daktari

Daktari (Swahili for "doctor") is an American family drama series that aired on CBS between 1966 and 1969. The series is an Ivan Tors Films Production in association with MGM Television starring Marshall Thompson as Dr. Marsh Tracy, a veterinarian at the fictional Wameru Study Centre for Animal Behaviour in East Africa.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania India: Akamatwa kwa kuoa wanawake 18 akijifanya daktari

    Polisi katika Jimbo la Bhubaneshwar nchini India wanamshikiria mwanaume anayedaiwa kuoa wanawake 18 kwa kuwalaghai kwa kujifanya daktari na wakati mwingine hata afisa mkuu wa afya. Mtu huyo aliyefahamika kwa jina la Ramesh Chandra Swain mwenye umri wa miaka 66, alikamatwa Jumapili usiku katika...
  2. JamiiForums Tanzania Daktari: Ajali za bodaboda zimeongeza wagonjwa wa kifafa

    AJALI za bodaboda zinachangia ugonjwa wa kifafa kwa waathirika wa ajali hizo kutokana na majeraha kwenye kichwa ambayo yanaathiri ubongo, imeelezwa. Hayo yamebainishwa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Mfumo wa Fahamu na Ubongo kwa watoto, Dk Edward Kija wakati akizungumza katika kipindi cha...
  3. JamiiForums Tanzania Huduma mbovu yamponza Mganga Mfawidhi hospitali ya Wilaya Siha, Waziri amshusha cheo

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameonyesha kukasirishwa na huduma mbovu inayotolewa katika Hospitali ya Wilaya ya Siha baada ya wananchi kulalamikia huduma mbovu huku akikiri kujionea kwa macho yake baada ya kushuhudia mgonjwa akiachwa zaidi ya saa moja bila kuhudumiwa. "Ninaagiza...
  4. JamiiForums Tanzania Epuka kujitibu mwenyewe kwa taarifa za mtandaoni. Muone mtaalam wa afya kila unapopata dalili mbaya za kiafya

    (Picha: The Sheriff) Umewahi kupata dalili ya afya ambayo haijawahi kutokea hapo awali na ukaanza kujiuliza ni nini kinachoweza kuwa tatizo? Of course, huenda jibu lako ni kama langu pia, "Kabisa!" Sasa basi, inapotokea hivi hatua ya kwanza inayopaswa kufanyika ni kuwasiliana na mtoa huduma wa...
  5. JamiiForums Tanzania Austria: Daktari atozwa faini kwa kumkata Mgonjwa mguu ambao haukufaa kutolewa

    Daktari mmoja wa upasuaji nchini Austria amepigwa faini baada ya kumkata mguu ambao haukufaa kukatwa mgonjwa mmoja mapema mwaka huu. Mguu wa kulia wa mgonjwa huyo ulitolewa badala ya wa kushoto, na kosa hilo liligunduliwa siku mbili baadaye. Siku ya Jumatano, mahakama ya Linz ilimpata daktari...
  6. JamiiForums Tanzania Muhudumu wa afya na mwanafunzi wa udaktari (intern) hospitali ya wilaya Kaliua, mkoani Tabora wasimamishwa kazi kwa kufanya mapenzi wodini

    Mkuu wa wilaya ya Kaliua, Paul Chacha amewasimaisha kazi watumishi wawili wa hospitali ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kushiriki mapenzi hovyo wodini. Chacha amesema awali ulifanyika uchunguzi baada ya wagonjwa kulalamikia vitendo vya wauguzi hao kufanya mapenzi wodini wakiwa zamu za usiku. Mmoja...
  7. JamiiForums Tanzania Mfahamu Daktari Aliyegundua Dawa Iliyotibu Ugonjwa Hatari wa Polio na Hati Miliki Ya Dawa Hiyo likapewa Jua

    MFAHAMU DAKTARI ALIYEGUNDUA DAWA ILIYOTIBU UGONJWA HATARI WA POLIO NA HATI MILIKI YA DAWA HIYO LIKAPEWA JUA. Jonas Salk alikuwa mtafiti na mgunduzi wa dawa ya ugonjwa wa polio alizaliwa October 28, mwaka 1914 New York , marekani . polio ni Ugonjwa wa kuambukiza kutoka kwa mtu mmoja kwenda...
  8. JamiiForums Tanzania Bima ya afya kwa wote isigeuzwe 'tozo' ya kuonana na daktari

    Moja ya maamuzi muhimu ambayo yatafanywa na Serikali na kimsingi yanachochea tabasamu zaidi kwa mamilioni ya watanzania ni hili la BIMA KWA WOTE ama 'Bima kwa kila Mtanzania.' Nimefarijika sana kuona hata waziri mwenye dhamana ya Wizara ya Afya Nchini, Dkt. Gwajima kuthibitisha kwamba zaidi 85%...
  9. JamiiForums Tanzania Tofauti ya Daktari na Tabibu

    Kumekuwa na mkanganyiko kati ya hizo kada mbili. Ubishi unakuja kwenye swali:" Je, mhitimu wa diploma nae ni daktari?". Nimecheck maandishi ya Ofisi ya Rais Tamisemi na pia yale ya Benjamin Mkapa Foundation na nilichogundua. 1. Daktari hutumika kuwaita wale wenye degree ya MD na nyingine...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya miaka hamsini, tutampata tena Mwalimu Julius Nyerere, Edward Moringe Sokoine na Daktari John Pombe Magufuli

    BAADA YA MIAKA HAMSINI;TUTAMPATA TENA MWALIMU JULIUS NYERERE,EDWARD MORINGE SOKOINE NA DAKTARI JOHN POMBE MAGUFULI. Leo 18:00hrs 03/10/2021 Ni nadra sana kupata viongozi wanaoibadili dunia kutokana na falsafa zao na misimamo yao,katika kada mbalimbali ikiwemo siasa, biashara,taaluma,dini na...
  11. JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini mashabiki wa mpira wanakufa kwa matatizo ya moyo?

    Mashabiki wengi kipenzi wa mpira wapo hatarini kufa au kuathiri afya zao kutokana na magonjwa ya moyo, Kiharusi na matatizo ya kisaikolojia kwa mjibu wa utafiti uliochapishwa katika jarida la Current problem in cardiology na katika jarida la Stress and Health mwaka 2020.  #Picha | Mwanaspoti...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi kile kitendo cha Daktari kumfumua Mgonjwa nyuzi kina tofauti gani na pale Madaktari wanapoamua kugoma?

    Kwanza nami nalaani alichokifanya yule Bw Dokta. Baada ya lile tukio nimesikia matamko mbalimbali ya kulaani ambapo miongoni wao ni Madaktari wenzake....na nadhani hata bado kuna mchakato wa kumuadhibu kwa kukiuka maadili. Baadae nikakumbuka ya kuwa kuna wakati Madaktari huamua kugoma, na hapo...
  13. JamiiForums Tanzania Msile mpaka daktari awaambie punguzeni, kula kwa kiasi na ukumbuke kuyaunguza mafuta kwa mazoezi

    Sasa huyu shost akiambiwa alipie nyama zote alizozi contaminate, bado tozo la miamala. Maisha ni magumu sana.
  14. JamiiForums Tanzania Video: Maelezo ya kina ya Daktari wa Tiba za asili juu ya Chanjo ya Corona. Je, kuna ukweli wowote?

    Huyu ni daktari mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 50 katika nyanja ya tiba za asili, na haya ni mawazo yake juu ya chanjo ya Corona. Kwakuwa kila mtu ana uhuru wa maoni, basi naomba tumsikiliza ana nini cha kutueleza. Video ipo chini
  15. JamiiForums Tanzania Ufahamu ugonjwa wa COVID 19

    Mwezi uliopita nikiwa jikoni naandaa chakula cha jioni kwa ajili ya familia kulitokea ubishani mkali kati yangu mimi na mwanangu Mcdonald kuhusu umuhimu wa yeye kunawa mikono akitoka kwenye michezo yake katika mabishano hayo kijana wangu alijaribu kubishana na mimi asiamini chochote...
  16. JamiiForums Tanzania Morogoro: Daktari Kituo cha Afya cha Mikumi mbaroni kusabisha mjamzito kujifungua kwenye bajaji

    MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Martine Shigella ameamuru daktari katika Kituo cha Afya cha Mikumi (jina tunalo) akamatwe akituhumiwa kusababisha mjamzito ajifungue akiwa kwenye pikipiki ya matairi matatu maarufu kwa jina la bajaj. Shigella alitoa agizo hilo aliposikiliza kero za wananchi wakati wa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima, kuwa Daktari (PhD Holder) hakumaanishi unaweza kutibu wanadamu

    Askofu Gwajima, tuwaache wataalam wetu wa maswala ya Afya wanapoendelea kutoa Maelekezo mbali mbalimbali juu ya kujikinga na janga hili la Corona likiwepo swala la Chanjo. Ndio maana hata Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kila anapotamka swala la ugonjwa huu wa Corona anasisitiza tusikilize...
  18. JamiiForums Tanzania TCRA na Wizara ya Afya, mnamsikia huyu daktari anayejitangaza kupitia Kiss FM 98.9?

    Jana Alhamisi muda wa saa 5 usiku hivi nikiwa natafuta Station za Radio nikaangukia Kiss FM 98.9, niliposikia neno "PID" ikabidi nisikilize kidogo kinachoongelewa maana nami nipo kwenye uwanja huo huo wa mambo ya Afya.. Nilipigwa na bonge la mshangao kwa yale niliyokuwa nikisikia,, maana...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Rais Joe Biden ashauriwa na Daktari Bingwa wa Marais kuonesha vielelezo vya Afya Njema

    Hii ni kufuatia wananchi kuonesha shaka kuhusu afya ya Rais wao aliyepo madarakani kuonesha ana changamoto kubwa ya kumbukumbu. Na sasa pia daktari bingwa Ronny Jackson aliyewahi kuwa daktari binafsi wa marais Barack Obama na Donald Trump walipokuwa madarakani, kuona ni muhimu Rais Joe Biden...
  20. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA TANZIA: Daktari Bingwa Mishipa ya Fahamu na Ubongo Ronald William Hodge Afariki Dunia

    Mwendazake alihudumu akiwa Daktari Bingwa wa Mishipa ya Fahamu & Ubongo (Neurologist) Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…