crdb

  1. JamiiForums Tanzania CRDB waja na Account maalumu ya uwekezaji faida 12%

    Mpango unaoendana na hadhi yako!🧳 Karibu uwekeze kiusalama kupitia akaunti ya muda maalumu tuliyokuandalia ambapo kuanzia kiwango cha shilingi milioni 20 na kuendelea kitakupa faida ya 12% kwa mwakaπŸ“ˆ. wasiliana nao kwa taarifa zaidi
  2. JamiiForums Tanzania Na final CRDB YANGA wasikubali uchezwe kwa mkapa ule uwanja sio siooo

    Kama CAF Wamesimama MSIMAMO WAOO NASHAURI YANGA msikubali kuchezea kwa mkapa final ya crdb Huo UWANJA HAUKO salama kwa mechi kabisa Yaani wamehangaika gafla KUREKEBISHA kisa final Huko nyuma walikuwa wapi na kama walikuwa na uwezo WA KUREKEBISHA mapema kwa nn wasubiri CAF ichague AMAN ndio...
  3. JamiiForums Tanzania Simba waanza mbinu ya kuikwepa Yanga fainal za CRDB, mbinu yao ya kwanza itaanza kwenye mchezo wao na singida

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Baada ya wananchi yanga kutinga hatua ya fainal za CRDB tiar viongozi wa Simba wameanza mbinu za kukimbia game Na mbinu yao ya kwanza kabisa itaanza kwenye game yao na singida Yenu macho LONDON BOY
  4. JamiiForums Tanzania FT |Young Africans SC 2-0 JKT Tanzania | CRDB Federation Cup | Semi-Final | Mkwakwani Stadium | 18.05.2025

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡ DAY πŸ”° πŸ† #CRDBBankFederationCup ⚽️ Young Africans SCπŸ†šJKT Tanzania πŸ“† 18.05.2025 🏟 CCM Mkwakwani πŸ•– 10:00 Jioni #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko Updates Kikosi cha Yanga Kinachoanza. KIKOSI CHA JKT Updates... DK 41 Prince Dube anaipatia Yanga Goal lakuongoza. Alipokea Assist nzuri...
  5. JamiiForums Tanzania CRDB Tanga..mafunzo ya michezo ya vijana tanga, timu ya taifa mazoezi Tanga..hivi Arusha hamuioni ama???

    Karia Kwanza nikupe pole BAADA ya makando kando ya UWANJA WA TAIFA sasa naona CAF wameona ULE UWANJA sio salama Tena kama mlivyosema sasa twende znz mkapate usalama zaidi MH Karia uliwahi kusema hii LIGI ya crdb mtajitahidi kuwapelekea wananchi hasa AMBAYO hawana timu ktk LIGI kuu waweze...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yashiriki maadhimisho ya Mei Mosi, Singida

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Dotto Biteko na Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Tumaini Nyamhokya kwa pamoja wakiwa wameshikana mikono wakati...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Samia akaunti tuliyowekeza CRDB

    Niliwekeza kwenye Samia Account kupitia CRDB na masharti yalikuwa ni kupata asilimia 30 kila baada ya miezi mitatu. Jana nimeenda kuangalia salio langu kama kweli wameniwekea hiyo asilimia 30 ya fedha yangu niliyowekeza lakini sijaona nyongeza yeyote. Kulikoni?.
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma mbovu CRDB bank tawi la LAPF Dodoma

    Bank ya CRDB tawi la LAPF Dodoma wahudumu wako taratibu sana, majibu yasiyo rafiki Kwenye foleni inakaa masaa bila huduma, yapo madirisha manne ya huduma ila kwa muda mrefu ni dirisha Moja tu ndio linamuhudumu ambaye naye muda mwingi ingia Toka ingia Toka haeleweki anafanya nini Vijana hizi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Gawio la CRDB

    Wakuu mna maoni gani kuhusu gawio la CRDB lililotangazwa leo? Naona kama ni kidogo sana ukilinganisha na performance ya kampuni kwa mwaka mzima
  10. JamiiForums Tanzania FT | Simba SC 3-1 Mbeya City FC | CRDB Bank Federation Cup | KMC Stadium | 13.04.2025

    Simba SC watashuka dimbani leo saa 10:00 jioni kuwavaa Mbeya City katika mchezo wa Robo Fainali ya CRDB Bank Federation Cup, ukitarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Mchezo huo utakuwa kipimo muhimu kwa Mnyama Simba SC ambao wanalenga kutinga hatua ya nusu fainali na kuweka rekodi ya kutwaa taji...
  11. JamiiForums Tanzania CRDB Huduma ya Jinasue

    Naomba kuuliza hii huduma unaweza ipata vp, maana Huwa nafanya miamala Kwa muda mrefu kabla hii huduma haijazinduliwa, nimeangalia kwenye simbanking app naona kiwango Cha mm kuweza kupata huduma hii ni Tzs 0.00. Sasa naomba kufahamishwa nawezaje kutumia huduma hii
  12. JamiiForums Tanzania Specialist; Business Intelligence at CRDB Bank April 2025

    Reporting Line MANAGER ENTERPRISE ANALYTICS & BUSINESS INTELLIGENCE Location: Tanzania Head Office Department: DATA MANAGEMENT OFFICE Number of openings: 2 Job Purpose The role is responsible for data visualization, reporting automation, and analytics enablement, ensuring that data is...
  13. JamiiForums Tanzania Simba haijawahi kutwaa kombe la NBC wala CRDB tangu yaanzishwe

    Tangu kuanzishwa kwa Kombe la Ligi kuu bara chini ya udhamini wa NBC , muonekano wa makombe haya yameshabadilishwa mara kadhaa, Lakini katika mionekano yote 5imba haijawahi hata kujua uzito wa kombe mojawapo ukoje πŸ˜€ Mara zote makombe haya yameenda kwa wazee wa kutandaza soka safi na mabingwa wa...
  14. JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-1 Big Man FC | CRDB Bank Federation Cup | KMC Stadium | 27.03.2025

    Leo Alhamisi inapigwa mechi ya CRDB Bank Federation Cup hatua ya 16 bora Simba SC VS Big Man FC Saa 10:00 Jioni | πŸ”΄ LIVE updates hapa Vikosi vya timu zote Mechi imeanza 1' Simba SC 0-0 Big Man FC 12' Milango bado migumu kwa kila timu 15' Goooooal (Joshua Mutale) 23' Simba wanalitafuta goli...
  15. JamiiForums Tanzania IT Support Officer – 2 posts at CRDB Bank March 2025

    Location Tanzania Head Office Department DEPARTMENT OF ICT Number of openings 2 Job Purpose IT Support Officer will be responsible for managing incidents and requests raised by users through ticketing tool, calls and emails as well as monitoring systems and infrastructure and follow up on...
  16. JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB mnakwama wapi?

    Karibu na mazingira ya Shule ya Secondary Joketi Mwegero iliyoko Halmashauri ya wilaya ya kisarawe, mkoa wa pwani, hakuna Benk wala wakala wa CRDB kiasi kwamba wazazi tunakosa njia rahisi naya uhakiki kuwatumia watoto hela? Mnakwama wapi?
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: CRDB anzeni mchakato wa Boss mpya pia Dr Madelu jiandae kisaikolojia!

    1. Kwa siasa zetu zilivyo hawa CRDB ni vizuri wakaanza mchakato wa kupata boss mpya ifikapo Oktoba 2025. 2. Ukifuatilia matukio makubwa ya kitaifa hivi Karibuni utapata jibu kuwa kituo kifuatacho kuna ingizo jipya pale HAZINA/Moyo wa nchi ulipo 3. Wizara ya Fedha inataka mtu mnyoofu na mweledi...
  18. JamiiForums Tanzania Je! kati ya UTT Amis na CRDB, wapi kuna nafuu nikitaka kuwekeza?

    Kati ya UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania) na CRDB Bank (kupitia hisa au mifuko ya uwekezaji), chaguo lako litategemea malengo yako ya uwekezaji, kiwango cha hatari unachoweza kuvumilia, na faida unayotegemea. Hapa kuna mlinganisho mfupi: 1. UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania – Asset Management and...
  19. B

    JamiiForums Tanzania BENKI YA CRDB, UNDP zazindua programu kuwasaidia wafanyabiashara kufikia Soko Huru la Afrika (AfCTA)

    Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe (wa pili kushoto) akikata utepe kuashiria kuzindua programu ya kuwasaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati kushiriki fursa zilizopo katika Soko Huru la Afrika (AfCFTA) inayotekelezwa na CRDB Bank Foundation pamoja na Shirika la Umoja wa Mataifa...
  20. JamiiForums Tanzania Records: Sure Boy na Mudathir walisimamishwa Azam kwa sababu ya kupanga matokeo dhidi ya Yanga

    WACHEZAJI watatu wa Klabu ya Azam FC ambao ni Nahodha Aggrey Morris, Salum Abuubakar (Sure Boy) pamoja na Kiungo Mudathir Yahya Abbas walisimamishwa kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu. Kupitia mjadala mkali wa Crown Media imebainika kuwa walipanga matokeo dhidi ya Yanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…