complex

  1. R

    Full Time: Yanga SC 0-1 Simba SC| Muungano Cup Final | New Amaan Complex | 29.04.2026. Simba abeba Ubingwa

    MATCH DAY Yanga SC vs Simba SC ni Dabi ya Kariakoo, Kombe la Muungano Cup kwa wababe hawa kupambana kusaka taji. Mchezo huu unatarajiwa kuchezwa LEO 29/4/2026 Jumatano, Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, kuanzia majira ya saa 2:15 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Yanga SC wanaingia...
  2. Mobutu JR

    FT: NBC PL | Young African SC 3 - 1 Dodoma jiji FC | 27.01.2026 | KMC complex

    Mabingwa watetezi kunako ligi kuu Tanzania bars(NBC PL) watashuka dimbani leo saa moja usiku kupepetana na walima zabibu kutoka Dodoma. Je nani kuibuka na ushindi?
  3. DuaZaMama

    Simba Sc Vs Muembe Makumbi| Mapinduzi Cup 2026|New Amaan Complex Stadium| 8:15 Usiku

    Klabu ya Simba SC itashuka dimbani katika Uwanja wa New Amaan Complex Stadium katika mchezo wa Mapinduzi Cup 2026 dhidi ya Muembe Makumbi ya (Zanzibar) majira ya saa 8:15 usiku. Hii itakuwa mchezo wa kwanza wa Simba chini ya kocha wake mpya, Steven Barker.
  4. Logikos

    Dunia inaambukizwa (Nationalism instead of Patriotism, Cancel Culture, Superiority Complex, Over-sensitivity na Sisi na Wao)

    Limetokea tatizo kubwa la Sisi na wao; sio viongozi tu bali hata watu wa mataifa fulani kujiona Superior na wengine Inferior; mtu akisema kitu kuhusu nchi yenu basi nyote mnamshambulia na kushambulia taifa zima kwenye fungu moja... mbaya zaidi hii inaonekana kama ndio Uzalendo; lakini ni Hatari...
  5. TheForgotten Genious

    Let’s drop the currency superiority complex

    Currency Comparison Wars: The Most Useless Olympics in East Africa. The lamest debate I keep seeing on this wall is when a Kenyan proudly says: "Our shilling is stronger than Uganda’s or Tanzania’s... we’re doing better!" Please. Relax, economist wa Facebook. Let’s unpack this foolishness...
  6. The introvert

    Ushabiki wa Simba na Yanga ndiyo tumefikia huku????

    Habari za muda huu wana jamvi Je ni sahihi kwa hiki kilichofanyika uwanjani? Ule utani wa jadi uko wapi? Ushabiki utaenda kutugawa muda si mrefu tutaanza kuona watu wakipigana mapanga na kuuwana kisa ushabiki wa timu hizi mbili. Wasemaji wa hizi timu kuna namna wanasababisha haya mambo...
  7. Tajiri Tanzanite

    Serikali mmezailishwa na CAF,bora mtangaze mkutano wa kiserikali hiyo tar 25.05.2025 pale Amani Complex

    Hapo vip!! Niwazi yakwamba pamoja na jitahada za serikali na club ya Simba kuishawishi CAF match ipigiwe pale kwa Mkapa,eti CAF wamewaona serikali na club ya Simba ni wababaishaji wasiojielewa. Sasa ni bora serikali imwage ugali,itangaze pale Amani kuna mkutano wa kiserikali pale Amani...
  8. Waufukweni

    CAF wakaza, Fainali ya pili kupigwa New Amaan Complex, Zanzibar Saa 10 Jioni

    Mchezo wa fainali ya pili ya Kombe la shirikisho barani Afrika (CAFCC) utapigwa uwanja wa New Amaan Complex, Visiwani Zanzibar, saa kumi jioni. CAF wameshaanza kufanya branding ya uwanja wa mchezo wa fainali ya pili ya CAFCC.
  9. Ojuolegbha

    Rais wa Finland atembelea mradi kuwezesha wanawake Machinga Complex

    RAIS WA FINLAND ATEMBELEA MRADI KUWEZESHA WANAWAKE MACHINGA COMPLEX Rais wa Jamhuri ya Finland, Mheshimiwa Alexander Stubb, ametembelea mradi maalum wa kuwawezesha wanawake wafanyabiashara wadogo unaofadhili na nchi hiyo kupitia shirika la Umoja wa Mataifa linashughulikia masuala ya Wanawake...
  10. Mwl.RCT

    Early Sexual Activity and Cervical Cancer Risk in Africa: Understanding the Complex Connection

    Early Sexual Activity and Cervical Cancer Risk in Africa: Understanding the Complex Connection The Alarming Reality of Cervical Cancer in Africa Cervical cancer stands as the most common cancer affecting women across Africa, leading both in incidence and mortality rates. This sobering reality...
  11. Dennis Robert Shughuru

    Safari za kwenda India zitasitishwa na complex medical procedure zitakuwa zinafanyikia hapa Tanzania kwa bei nafuu sana

    Katika jitihada za medical tourism hizi ni baadhi ya complex medical procedure zitakuwa nafuu Tanzania kuliko sehemu yeyote duniani Bone marrow transplant Liver resection Pancreas resection lung resection Coronary Revascularization Surgical Ventricular Restoration Septal Myectomy Thoracic...
  12. Tembosa

    FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

    Litakufa Jitu Leo... #nguvumoja# VIKOSI VYA LEO 1. SIMBA 2. MASHUJAA FC Updates... Dk 04' Simba wanafanya shambulizi kali , inakuwa kona. Inapigwa haileti madhara. Valentino.. DK 05' Goooooooal Mashujaaa Wanaweka chuma cha Kwanza. Hapa 0-1 HT Simba 0-1 Mashujaa. 2nd Half Simba wamefanya...
  13. K

    Tufikirie upya kuzalisha ngano toka mashamba ya Hanang' complex mkoa wa Manyara

    Serikali ilianzisha uzalishaji wa ngano toka mashamba ya Hanang' Complex Mkoani Manyara na uzalishaji ulikuwa mkubwa sana. Serikali ilipoanza ubinafsishaji mashamba haya yaliuzwa kwa bei ya kutupwa. Wengi wa wafanyabiashara waliouziwa mashamba haya hawayaendelezi na mengi yamebaki kama...
  14. Tembosa

    Full Time: Azam FC 1 - 2 Young Africans SC | NBC Premier League | Azam Complex | 10-04-2025

    SIKU YA MECHI KALI. 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Azam Fc 🆚 Young Africans SC 📆 10.04.2025 🏟 Azam Complex 🕖 1:00 Jioni VIKOSI VINAVYOANZA LEO. Updates.... Dakika 11 Pacome anaipatia goli la kuongoza kwa Yanga Dakika 19 Pacome anatolewa nje kupata matibabu zaidi baada ya kuumizwa Dakika 34...
  15. Waufukweni

    Full Time: Simba SC 6-0 Dodoma Jiji FC | NBC Premier League | KMC Complex | 14.03.2025

    NBC Premier League leo Ijumaa Saa 10:00 jioni, Simba SC watakuwa dimba la KMC Complex wakiwakaribisha Dodoma Jiji. Hii ni mechi ya kiporo je ni Mnyama Simba ama Walima Zabibu nani kukitafuna kiporo hiki? Vikosi vya timu zote Mechi imeanza (KickOff) 09' Milango bado haijafunguka pande...
  16. THE FIRST BORN

    Kuanzia Msimu ujao Ratiba iwe complex Yani iwe kama EPL tu

    Nimewaza sana mjue hizi Team za Kariakoo hua zinapata favor sana katika ratiba ya Ligi, Kuna mda unajiuliza hizi ni Team za Taasisi inayoongoza Mpira Nini? Hizi Team kipindi zinaelekea Derby hua zinapewa almost week nzima ya kujiandaa Yani hawachezi hata kombe la FA angalia Kuna Team zimecheza...
  17. M

    Kweli wa Tanzania tumeshindwa hata kujenga bara bara za mwendo kasi wenyewe ? Bwawa sawa ni Complex project ila hata BRT roads hatuwezi

    Hili limeniumiza sana Kweli karne hii bado wazawa tumeshindwa kabisa kusuka nondo na kumwaga zege kwa ajili ya kujenga barabara ili ma bus ya mwendokasi yapite. Wageni tunaowapa tenda wanatudharau sana.
  18. Kipenzi Changu

    Tetesi: Wanaodhani kuwa ni Yanga wakamatwa na ushirikina huko KMC Complex

    Leo jioni KMC Complex wamekamatwa vijana wanaodhaniwa kuwa ni Yanga wakiwa na vifaa vya kufanyia ushirikina. Hii inaelezwa kuwa maandalizi ya kuelekea mechi ya kesho dhidi ya KMC. Zana hizo ni pamoja na sanda ya mtoto, wanja, vijiti, spray, vijiti nk
  19. Kipenzi Changu

    FT: KMC 2-0 Singida BS; KMC Complex, Ligi Kuu ya NBC

    FT KMC 2-0 Singida BS Ikumbukwe pia jana Azam alipigika kwa Pamba Jiji
  20. Kitambi chakufutia tachi

    FULL TIME: NBC PL | Young Africans 6-1 Ken Gold | KMC Complex | 05/02/2025

    Ligi NBC kuendelea leo majira ya saa kumi na robo alasiri katika uwanja wa KMC Complex ambapo Yanga watakuwa wenyeji wa Ken Gold. Yanga wanaingia katika mchezo huu wakiwa katika nafasi ya pili wakiwa na wamecheza michezo 16 wakishinda michezo 14 na kupoteza 2 huku wakifunga magoli 36 na...
Back
Top Bottom