crdb

  1. CRDB CRDB CRDB, Nawaita mara tatu!!

    Hii CRDB mnatutendea vibaya sana! 😡 Jana mmekata hela kutoka kwenye akaunti yangu bila idhini yangu. Hata mbaya zaidi, nimetuma hela kwenda M-Pesa na hazijafika wala kurudi tena kwenye akaunti yangu. Hii ni dharau kubwa kwa wateja wenu. Hivi mnajua maisha yalivyo magumu huku chini? Kila senti...
  2. Wateja wa CRDB hali ni tete, miamala mingi haieleweki

    Wenye akaunti CRDB hali ni vurugu. Unatuma pesa haifiki lakini inaonyesha imekatwa Unatuma pesa inafika, baadae inarudishwa Unatoa hela ATM inahesabu lakini card inatoka bila hela. Mikopo ya kukwata at source unakatwa kwenye saving account. Kifupi benki imechanganyikiwa. Ukipiga simu...
  3. Kagua salio lako CRDB, kuna pesa hazionekani kwenye akaunti

    Zaidi ya milioni siioni kwenye akaunti yangu ya CRDB. Mdau kagua na wewe salio lako usije ukawa upo hujui kinachoendelea. Kesho pakikucha tu natia mguu hapo Holland branch…
  4. Mimi nilijua hizi siku 3 za bila huduma basi jamaa watarudi wakiwa kamili ila kumbe mambo ni yale yale. CRDB "popote utoporo"

    Kuna mwamba humu aliwahi kusema hii benki iliondoka na kimei sasa ndio namuelewa.
  5. A

    KERO Vodacom na CRDB ni wezi?

    Hii kitu mimi huwa inanitatiza sana, pale unapotumia USSD ya benk ili kufanya miamala kupitia mitandao ya simu. Unakuta na kuambiwa ni lazma uwe na saliio la kawaida isiyopungua sh. 100.. Sasa unapojaribu kuitumia huwa wanakata hiyo fedha haijalishi umefanikiwa au haujafanikiwa. mara nyingi...
  6. R

    An imaginary terrible situation: CRDB nimekutana na mtu analia ameshindwa kutoa pesa kufanya dialysis

    Msirudie kosa hili! Kungelikuwa Western world , huyu mgonjwa mngemlipa fidia magunia ya hela! Mngeliweka alternative service to at least save "lives"
  7. CRDB is no longer, ni benki ya kuihama

    Wake kwa Waume habari zenu. Hivi benki gani ambayo haifanyi kazi kuanzia ALHAMISI, IJUMAA, JUMAMOSI NA Hakuna uhakika pia kama itafanya kazi Jumatatu. Hii ni Pemba yote, Unguja na hata mikoa ya bara pia tatizo ni hilohilo Yaani huduma kupitia mitandao ya simu kawaida haifanyi kazi, kwa kutumia...
  8. CRDB sasa tena wameongeza muda wa huduma kutopatikana, hivi hawa jamaa kimeawakumba nini?

    Kweli hawa jamaa systems zao hazikuwa hacked kweli. Siku tatu nzima hakuna huduma ya sim banking wala Tawi
  9. CRDB Mungu anawaona. Mnatunusisha mahela halafu mnayatoa

    Nadhani ma IT wa CRDB Leo ndio siku ambayo wameona ugumu wa ajira yao. Asubuhi leo watu wameamka mamilionea ghafla jamaa wakachomoa betri kwa kukata baadhi ya huduma.
  10. Matawi Ya CRDB Kufungwa Kwa Siku Tatu Nchi Nzima

    Benki ya CRDB imetangaza kufunga huduma katika matawi yake yote kwa siku tatu kuanzia Septemba 5 hadi 7 mwaka huu. Kufungwa kwa matawi hayo kunalenga kutoa nafasi kwa wataalamu kufanya maboresho na kuweka mifumo ya kisasa ili kuongeza ufanisi huduma zinazotolewa. Kwa mujibu wa taarifa...
  11. Dkt Mpango aiomba Benki ya CRDB kutoa elimu ya fedha wakati akizindua Tawi Buhigwe

    Buhigwe. Tarehe 27 Agosti 2025: Akizindua tawi la Benki ya CRDB wilayani Buhigwe pamoja na kupokea madarasa mawili ya shule ya sekondari, Makamu wa Rais, Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango ameisifu Benki ya CRDB kwa jitihada zake za kutanua huduma jambo linalosaidia kuongeza ujumuishaji wa...
  12. Kama unataka amani ya moyo usifanye miamala siku ya jumapili kupitia CRDB

    Muamala unafanyiwa kazi masaa, customer service hawapokei, huko mitandaoni hawajibu. This bank is 🚮🚮
  13. Souwah alipata kadi nyekundu Crdb conf cup Simba mmejipangaje na ngao ya jamii?

    Sijui niongeze volume Mwamba alipata redkadi crdb conf cup Nawaza mambo kadhaa ataruhusiwa kucheza ngao ya jamii Iwapo hatoruhusiwa Simba mmejipangaje Nukuu ya leoi;::
  14. Hatifungani ya miaka 5 Shariah CRDB

    Wekeza kwenye hati fungani ya miaka 5 inayofuata Shariah. · Faida Halal 12% ukiwekeza TZS · Faida Halal 6% ukiwekeza USD · Gawio mara 4 kwa mwaka · Itadumu kwa miaka 5 (Utarudishiwa uwekezaji wako) · Inafuata mkataba wa Ijarah Wekeza kuanzia TZS 500,000 au USD...
  15. Dkt. Tulia Avutiwa na CRDB Bank Marathon Iliyokusanya Bilioni 2 kwa Afya na Jamii

    Dar es Salaam, 17 Agosti 2025 - Maelfu ya wakimbiaji na wapenda michezo kutoka ndani na nje ya Tanzania wamejitokeza leo katika viwanja vya The Green, Oysterbay, kushiriki CRDB Bank Marathon 2025, mbio za hisani ambazo mwaka huu zimekusanya Shilingi Bilioni 2 ili kusaidia matibabu ya watoto...
  16. M

    CRDB Bank makao makuu na kelele kwa majirani

    Tunashangazwa na kelele za jirani zenu CRDB Bank makao makuu, Ali Hassan Mwinyi. Mfano leo tangu saa 11 alfajiri wanefungulia mziki mkuubwa wakati muda huo hakukuwa na watu hata 10. Na mara zote hata wakiwa na promotion tu magari yao makubwa yenye PA system yatakuwa kupaki nje na sauti kuubwa...
  17. Kama umewekeza kwenye hisa za CRDB toa hela yako mapema. Mporomoko mkali waja

    Wakuu, Kama mnanifuatilia niliwekeza hela yangu zaidi ya Ml 60 mwaka jana na hisa zimenipa faida zaidi ya mara mbili hadi sasa. Ila kwa zilipofikia zimekuwa over-valued kuliko thamani yake ya kitabuni so ni risk kwa Wawekezaji wapya. Pia, kumbuka ni kipindi cha uchaguzi hiki external investors...
  18. Kero kwa Bank ya CRDB

    Wakuu hivi naomba kuuliza hivi CRDB BANK wanakata malipo ya huduma ya kutunza fedha kila siku na kwa kila muamala unaoingia mana dah sio kwa haya makato yanayoendelea yani hela ikiingia tu wanakata 4000,au 5000,kisha unapotoa wanakata sio chini ya 10000 hapo ni kwa amount kwanzia Mil.1 chini ya...
  19. Hisa za CRDB zafika 1500 kwa hisa moja

    Neema kwa wawekezaji wote wa CRDB siku ya jana hisa moja iliuzwa kwa tsh 1510 .
  20. CRDB Al Barakah Sukuk kuwezesha biashara bila riba

    Dar es Salaam: Benki ya CRDB hivi karibuni ilizindua ‘CRDB Al Barakah Sukuk,’ hatifungani inayokusanya fedha ili kuwezesha biashara bila riba nchini na ukanda wa Afrika Mashariki kwa ujumla. Hatifungani hiyo inayofuata misingi ya Kiislamu, inakusudia kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 30...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…