Copper(I) fluoride or cuprous fluoride is an inorganic compound with the chemical formula CuF. Its existence is uncertain. It was reported in 1933 to have a sphalerite-type crystal structure. Modern textbooks state that CuF is not known, since fluorine is so electronegative that it will always oxidise copper to its +2 oxidation state. Complexes of CuF such as [(Ph3P)3CuF] are, however, known and well characterised.
THE CIVIC UNITED FRONT(CUF- Chama Cha Wananchi)
MAHAKAMA YAZIMA MPANGO WA ACT- WAZALENDO KUPORA OFISI YA CUF KILWA:
CUF- Chama Cha Wananchi imepata ushindi kwenye Kesi iliyofunguliwa na ACT- Wazalendo ya kudai Ofisi ya CUF Wilaya ya Kilwa kwamba ni mali yao waliyopewa na Seleman Bungara...
Mtia nia wa nafasi ya Urais katika Uchaguzi mkuu kupitia Chama cha Wananchi CUF Nkunyuntila Siwale amesema endapo Chama chake kitampa ridhaa ya kuwania nafasi ya Urais atawapa ajira Vijana wote nchini kwani anazijua mbinu zote.
Mzee Siwale ameyasema hayo Julai 15, 2025 baada ya kukabidhiwa fomu...
CHADEMA NJOONI MBISHE KAMA HAMJAPEWA PESA ZA NO REFORMS NO ELECTION NA SERIKALI YA CCM.
Rais Samia ameliwezesha Baraza la Vyama vya Siasa kufanya mikutano sita (6) na baraza hilo kutoa mawazo na ushauri uliowasilishwa Serikalini na kufanyiwa kazi.
Kufuatia mashauriano yaliyowahusisha wadau...
"Nilikuja kugombea Mtwara wakati sina uhakika kama je wana Mtwara mtanichagua kuwa Mbunge ama lah, lakini kwasababu niliapa kwa Mwenyenzi Mungu wana Mtwara mlikuwa mnaonewa sana, wana Mtwara mlikuwa mnapigwa sana, Bodaboda walikuwa wanaonewa sana, barabara Mtwara kulikuwa hakuna, maji...
Aidha Professa ameimiza kila kata kuwe na ilani inayoendana na hali ya kata husika.
Pia amesimamia hoja kuu ya kuendelea na uchaguzi ingawa Kuna mchakato unaendelea wa kuwa na Tume huru ya uchaguzi, na mabadiliko ya katiba mpya.
Team,
Salaam!
Mara nyingi kwa wapinzani nchini ukiwaambia ukweli badala ya kupokea ushauri wao huishia kutukana, kudhihaki, na kukejeli mleta mada.
Lucas Mwashambwa na Pascal Mayalla kwa muda mrefu wamevaa viatu vya ualimu wa kuelimisha upinzani nchi lkn badala ya kupokea mawazo yao huja na...
Katibu Mkuu wa ACTwazalendo Ado Shaibuado amesema kuwa jumla ya wanachama wapya 2567 wamesajiliwa kwenye mfumo wa kusajili wanachama wa "ACT Kiganjani" tangu Mbunge Mstaafu wa Mtwara Mjini Ndugu Maftaha Nachuma awasiliane na uongozi wa Chama kwa ajili ya kutangaza kujiunga.
Ado Shaibu...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mtwara Mjini na Makamu Mwenyekiti wa chama cha CUF, Maftaha Nachuma amekihama chama hicho na kujiunga na chama cha ACT Wazalendo
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
Kwa kesi ya zuio la kesi ya usawa Mali huenda CHADEMA ikapoteza umiliki wa majengo yake kama ilivyokua CUF ya Maalim Seif,nahuenda CHAUMMA wakaja kuyachukua nakuyatumia nambowe akaingia mzima CHAUMMA
Othman Dunga akiongea na Clouds FM amesema Hatuwezi kufanya siasa za kishamba za kumkashifu Rais. Mtu anapanda jukwaani anasema 'Eti Samia'. Huwezi kumuita Samia, huyu kiongozi wa nchi, ni 'icon' ya nchi.
"Lazima apewe heshima yake. Tunasema tunamuomba Rais Samia Suluhu Hassan na mtu ukimpa...
Wakuu
Siku moja mara baada ya vyama 14 vya siasa nchini kutangaza rasmi kuunda umoja wao kuwa vitashiriki uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, Chama cha Wananchi CUF kimetangaza kutoungana na chama chochote cha siasa kusimamisha mgombea mmoja katika nafasi yoyote ya uongozi.
Mpaka Sasa watanzania walioichoka CCM wameteseka sana na kupoteza rasilimali zao fedha, muda na nguvukazi nyingi kuunga upinzani na wapinzani wajasiliamali wa kisiasa wasaka fedha na mapandikizi wasiokuwa wapinzani.
Chadema kufurugika Sasa halkina tofauti na vilivyovurugika NCCR CUF na TLP. Hii...
https://youtu.be/1f_r4K23h0c?si=JryS33KdwjyIkuCY
===
Mkurugenzi wa Mtendaji wa taasisi ya Utafiti na demokrasia Prof Rwekeza Mukandara kwa mashirikiano na kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC wameandaa kongamano kubwa na la kihistoria litakalofanyika Chuo kikuu Cha Dar es salaam.
Pamoja na...
Wanachama 168 wa Chadema wakiongozwa na aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Ndugu Godson John Mmbaga na Chama cha CUF wakiongozwa na aliyekuwa Katibu wa Wilaya wa Chama hicho Ndugu Ally Ramadhan Mngashwa wamejiunga na ACT Wazalendo na kupokelewa na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado...
Ghafla bini Vuu, Chauma kinakuwa chama kikubwa kuliko vyama vyote nilivyotaja hapo juu na kikiwa na bajeti ya kurusha chopa nchi nzima, wewe kama CUF, UDP, ACT na vyama vingine, hushangai??
Chama ambacho hakina mbunge hata mmoja kiseme labda wanapata luzuku ili kufanikisha hilo
Tanzania...
GT
Police wa Tanzania ni wendawazimu kabisa na hawana adabu kwa raia, Check hiki kipigo wanampiga mtanzania mwenzao kisa ulafi wa madaraka wa politicians.
Ukitathimini kwa kina kuhusu hali ya kisiasa inayopitia na kuikumba chadema kwa sasa, utagundua kuna aina ya maradhi ya kisiasa inagua na kwa hivyo, kuna uwezekano mkubwa sana ikadhoofika mno hatimae kudumaa kama ilivyokua baadhi ya vyama vya siasa nchini vilivyowahi kua na nguvu sana humu...
Wanachama 44 wa CCM na CUF katika Kijiji cha Namiungo Wilayani Tunduru mkoani Ruvuma wamejiunga na Chama cha ACT Wazalendo mbele ya Katibu Mkuu wa chama hicho Ado Shaibu jana tarehe 1 Mei 2025.
Wakizungumza baada ya kujiunga na chama hicho wamesema kuwa wamevutiwa na uzalendo wa Ado Shaibu...
Nimekumbuka sana
Wakati CUF wanaitwa MAGAIDI , CDM waliitwa IKULU kunywa CHAI wao walijua wanapendwa kumbe enzi hio hawakuwa TISHIO kwa MUUNGANO sasa Leo Goma Limegeuka wao ni Tishio ni Zamu ya ACT sasa kuitwa IKULU kunywa CHAI, hili ni Somo vyama vya upinzani kuungana na kutodhani wanapendwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.