Natamani kufanya kazi Ulaya na Amerika, naombeni connection

Jicholamwewe

JF-Expert Member
Jan 2, 2021
308
352
Habari wakuu?

Poleni na majukumu ya hapa na pale pia hongereni kwa kupambana. Kutokana na kichwa cha habali hapo juu, Ndugu zanguni, wakuu naombeni yeyote ambaye ana connection au anazijua connection za kupata mishe/ kuzamia nje yani nchi za ULAYA, USA na CANADA naombeni msaada wenu.ili niende nikapambane kule nikatafute life.

Nimeandika sana Uzi hum ndani lkn bado sijafanikiwa ingawa sikati tamaa najua IPO siku. Hivyo hata akitokea mtu akanisaidia tukaingia mkataba hata nimlipe Mara 3 ya msaada wake ikiwa atanisaidia kufika huko nikapata mishe. Nimejikana nahitaji kutimiza ndoto hii mwenye connection naomba anisaidie na miaka 24 now.

Asanteni sana
 
Screenshot_20230303-130042.png
nimejalibu sana ku
Screenshot_20230303-130042.png
apply lkn bado sijafanikiwa.mwenye connection anisaidie
 
Habali wakuu?.poleni na majukumu ya hapa na pale pia hongereni kwa kupambana.kutokana na kichwa cha habali hapo juu, Ndugu zanguni,wakuu naombeni yeyote ambaye ana connection au anazijua connection za kupata mishe/ kuzamia nje yani NCHI ZA URAYA,USA na CANADA naombeni msaada wenu.ili niende nikapambane kule nikatafute life.nimeandika sana Uzi hum ndani lkn bado sijafanikiwa ingawa sikati tamaa najua IPO siku.hivyo hata akitokea MTU akanisaidia tukaingia mkataba hata nimlipe Mara 3 ya msaada wake ikiwa atanisaidia kufika huko nikapata mishe.nimejikana nahitaji kutimiza ndoto hii .mwenye connection naomba anisaidie na miaka 24 now.Asanteni sana
Yaan hai ingii akilini yaan wew nikwambie kitu.....

Bongo Kuna fulsa nyingi sana asikwambie mtu....

Inchi za ulaya kufungua biashara ya maandazi mpaka ufuate mlolongo....ila hapa bongo ni holela yaan ni wew tu kujiamulia.....

Kuna fursa za kilimo ufugaji unaweza Anza hata Kwa small scale ila miaka mi5 ukawa sehemu Fulani....

Ndoto za kukimbilia ulaya kusaka life isiwe NDIO ajenda yako kuu nyie NDIO mnao semaga
"BONGO BAHATI MBAYA"

komaa hapa hapa bongo ndugu mbona good life lipo....hata wahindi wanakimbia kuja BONGO kufanya biashara sisi hatuzioni fursa tulizo nazo ila wachache NDIO wanaziona wanabaki na hio Siri.....

🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Asante sana. Lkn nimeamua nifanye hvyo mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom