daktari

Daktari (Swahili for "doctor") is an American family drama series that aired on CBS between 1966 and 1969. The series is an Ivan Tors Films Production in association with MGM Television starring Marshall Thompson as Dr. Marsh Tracy, a veterinarian at the fictional Wameru Study Centre for Animal Behaviour in East Africa.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Tabora: Daktari feki jela miaka 15 kwa kusababisha kifo

    Muuguzi Amos Masibuka (35), amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kujifanya daktari kwa kumfanyia upasuaji Lukwaja Selemani (78) na kumsababishia kifo. Licha ya kwamba alikuwa hana sifa za kuwa daktari, muuguzi huyo maarufu kwa jina la Dk Amos, alikuwa akitoa huduma...
  2. JamiiForums Tanzania Daktari: Kama una Kilo kuanzia 80 na kuendelea unatakiwa kuwekewa Puto la Kupunguza Uzito

    Madaktari Bingwa Dr. Eliasa Mkongo , Dr. Edwin Muhondezi. pamoja na Dr. Eric Muhumba (Surgeon) ambao ni Madaktari Bingwa wazawa Wakizungumzia Namna Uwekaji Puto Ndani Ya Tumbo unavtofanyika, watu gani wapaswa kuwekewa na Faida na Hasara Zake.
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuwasiliana na Daktari Wako Bila Hofu: Mbinu za Ushauri kwa Wagonjwa

    Kuwasiliana na daktari wako kwa ufanisi ni muhimu sana kwa afya yako. Hata hivyo, inaweza kuwa na changamoto kwa baadhi ya watu kuhisi hofu au kukosa uhakika jinsi ya kuzungumza na daktari wao. Kama wewe pia huwa unahisi uzito kuwasiliana na daktari wako kwa uwazi bila hofu, makala haya ni...
  4. JamiiForums Tanzania Hadithi: Sitosahau alichonifanyia daktari wa saratani ya matiti

    Hadithi fupi! SITOSAHAU ALICHONIFANYA DAKTARI WA SARATANI YA MATITI SEHEMU YA KWANZA Muwasho na maumivu vilizidi katika maziwa yangu siku hadi siku, nilivumilia nikajikuta nashindwa ndipo nikaomba ushauri kwa wanawake wenzangu "Shoga nawashwa na matiti sana kipindi kirefu" nilimtumia ujumbe...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada: Daktari mtaalamu wa watoto

    Wanabodi, heshima mbele.. Nina binti yangu mdogo wa miezi mitatu sasa. Tatizo lake kubwa ni kucheua /kutema maziwa kupitiliza. Yani akinyonya tuu, ndani ya dakika chini ya tano anakuwa ameshayatema yote. Sio asubuhi, sio mchana, sio usiku. Hali hii imesabisha uzito wake kuongezeka kwa kiasi...
  6. JamiiForums Tanzania Watuhumiwa Mauaji ya Daktari Isack na Milembe Suleiman, Afisa Ugavi GGM Wakamatwa, Mmoja Ajinyonga

    Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa watatu wa mauaji ya aliyekuwa mfanyakazi wa mgodi wa GGM Geita Milembe Selemani yaliyotokea Aprili 26,2023 katika mtaa wa Mwatulole mkoani Geita pamoja na watu watatu waliofanya mauji ya aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Kerende Dk. Isack...
  7. JamiiForums Tanzania Daktari wa Familia: Membe amefariki kifo cha kawaida, puuzeni uzushi

    Daktari wa Familia ya aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Camilius Membe, Prof.Harun Nyagori, ameongelea kifo cha Membe kilichotokea leo katika Hospitali ya Kairuki Jijini Dar es salaam ambapo amesema Membe amefariki kifo cha kawaida na kuwataka Watu...
  8. JamiiForums Tanzania Je, ni halali Daktari wa kiume kumchoma sindano ya tako mgonjwa wa kike?

    Wasalaam JF, Hivi kweli hawana soni ya kushika makalio ya pisi zetu kali? Ukorofi huo🙄🙄 Kumezuka wimbi kubwa la kukiuka miiko ya kijinsia hivi kweli ni halali Daktari au Nesi wa kiume kumchoma sindano ya tako mgonjwa wa kike. Hili ni sawa sawa kweli,? Tafadhari serikali iingilie Kati huu...
  9. JamiiForums Tanzania Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari

    Kuna taarifa za ndani juu ya ajali ya Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange kupata ajali ambapo inadaiwa ameumia sana. UPDATE Jioni hii makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amefika hospitali ya mkoa Dodoma maarufu kama General hospital kumjulia hali naibu waziri wa TAMISEMI (afya) Dk...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ninyi wakurya wa Nyamongo kwa nini mnaua Daktari kijana kama huyu?

    It is very painful ===== Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Nyangoto kilichopo Kata ya Nyamongo, Tarime Vijijini, Dk Isack Sima ameuawa kwa kukatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana wakati akitoka kituo chake cha kazi usiku akirejea nyumbani. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Mkuu wa...
  11. JamiiForums Tanzania Daktari wa Saikolojia Charity na Mtangazaji wa Radio One Haji leo mmetuangusha Wanaume kwa Kuukiri huu Udhaifu

    Leo katika Kipindi Bora duniani cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wake wa Kujiteua Kilazima Daktari wa Saikolojia Genius Charity Xavier Johnson na Kaka yangu Mtangazaji Haji Kibwana wamesema Kauli iliyoniumiza na Kuhisi huenda na Wao sasa wameshakamatika...
  12. JamiiForums Tanzania Daktari kesi ya Afande Rama asema baada ya vipimo amebaini kuna uwazi sehemu za siri za nyuma za mshtakiwa

    Shahidi namba moja Dkt. Fahad Nassor Mohammed katika kesi namba 59 ya Mwaka 2023, inayomkabili Mshtakiwa Ramadhan Hassan Ali ambaye anashtakiwa kutenda makosa mawili ikiwemo kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile na kosa la pili la maudhui ya king’ono ametoa ushahidi wake mbele ya Mahakama ya...
  13. JamiiForums Tanzania Daktari wa Saikolojia Radio One: Mwanamke akisaliti anakosa Amani na Anajishtukia ndani ya Siku 92

    Akiongea katika Kipindi kizuri na kinachoelimisha na ambacho GENTAMYCINE ni Balozi wake wa Kujiteua Kilazima kiitwacho Mazungumzo ya Familia cha Radio One Daktari Bingwa wa Saikolojia Dk. Charity Xavier ametoa SIRI ya Kisaikolojia ya Usaliti wa Mwanamke. "Mwanamke yoyote Akimsaliti ana Mpenzi...
  14. JamiiForums Tanzania Daktari: Mtu mmoja anatakiwa kufanya ngono mara tatu kwa wiki - Swahili Times

    Wanaume wanaopenda kufanya ngono mara kwa mara wanadaiwa kuwa kwenye hatari ya kufariki mapema tofauti na wanaume ambao hawafanyi kitendo hicho mara kwa mara. Hayo yamesemwa na daktari bingwa wa afya ya uzazi kutoka Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar, Dkt. Ummukulthum Omar wakati akitoa mafunzo...
  15. JamiiForums Tanzania Ukiona daktari wakati wa kukutibu anababaika babaika na anatumia google, mheshimu sana

    Ukiona unaenda kwenye matibabu na daktari anakuwa kama hajiamini hivi, anababaika-babaika katika kutafuta ugonjwa wako, na hata anatumia google jua kuwa upo kwenye mikono salama. Magonjwa ni mapana sana na yanaingiliana sana dalili. Ukiona Daktari anakudiagnose fastafasta jua kuwa hafahamu...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kutaka Daktari awepo kazini muda wowote unaomuhitaji ni uonevu, mkitaka hivyo ongezeni pesa ya overtime

    Kumbuka udaktari ni kazi kama kazi zingine. Mtu mpaka anakuwa daktari ametumia gharama zake kufika hapo, hakushushwa tu puuuh akawa daktari. Vilevile daktari kama wafanyakazi wengine wana muda wao wa kazi ambao kikawaida huwa ni masaa 8 baada ya hapo ana haki ya kufanya au kutofanya kazi mara...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mnaotaka kushusha heshima ya Daktari hamtaweza

    Daktari yupo kwenye risk kubwa sana ya kupata HIV, maana daily anarukiwa na madamu damu ya watu lakini jitu hilo hilo likipona linashindwa hata kusema asante dokta. Madaktari wanashika sana vinyesi vya wake zenu labour na wanawasafisha bila kinyaa lakini wakishajifungua shukrani hamna. Mambo...
  18. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ulaji mkubwa wa maharage husababisha uoni hafifu

    Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa nasikia ukila maharage sana unapata uoni hafifu na mpaka sasa kuna watu wanaamini hivyo. Mimi ni daktari lakini mpaka sasa sijafundishwa hicho kitu.
  19. P

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Daktari ni kiasi gani?

    Katika kada inayoongoza kwa kulaumiwa na kuonewa ni afya. Sasa viongozi wa kada hiyo ni madaktari maana ndio moyo. Nataka kujua, wanalipwa kiasi gani mpaka wanaonewa kiasi hicho? Tulinganishe na watumishi mfano wa WCF, NSSF, PSSSF, TRA, TISS bila roho mbaya wala husda, nani anafanya kazi...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha aliyopitia daktari Mkenya katika safari yake ya elimu. Haikua rahisi lakini amefanikiwa

    THIS IS MY STORY: This is the house I used to rent during my early years of high school. I would wake up at 3am everyday to de-weed people's farms for pocket money. This reminds me of the phrase 'never give up in life' You see, 16 years ago, I had passed my KCPE exams with flying colours and I...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…