computer

  1. JamiiForums Tanzania Naomba Usharuri Mimi ni kijana wa Mwaka wa Kwanza Computer Science Nina shauku ya kutoka na GPA kuanzia 4.5 mpaka 5 Je nizatie jambo gani na gani?

    Naomba mtu yeyote mwenye experience anipe mawazo je hawa wanafunzi wanaopata GPA hizi za juu huwa wanafanya Jambo gani na gani?
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?

    Wadau msaada Je, kati ya IT(Information Technology) na Computer Science je ni kozi ipi Ina fursa zaidi na inaongoza kwa watu wengi waliofanikiwa?
  3. JamiiForums Tanzania Alan Turing: Baba(pioneer) wa computer za kisasa aliyeishi maisha ya utata kama shoga na kufa kifo tata kilichohusisha ushoga wake

    Alan Turing anachukuliwa kama baba(mwanzilishi) wa computer za kisasa, Muingireza aliyezaliwa mwaka 1912 na kufariki mwaka 1954 katika kifo chenye utata mkubwa akiwa na miaka 41 tu. Huyu ndiye aliyepangilia na kurasimisha nadharia za ufanyaji kazi wa computer za kisasa na pia kutengeneza Turing...
  4. JamiiForums Tanzania Computer classes

    Natoa computer courses for beginners na computer programming classes pia. Ms-office, excel, PowerPoint, access, publisher na programming classes kama c,c++, java. Mwenye uhitaji piga 0759-124378, nipo mbezi ya kimara.
  5. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Naunza computer imezima ghafla

    Bei 70k Niyamtu hivyo hatujui inaram ngapi wala hdd wala tatizo Imezima muda kidogo (kwa mujibu wa aliye nayo)
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Computer ya IBM mwaka 1947: Wazungu wametoka mbali sana.

    Huyu ni Computer engineer, hapa anafanya wiring mwaka 1947 safari ya wazungu katika suala la Tech wametoka mbali sana
  7. JamiiForums Tanzania Ipi kozi bora kati ya Computer Engineering na Civil Engineering?

    Nimepata nafasi ya kuchaguliwa na vyuo viwili hapa Tanzania chuo cha kwanza nimepangiwa kusomea civil engineering na chuo cha pili nimepangiwa kozi ya computer engineeringi. Wana JF nipeni ushauri kati ya kozi hizo mbili ipi ni marketable?
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakali wa IT Programming, wazee wa Games na application za computer zinazohitaji machine ya maana hii hapa sio ya kukosa

    SOLD
  9. E

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa kusoma Computer Engineering nisaidieni!! Vipi ajira zake zipo?

    Nimechaguliwa DIT kusoma computer Ingineering naomba kujua fursa Zake katika kujiajiri kuajiriwa pia! Niongozeni wakuu.
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa sasa nchini Tanzania tuna watu wazuri katika IT au tunaweza kuziita computer issues

    Kwa nini Hawa watu tusiwaekee forum Yao na kiuwezeshi kidogo ili waweze kuibua mambo mapya katika computer technology.
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, naweza badili matumizi ya monitor ya computer na kuitumia kama screen ya kawaida na kuiunganisha na king'amuzi?

    Swali langu ni hilo tu, sina mengi. Awali ya yote natoa shukurani kwa watakaochangia.
  12. JamiiForums Tanzania Tuna Service, Repair & Maintenance aina zote za Computer

    Lete Computer yako mbovu tukutengenezee! Tunafanya Services aina zote za Computers Tunauza Spares & Accessories za Computer aina zote Tupo Ilala Dsm 0718290779
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop and computer accessories

    Kwa mwenye uhitaji wa vifaa vya laptop na vya computer kama vile adapters ,keyboard, mouse,battery za aina zote display ,display port,hard disk ,external case na vingine vingi naomba nicheki kwa namba hizi 0622793422 au fika kariakoo MTAA wa ndanda ulizia duka la doris laptop and computer...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nina kipaji cha kuchora kwa kutumia computer, nawezaje kukitumia kutengeneza pesa?

    Naombeni mawazo yenu wadau nawezaje kutengeneza pesa kupitia kipaji changu.. nimeambatanisha sample za michoro
  15. E

    JamiiForums Tanzania Computer Science inaongoza kutoa wadau wengi waliofanikiwa duniani

    Orodha ya Watu Waliosoma Computer Science na Wamefanikiwa 1. Elon Musk - Mwanzilishi wa SpaceX na Tesla(Japo alisoma physics na economics lakini Computer science imemtoa) 2. Mark Zuckerberg - Mwanzilishi wa Facebook (Meta). 3. Bill Gates - Mwanzilishi wa Microsoft. 4. Larry Page - Mwanzilishi...
  16. JamiiForums Tanzania Mfundishe mtoto bado mdogo programming computer sio aje kukukuta ukubwani ndio maana tunazidiwa na wenzetu

    Programming computer ni mfumo wa lugha za vifaa ambavyo vyenyewe vinajua moja na ziro tu. ila kutokana na uwezo mfumo wa digital moja ziro ndio zinaweza kutambua mamilioni ya ziro na moja kwa wakati. Vifaa vyote tunavyotumia kuanzia simu,computer,mawasiliano kama internet na vyote kwa ujumla...
  17. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania nina milioni 1, ninunue kifaa gani au niwekeze huduma ipi kwenye tech niingize pesa ?

    N:B: Sihitaji idea za PS, kamari, forex, bitcoin. habari zenu wana tech, naombeni mnipe ideas Nipo mazingira ya mjini binafsi ni muajiriwa lakini ni mdau mkubwa sana wa side hustles Nahitaji wazo au vifaa / huduma walau kuingiza elf 10 kwa siku, niliwahi kufungua banda la games tatizo kubwa...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji kufungua Movie Store. Je, ni desktop computer gani itanifaa kwa kazi hiyo?

    Mwezi hii ya mbeleni nipo kwenye mpango wa kufungua movies store hapa Dar es Salaam. Napitia changamoto moja ni CPU gani na yenye sifa gani inayoweza kunifaa. kwakazi hiyo maana siitaji kununua cpu itayo nipa ugumu wakufanya kazi. Nahitaji niiweekee 80TB na ram 12 GB machanga complex...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mafundi computer: Nina sh 40,000 natafuta CPU

    Habari mafundi computer Jamani Nina sh 40,000 nahitaji CPU ya desktop computer kampuni yoyote. Iwe unafanya kazi. Ni PM picha zake Shwari wazee
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu haya kwenye Computer Networking

    Naomba msaada kujua hivi vitu kwa maana vinanichanganya sana wataalamu 1. Network Attached Storage (NAS) 2. Storage Area Network (SAN)
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…