Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,426
- 12,701
Kwenye kujitafuta bhana nikasema niombe Uwakala wa benki ya CRDB
Sasa achana na Pesa ambayo nitaweka kwenye Account kwaajili ya kazi, naambiwa mashine yao inapatikana kwa Milioni 1 hadi nilishikwa na mshangao kwanza, hiyo mashine ni single purpose nailipia M.1... khaaaaa
Na tozo za nchi hii... sasa hapa kichwa kinawaka Moto.. au ni..
Muwe na siku njema wakuu.