Moja ya mambo ambayo ntaanzisha ni Tanzania army cyber command na itakua na kazi zifuatazo
Kufacilitate cloud migration ya data zote za taasisi, wizara, na mashirika ya serikali
Kuzilinda taaarifa zote za taasisi, wizara, na mashirika ya serikali
Kulinda critical infrastructure mfano za umeme...