nilienda kumywa pombe ambazo zinaongoza kwa majina ila unakuta utazani kuna kipindu pindu.wakati sio sehemu.
utumbo wako unajiuliza mpaka nzi kutofikia.
haya leo.Nimegundulika na tumia madawa ya kulevya wakati sio mtumiaji...
Kutokunywa chai ya maziwa kwa raia wengi na badala yake kunywa chai ya rangi zaidi inawezekana ni ishara mojawapo kubwa ya umasikini wa nchi yetu.
Sidhani kama watu wanakunywa chai ya rangi na mihogo, maandazi na vitumbua kwa sababu wanapenda tu au kwa sababu chai ya rangi ni tamu kuliko ya maziwa.
Na Morning Joy Motors
Kama ukishindwa kugundua haraka dalili hizi ambazo zinaashiria hitilafu kwenye engine bearing za gari yako basi soon, itakulazimu kulipa gharama kubwa za matengenezo au hata kubadili engine nzima na kuweka mpya kabisa.
Nini Husababisha Engine Bearings Kuharibika...
Ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa katika viunga vya Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam wakati Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akifikishwa mahakamani hapo.
Yaliyojiri Mahakamani;
Kesi ya Lissu: Mahakama kujadili ombi Jamhuri kuongeza ushahidi wa...
Wakuu kwa yanayo endelea huko mashariki ya kati kuna dalili yoyote ya vita kati ya Marekani na Iran kushindwa kutokea au tuwe tayari kwa breaking news kubwa muda wowote kutoka sasa ?
Updates na uchambuzi kuhusu mgogoro wa muda mrefu kati ya Marekani,Israel na Iran shusheni wakuu hapa tupate...
ONGEZA TESTOSTERONE ZAKO KWAAJILI YA NGUVU NA MAMLAKA YA UANAUME WAKO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kadiri testosterone zako zinavyoshuka ndivyo nguvu na mamlaka yako inavyodondoka chini.
2. Kutojiamini kunaongezeka. Mwanaume mwenye testosterone ndogo(zilizochini Sana) hata kiwango...
Katika uchumi wa dunia akiba ya dhahabu ya nchi (National Gold Reserves) inatazamwa kama ngao ya mwisho ya uhuru wa kiuchumi. Taarifa kuwa nchi yangu Tanzania inapanga kuuza sehemu ya hazina yake ya dhahabu ili kufadhili miradi ya miundombinu imenistua sana.
Ni jambo linalopaswa kutafakariwa...
Ndege ya Waziri Mkuu wa Israel Bwana Benjamin Netanyahu inaripotiwa kuonekana kwenye radar ikiondoka kuelekea Ugiriki leo hii. Huku harakati za ndege vita za Marekani na Israel kusogezwa karibu na ghuba ya Uajemi zikiendelea.
Inasemekana leo hii usiku huwenda Iran ikashambuliwa.
Maana hata...
Dalili za mtu aliyewekewa sumu kwenye chakula hutegemea aina ya sumu iliyotumika, lakini kwa ujumla dalili kuu zinazoweza kuonekana ni:
1. Dalili za Haraka (dakika hadi saa chache):
Kichefuchefu na kutapika sana
Maumivu makali ya tumbo
Kuharisha (wakati mwingine damu ikitoka)
Kizunguzungu au...
Mtu mwenye matatizo ya akili akisikia mahali kuna ajari anapata furaha moyoni. Akisikia wamekufa wachache au hakuna maiti kwenye ajari hiyo basi moyo wake hupoteza furaha.
Akisikia Iran kuna vita anapata raha sana.
Mostly ya watu ambao wanajifanya kuchukizwa na mauaji ya October 29 -31 moyoni...
Kichwa cha habari kiko wazi. Nafunga na kuanza mwaka kwa kusema wazi kabisa kuhusiana na kadhia ya utekaji, upotezaji, na mauaji nchini. Japo, watu wanaweza kudhuriwa na kuogopeshwa hata kunyamazishwa, utekaji, upotezaji, na mauaji yatokanayo nao ni ushahidi kuwa wenye nguvu tunaodhani wana...
Dalili moja wapo ambayo ni sign tosha kwamba muhusika ni mtu ambae Dunia inamtalajia kumtumia kama Mtendakazi au kiongozi wa mambo muhimu ya Kiroho ni hii
KUKOJOA KITANDANI.
i. Mtu wa kiroho ni mtu anapokea nguvu na maagizo rohoni na kufanyia kazi mwilini.
Kwanza Tafsiri ya ndoto kuwa unaota...
Mabavu yana mwisho ila kuna mda mabavu yako na utawala wako unaweza kuona wewe farao.
kipindi cha raisi wa syria kabla ya kupinduliwa ilifikia hatua haya tunayopitia tanzania kwake yalikuwa ni kama mazoea kila siku.
siku moja watoto wadogo walichoka wakaandika kuwa awamtaki raisi kwenye ukuta...
1. Unaelewa kuwa inawezekana kutokubaliana bila kukosa heshima au kuinua sauti.
2. Unaheshimu ahadi zako kwa kuwa mwenye kutunza muda, jambo linalokupa sifa ya kuaminika.
3. Unaacha kuwahukumu watu kwa mwonekano wao au maoni yao, na unakwepa mazungumzo ya umbea.
4. Unatambua kuwa...
Kun mambo kadhaa sana yanafikirisha sana kuhusu jeshi letu la wananchi
Raia anauwawa mbele yake bila hata kumlinda maana yake naye ni sehemu ya mauaji.
Maelekezo yanatolewa zaidi na jeshi la polisi na wao kufuata mkumbo.
Watu wanaandamano kudai haki yako mkuu wa jeshi CDF anajitokeza kwenye...
Wakuu nimekutana na hiki kipande cha video kilichoambatanishwa na ujumbe kuwa
"Hi Ndiyo Ile Tulisema Bala La Africa litajigawa, naona dalili zimeanza, tuliosoma Civics hii kitu tunaijua kitambo"
Mfano mdogo ni hawa watu humu ambao kila kukicha wanaunga mkono serikali hii yenye makandokando, Serikali hii waiungayo mkono imeifungia JF, Lakini wao wanatumia VPN kuendelea kubangaiza humu....
Sasa unajiuliza huyu mtu gani ambae anashindwa kuitii hata serikali anayoiunga mkono!!? Mtandao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.