connection

In mathematics, and specifically differential geometry, a connection form is a manner of organizing the data of a connection using the language of moving frames and differential forms.
Historically, connection forms were introduced by Élie Cartan in the first half of the 20th century as part of, and one of the principal motivations for, his method of moving frames. The connection form generally depends on a choice of a coordinate frame, and so is not a tensorial object. Various generalizations and reinterpretations of the connection form were formulated subsequent to Cartan's initial work. In particular, on a principal bundle, a principal connection is a natural reinterpretation of the connection form as a tensorial object. On the other hand, the connection form has the advantage that it is a differential form defined on the differentiable manifold, rather than on an abstract principal bundle over it. Hence, despite their lack of tensoriality, connection forms continue to be used because of the relative ease of performing calculations with them. In physics, connection forms are also used broadly in the context of gauge theory, through the gauge covariant derivative.
A connection form associates to each basis of a vector bundle a matrix of differential forms. The connection form is not tensorial because under a change of basis, the connection form transforms in a manner that involves the exterior derivative of the transition functions, in much the same way as the Christoffel symbols for the Levi-Civita connection. The main tensorial invariant of a connection form is its curvature form. In the presence of a solder form identifying the vector bundle with the tangent bundle, there is an additional invariant: the torsion form. In many cases, connection forms are considered on vector bundles with additional structure: that of a fiber bundle with a structure group.

View More On Wikipedia.org
  1. Natamani kufanya kazi Ulaya na Amerika, naombeni connection

    Habari wakuu? Poleni na majukumu ya hapa na pale pia hongereni kwa kupambana. Kutokana na kichwa cha habali hapo juu, Ndugu zanguni, wakuu naombeni yeyote ambaye ana connection au anazijua connection za kupata mishe/ kuzamia nje yani nchi za ULAYA, USA na CANADA naombeni msaada wenu.ili niende...
  2. Naomba connection ya kazi

    Habarin Wana JF heshima yenu wote 🙏🏾 natumaini wote ni wazima kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uzima anao tujaalia kila siku itwapo leo. Ndugu zangu mbele yenu ni kijana mtanzania nina ishi dar es salaam nime hitimu bachelor degree in shipping and logistics management mwaka 2022 Nina...
  3. Mchungaji Gwajima: Elimu bila connection ni sawa na kontena la maarifa yasiyo na matumizi

    Nimekutana na hii video mtandaoni, Mchungaji Gwajima anatoa hoja yake kuhusu umuhimu wa kuwa na Connection hata ukiwa umesoma. Mchungaji Gwajima anasema "Mwanangu soma sana, kuwa na Masters, kuwa na PHD lakini lazima awepo mtu. Academic breakthrough with no connection you just become a...
  4. Naomba kujuzwa namna ya kufika Canada

    Ndugu wanajamvi habari zenu, Natumaini mko powa kabisa na mnaendelea na shughuli za hapa na pale Kwenye maisha ya mwanadamu kila mtu anakuwa na ndoto zake ambazo hana budi kuzipigania!! Binafsi toka nikiwa mdogo ndoto zangu zilikuwa ni kuishi Canada, hapa katikati ni kama zilipotea vile...
  5. Vijana Wenzangu, Connection za Maisha zipo Bar na Kwenye Viwanja!

    Usikae tu home na vijiwe viisvyo maana. Hata kama sio Mlevi, Toka nenda Kiwanja ambacho unajua wastaarabu wanakaa. Huko ukutane na RC, DC, RAS, DAS, DED na Ma CEO mbalimbali. Hawa watu typically ni Walevi, ni wanywaji Pombe haswaa, nahuko Niko wanakutana kupeana michongo. Sio lazima unywe...
  6. Nahitaji connection ya kazi yoyote anayoweza kufanya mdada Mwanza

    ...
  7. Marehemu Ruge "alivyonidanganya"

    Ulikua ni muendelezo wa msimu wa fiesta unayofanyika karibu kila mwaka, utofauti wa msimu huu mwingine ni kuwa msimu uwo wa fiesta ndio kilizaliwa kichanga ambacho sasa kimekua na tayari kinajitegemea kinaitwa FURSA. Timu ya fursa sijui iliongozwa na nani ila Marehemu Ruge Mutahaba nae...
  8. B

    Naombeni Connection ya Kibarua Ndugu zangu I

    Habari za Mwezi February wana-JF.!! Ndugu yenu Nina changamoto ya Kodi, chakula (kwa mtoto na Ndugu zangu tegemezi na kwangu binafsi). Naombeni mwenye kuweza kunisaidia kupata kibarua cha namna yoyote Ile; Muhimu kiendane na mapenzi ya MUNGU. Nitashukuru nikipata Msaada . ✅Nina elimu ya...
  9. R

    Huyu Mkuu wa Mkoa wa Tanga sidhani kama kuna kiongozi pale; labda cheo alipewa Kwa connection

    Nimemsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Tanga sakata la ajali ya Costa iliyoua watu 17. Kwa kumsikiliza Tu unagundua Hana maarifa. Kama si zao la awamu ya tano basi ana vimelea vya Wakuu wa Mikoa wa awamu ya tano. Walikuwa wakuu wa Mikoa wa kukamata, kufunga ,weka maabusu nk Hospitali zetu zinajulikana...
  10. Nahitaji Connection ya Madini ya Sapphire

    Habari Wakuu, Naomba kujua nitapata wapi Madini Haya kwajili ya Ununuzi. spinal sapphire aquamarine tourmaline Tafadhali Watanzania wenzangu tusaidiane tusifanyiane choyo.
  11. Kwanini ni vigumu kupata nafasi ya kazi migodini kama hauna connection?

    Habari wanandugu, Mimi ni graduate geologist kwa kipindi cha mwaka mmoja nimejaribu kuomba kazi kwenye migodi mbali mabali kakini nimeshindwa kabisa kuitwa hata sehenu moja Nawaza huenda sina connection labda ndo maana
  12. Natafuta ajira ndani na nje ya Tanzania, nina shahada na uzoefu na kazi za bandari

    Habarin Wana JF heshima yenu wote 🙏🏾 natumaini wote ni wazima kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uzima anao tujaalia kila siku itwapo Leo. Ndugu zangu mbele yenu ni kijana mtanzania nina ishi dar es salaam nime hitimu bachelor degree in shipping and logistics management mwaka 2022 Nina...
  13. Natafuta ajira ndani na nje ya Tanzania, nina shahada na uzoefu na kazi za bandari

    Habarin Wana JF heshima yenu wote 🙏🏾 natumaini wote ni wazima kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uzima anao tujaalia kila siku itwapo Leo.... Ndugu zangu mbele yenu ni kijana mtanzania nina ishi dar es salaam nime hitimu bachelor degree in shipping and logistics management mwaka 2022 Nina...
  14. D

    Watu wanaoa ‘connection’

    Huyu mshikaji wangu wa pili ana oa mtoto wa kibopa. Yani pisi ya kawaida sana to the point tunajua amefata life completion na connection. Wakwanza alioa pisi moja ni zaidi ya kawaida ila sherehe kama zote zilifanywa, pisi ina elimu na pia ina connection na nyota sana. Every one around her made...
  15. Kazi za viwandani Arusha connection

    Habari wanajamii forums. Kwa wakazi wa Arusha mjini na maeneo ya jirani, Mwenye kufahamu au connection jinsi ya kupata kazi za viwandan iwe kibarua au ajira ya kudumu. Ni viwanda vipi vinatoa ajira na siku na muda wa kwenda kuomba kazi pia nini kinahitajika uendapo maeneo hayo Naomba...
  16. Siwezi kumpa rafiki yangu connection ya kazi mahali ninapofanya kazi

    Sitaki unafiki, ntampa rafiki konekshen ya kazi kwa masharti mawil tu: 1. Nikisikia kuna nafasi ndani ya sehemu nayofanya kazi ila haiingiliani na ofisi ama kitengo changu ninatoa koneksheni, mfano mimi nipo ofisi ya ufundi kuna nafasi ya ufagiaji ama udaktari nitasaidia, nafasi hizi...
  17. Usimpe mtu connection ya kazi ni Bora uiuze kwa gharama

    Kwema Wakuu! Namna Bora ya ku-deal na vijana wa sasa ambao Asilimia 90% ni Vijana wa hovyo ni kuwa na roho ngumu tuu. Kama unahitaji mahusiano mazuri yenye furaha na vijana hawa na hautaki kuumia basi nakushauri kuwa na roho ngumu. Kama sio mtoto wako uliyemzaa basi usimpe connection ya kazi...
  18. Natafuta Connection ya ajira Serikalini au sekta binafsi

    Habarii wakuu, Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Mimi ni kijana wa kitanzania Mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzi(Ordinary diploma in civil engineering NTA level 6) kutoka chuo cha ufundi. Nimekaa mtaanii kwa zaidi ya mwaka mmoja Sasa nikijaribu bahatii yangu katika makampunii mbalimbali...
  19. A

    Mwenye connection na kazi za viwandani msaada nina cheti tu cha form four nisaidie ndugu zangu

    Nlivyomaliza form four na nikachaguliwa kwenda kusoma electrical engineering pale DIT nilisoma mwaka mmoja tu na kumaliza nilivyoingia mwaka wa pili Ada ikawa changamoto kutokana na matatizo ya kifamilia kwaiyo nikashindwa kuendelea Sasa nipo home mwenye connection ANISAIDIE jamani....Amina
  20. Uzi wa kupeana connection za kazi kwenye makampuni na kupitia recruitment agency

    Habari wana jamvi. Jiji la daslamu limejaa shughuli nyingi kuanzia viwanda vidogo mpk vikubwa, makampuni, mashirika na hata michongo midogomidogo. Kutokana na uwejezaji huo kwenye sekta mbalimbali kumepelekea kuzaliwa kazi na ajira nyingi. Wanaowinda kazi ni wengi ila siyo wote wanaojua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…