Naomba Connection ya Kazi

Feb 11, 2023
14
15
Habari zenu Wakuu.

Jamani kama amekosekana wa kunishika mkono kupata KAZI) Kibarua, Tafadhali nisaidieni majina na location ya viwanda ambavyo wanapokea vibarua.

Nawaomba sana, Nikipata kazi ya kulipwa kwa siku angalau 5,000.

Naishi Dar es salaam, Najua kutumia Kompyuta vizuri sana, Elimu kidato cha 6.

Mbarikiwe🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom