crdb

  1. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Account zangu za CRDB hazijatumika tangu Desemba 2021

    Habari za muda huu wakuu, Nina Account 2 za CRDB, ya kwanza niliifungua mwaka 2020 kwa kitambulisho changu cha utaifa, na ya pili niliifungua 2021 kwa kitambulisho changu cha chuo kikuu muda huo nilikuwa namalizia mwaka wa tatu wa masomo Baada ya kumaliza chuo maisha yalinitwanga haswa kiasi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania CRDB Insurance na ACRE Africa Washirikiana Kuboresha Bima ya Mifugo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya CRDB Insurance, Wilson Mnzava akibadilishana hati ya makubaliano na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya ACRE Africa, Ewan Wheeler, katika hafla ya kusaini makubaliano ya kutoa huduma ya bima ya kilimo na mifugo, ambapo kwa kuanzia watanaanza na bima ya mifugo kwa...
  3. al1

    JamiiForums Tanzania Nimekosea muamala kutoka CRDB bank kwenda muda wa maongezi

    Wakuu habari za usiku huu? Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, nimekosea kufanya muamala kutoka crdb nikatuma kama muda wa maongezi na sijaunga kifurushi. Nimewapigia crdb bank wameniambia hawawezi kurudisha, msaada tafadhali mwenye kuweza kubadilisha muda wa maongezi kuwa pesa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yaendelea kusaidia jitihada za Serikali kuboresha mazingira ya elimu nchini

    Katika utekelezaji wa Sera yake ya Uwekezaji kwenye Jamii, Benki ya CRDB imeendelea kusaidia jitihada za Serikali kuboresha mazingira ya elimu nchini. Jitihada hizo zimefanyika mkoani Manyara, katika Wilaya za Mbulu na Babati, siku chache kabla ya Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Benki ya CRDB...
  5. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Ihefu SC 0-1 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Sheikh Amri Abeid , Arusha | 19.05.2024

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #CRDBBankFederationCup ⚽️ Ihefu SC🆚Young Africans SC 📆 19.05.2024 🏟 Sheikh Amri Abeid 🕖 09:30 Alasiri Kikosi kinachoanza dhidi ya Ihefu SC Mpira umeanza Dakika ya 1 Dakika ya 5 Yanga SC wanafanya shambulizi Dakika ya 10 Yanga SC wanapata Kona bado ni 0-0 Dakika ya 15 0-0...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wanahisa wa Benki ya CRDB waidhinisha Malipo ya Gawio la Shilingi Bilioni 130.6 kwa Mwaka wa Fedha wa 2023

    Arusha 18 Mei 2024 - Wanahisa wa Benki ya CRDB wameidhinisha kwa kauli moja mapendekezo ya Bodi ya Wakurugenzi kuhusu malipo ya gawio la Shilingi 50 kwa kila hisa jambo linalofanya jumla ya thamani ya gawio la mwaka wa fedha 2023 kufikia Shilingi bilioni 130.6, sawa na 30.9% ya faida halisi...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wako ni upi atakaye cheza Fainali ya CRDB Bank Federation msimu huu 2023/2024

    Mtazamo wako ni upi atakaye cheza Fainali ya CRDB Bank Federation msimu huu 2023/2024 Leo Azam fc vs Coastal Union Kesho Yanga Vs Ihefu
  8. B

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi avutiwa na utendaji wa Benki ya CRDB katika kutengeneza faida

    Arusha 17 Mei 2024 - Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya CRDB kwa kuendelea kutengeneza faida kubwa inayoiwezesha benki hiyo kutoa gawio kwa wanahisa wake kutokana na uwekezaji wao ndani ya benki hiyo. Rais Mwinyi alitoa pongezi hizo wakati...
  9. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Specialist; Cyber Security Architecture at CRDB Bank

    Job Reporting To: Manager; Cybersecurity Governance & Compliance Department: Cybersecurity Location: HQ Job Summary. Responsible for the creation, maintenance and management of cybersecurity architecture models and their lower-level components. Interpret, use, and apply information contained...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Makonda aipongeza Benki ya CRDB msaada wa Pikipiki kwa Jeshi la Polisi kuimarisha Usalama kwa Watalii Jijini Arusha

    Arusha 16 Mei 2024 - Serikali imeipongeza Benki ya CRDB kwa kutoa msaada wa pikipiki kwa Jeshi la Polisi mkoani Arusha ili kuimarisha doria zitakazoongeza usalama kwa watalii wanaokuja nchini. Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alipopokea pikipiki hizo zenye thamani...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yawakaribisha Wanahisa kwenye Mkutano Mkuu wa 29

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay (katikati), Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Prof. Neema Mori (wapili kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (watatu kushoto), Katibu wa Kampuni Benki ya CRDB, John Rugambo (watatu...
  12. Surya

    JamiiForums Tanzania CRDB bank ni noma, mashine pekee ya wakala wananipa kwa milioni moja

    Kwenye kujitafuta bhana nikasema niombe Uwakala wa benki ya CRDB Sasa achana na Pesa ambayo nitaweka kwenye Account kwaajili ya kazi, naambiwa mashine yao inapatikana kwa Milioni 1 hadi nilishikwa na mshangao kwanza, hiyo mashine ni single purpose nailipia M.1... khaaaaa Na tozo za nchi hii...
  13. pachawako

    JamiiForums Tanzania Nakupenda customer care wa CRDB.

    We mdada wa CRDB tawi la Mwanza customer care desk, kwanza nakuombea kwa mungu uzidi kukupa afya njema vingine nitafanya mimi, ninafanya juuchini nikupate, iwe ni kwa upendo, dua, viringe ama pesa nitazitoa ili tu uwe wangu. Nimekutazama vizuri, una uzuri wa sauti, tabasamu, karangi kako dark...
  14. Mad Max

    JamiiForums Tanzania CRDB Customer Service: Unapiga Simu Unawekewa wimbo wa Swaiba Langu ni Lako

    Haya mambo unaweza ukalia. Nimepata emergency natakiwa niwasiliane na watoa huduma wa CRDB. Aisee, wameniwekea wimbo wa Swaiba zaidi ya nusu saa. Mara ya kwanza nikajua wamezidiwa na wateja ila nimegundua watakua hawapuuzia tu simu hawa. Kwokwote walipo, kuanzia Meneja na team zenu, mna laana...
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania CRDB yaamuriwa kumlipa Zawadi Bahenge milioni 300 kwa kutumia picha yake kwenye matangazo bila ridhaa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeiamuru Benki ya CRDB kumlipa fidia ya Sh300 milioni Zawadi Bahenge kwa kutumia picha yenye sura yake kwenye matangazo ya kibiashara bila ridhaa yake. Pia mahakama imeiamuru benki hiyo kuondoa picha zote za balozi huyo wa Tacaids kwenye mabango yake ya...
  16. C

    JamiiForums Tanzania CRDB mpo sawa kweli?

    Mwaka jana mwishoni nilikuwa na uhitaji wa Akaunti kwa ajili ya kuingiza vipesa fulani vinavyopita mara kwa mara. Hivyo niliona vipesa hivi nivifungulie akaunti ya bank tofauti na ile nayotumia kila siku. Nikaenda tawi la CRDB mkoani kwangu kwa ajili ya kufungua akaunti, kweli nilifungua...
  17. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Specialist; Security Operations Center (SOC)- 2 Positions at CRDB

    Line Manager- Manager; SOC Department- Cybersecurity Location- HQ Job Summary Support in ensuring that the Bank’s information is protected in accordance with the needs of the business and according to Information Security principles of availability, integrity and confidentiality. To bring the...
  18. B

    JamiiForums Tanzania TBL, CRDB Bank Foundation collaborate on pre-financing barley farming for the 2024 agricultural season

    Tanzania Breweries Limited (TBL), one of Tanzania’s top manufacturers and employers and a key partner in the socio-economic development of the country, has today signed a Memorandum of Understanding (MoU) with the CRDB Bank Foundation to collaboratively implement the Barley Farming Pre-financing...
  19. B

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank Foundation, SUGECO kuwezesha mafunzo kwa vitendo kwa wahitimu 2,500 nje ya nchi

    Katika kufungua fursa za kuongeza umahiri katika fani zao, Taasisi ya CRDB Bank Foundation kwa kushirikiana na Sokoine University Graduate Entrepreneurs Cooperative (SUGECO) imesaini mkataba wa miaka mitatu kuwawezesha zaidi ya wahitimu 2,500 wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Utaratibu uliotumika kubadili Azam Federation Cup hadi kuwa CRDB Federation cup ni upi?

    Naomba anayeufahamu auweke hapa ili na mimi nielewe Natanguliza Shukranii .
Back
Top Bottom