computer

  1. JamiiForums Tanzania Mr Electronics: Jipatie vifaa vya kielectronic kama Computer ,Sound Sustems, phone accessories pamoja na vingine vingi kwa bei ya Store

    Tunauza: 💻 Kompyuta (Desktop & Laptop – mpya & used) 🖥️ Vifaa vya kompyuta (keyboard, mouse, monitor, printer n.k) 🎧 Sound systems (speakers, home theaters, Bluetooth systems) 🔌 Accessories mbalimbali (USB cables, screen protectors, covers,adapter,Air pods,headphones n.k) ⚡ Vifaa vya umeme vya...
  2. JamiiForums Tanzania INAUZWA SSD zinauzwa @ 120,000/=

    SSD zinauzwa 512GB SATA Moja 120,000/= (zipo mbili) Zipo Mbezi beach Mawasiliano: +255625550108
  3. JamiiForums Tanzania Kuhusu volunteer au Internship ya computer science

    Ndugu narejea tena naombeni nafasi ya kufanya internship au volunteer niweze kupata ujuzi zaidi mimi ni graduate nina masters of science in computer science umri miaka 28 ninauhitaji wa kufanya intern mkoa wowote. Mimi ni mtaalamu wa data science , Machine learning, AI, mobile app, data...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Tofauti gani kati bachelor of computer science na bachelor of science in computer science in software softwere engineering?

    Mimi nimwajiriwa Nina stashahada ya Ualimu (physics & mathematics) nataka kwenda kusoma mwaka huu course ya TEHAMA, Wakuu naomba kujua utofauti wa course ya bachelor in computer science Na Bachelor of science in computer science in software engineering
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Una computer /PC huitumii? Naomba niazime kwa mwezi mmoja tu

    God
  6. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kwa nini degrees na diploma za IT zinazidi kukosa soko kwenye ajira zisizo na connection, kipaumbele ni computer science na computer engineering ?

    IT iliwahi kuwa kozi yenye dili sana lakini sikuhizi imekuwa haipewi kipaumbele, ajira nyingi wana prefer kushortlist computer rngineering na computer science
  7. JamiiForums Tanzania Mtaalam wa simu, computer na programu zake

    Ninaomba kazi za Data entry, analysis... Kutoa huduma za simu na pesa na internet Graphics designing Supermarket na security checking and approval. Ninakuhakikishia nitakufanyia kazi yako kwa uhakika umakini na kwa wakati unaotakiwa. Mwaminifu na NAMUOGOPA MOLA WANGU...my friend nakuhakikishia...
  8. JamiiForums Tanzania Tunatengeneza Computer aina zote na kuuza spare

    Lete computer yako mbovu tuitengeneze kwa gharama nafuu. Pia tunauza spare na accessories za computer aina zote Tupo Ilala DSM. 0767953873.
  9. JamiiForums Tanzania Basic computer application tutor,computer programming courses

    Hellw JF,kama unatafuta mwalimu wa computer courses na computer programming mchek 0759-124378 Anipatikana magari 7,mbezi ya kimara
  10. T

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza na Tunauza computer na laptop bei kuanzia Tsh 170000/=.

    Habari wadau! Tunauza computer na laptop kwa bei nafuu sana kuanzia Tsh 170000/= mpaka Tsh 800000/=,bei zetu zinategemeana na uwezo, viwango na ubora wa computer,lakini pia sambamba na hilo tunafanya pia maintainance za computer kuanzia( Hardware na Software),na gharama zetu ni nafuu sana,njoo...
  11. JamiiForums Tanzania Bachelor of computer science Jordan university college

    Habari, naomba kuelezwa kuhusu ubora wa chuo cha Jordan kwenye kozi ya computer science. Je wapo vizuri kwenye practical na theory? Wana maxingira mazuri ya kujifunzia yaani Lab za computer za kisasa zitakazomfanya mwanafunzi kujifunza vizuri? Napenda nijiunge hapo ila nijiridhishe kwanza na...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanza Computer Shop: Jipatie Desktop Computer Complete kwa Tsh. 350,000

    ✅ Uwezo wa processor Core i3 3.30Ghz ✅ Kioo nchi 19 ✅ RAM 4GB ✅ HDD 500GB 🔥Tsh. 350,000 Complete pamoja na kioo nchi. 19 wide. 🔥 📌 Refurbished kutoka Dubai MAWASILIANO: 0620748068 LOCATION: Buzuruga Shule, Mwanza
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kabla hatujaanza kutumia smartphone ndani ya mablanketi, Miaka ya 90s na 2000s nyumba zilikuwa na chumba special kwajili ya computer (computer room)

    Ramani za nyumba zilikuwa na chumba maalum cha computer Chumba cha computer kilikuwa na meza kubwa, screen yenye chogo, speaker mbili, mouse yenye mpira ndani, cpu yenye kitufe kikubwa cha kuwashia unachoweza tumia dole gumba la mguu.
  14. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza computer bei ya hasara 230k

    Kampuni Lenovo think pad Ram 8gb Hdd 256 gb Processor Intel Celeron 1007U (1.5 GHz, dual-core) Njoo PM kwa maelezo zaidi nipo dar es salaam tegeta
  15. JamiiForums Tanzania Nanunua Computer zilizotumika/kuharibika (Laptop au Desktop) kama spare

    Wakuu Nanunua Computer zilizotumika/kuharibika iwe Laptop au Desktop kama spare Wasiliana nami kwa 0767953873
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wapi kwa kupata cover bora za computer kwa DSM

    naomba msaada sehemu au mahali gani naweza kwenda kubadirisha cover ya Laptop kwa DSM ,Nina changamoto laptop HP imedondoka .
  17. A

    JamiiForums Tanzania Kilimo, jeshi na computer yawe masomo ya lazima

    Nisiwachoshe asubuhi hii hata chai hamjanywa Ila ningekuwa waziri wa elimu ningeondoa masomo ya historia, uraia, hisabati na kiswahili kuwa masomo ya lazima sekondari badala yake ningeweka COMPUTER, ENGLISH, KILIMO NA JESHI kuwa masomo ya lazima kuanzia chekechea sio primary, secondary na...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna msomi wetu yeyote wa Computer Science amewahi hata kutengeneza simple computer games kama hizi?

  19. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kwanini ma genius wengi wa mambo ya computer wana changamoto ya ugumu wa kuchangamana na jamii / social skills ?

    Mark Zuckbereg - Facebook, Instagram, Whatsapp Bill Gates - Windows, Xbox, n.k. Elon Musk - Starlink,,cybertuck, n.k. Steve Jobs (RIP) - iPHONE Sam Altman - Chat GPT n.k. Ni nini kinachochangia hali hii? Je, ni hulka yao au ni mazingira wanayokulia? Je, kuna uhusiano nakazi...
  20. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Operesheni tokomezeza flash disk na mawaya, Nawezaje kutazama video za kwenye computer kwenye Tv kwa kutumia wifi ( wireless )

    Nahitaji kuifanya Tv yangu iwe kama youtube au Netflix lakini niweze kustream video kutoka kwenye laptop yangu bila bando. Laptop nitakuwa naiacha chumbani, niweze kuchagua video moja kwa moja kwenye TV bila kugusa laptop. Nimechoka kudownload videos kwenye pc kisha niiingieze kwenye flash...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…