comedy

  1. Mashindano ya Cheka Tu Comedy search yameendeshwa kwa weledi sana.

    Haya mashindano yamekuwa mazuri sana. Na nafikiri sekta ya Stand up comedy Tanzania ndiyo imezaliwa. Washiriki karibu wote walikuwa vizuri sana tofauti na wakina Pilipili, Idrisa na Bukuku. Hawa wanajua. Na hawa washindi waliopatikana ni wanajua hasa. Hata kuna wengine walitolewa lakini bado...
  2. Stand up comedy: Comedian Deogratius ana kipaji hasa atafika mbali sana

    Habarini wakuu Mara tatu nimefuatilia kipindi cha Stand up Comedy (WATU BAKI) kinachorushwa na channel "Maisha Magic Bongo 160" kupitia king'amuzi cha DSTV. Nimemuona kijana anaitwa Deogratius ni balaa yaani ikifika session yake wote tuliokaa sitting room tunacheka mpaka tunatoa machozi...
  3. Cheka tu Comedy Search: Ni mshiriki gani unavutiwa naye?

    Wakuu, Kama title inavyotamba, basi. Kwa wale tunaofuatilia hiki kipindi kinachotafuta vijana wenye vipaji vya kuchekesha kwenye stand up comedy (CHEKA TU COMEDY SEARCH) cha wasafi tv tujuzane ni washiriki gani ambao unavutiwa nao na ambao huvutiwi nao katika uchekeshaji wao. Mimi naanza na...
  4. CHADEMA kukataa mualiko wa NEC wakati wanasubiri mualiko wa Rais Samia ni kichekesho

    Iko wazi Chadema na vyama vingine vilivyokataa kuhudhuria Mualiko wa NEC kwenye kutoa ripoti ya Uchaguzi wa 2020 sababu ilikuwa ni malalamiko yao juu ya wanachokiita dhuluma kwenye uchaguzi huo. WAMEKWENDA mbali zaidi hata wengine kugomea ruzuku, kugoma kupeleka majina ya wabunge wa viti maalum...
  5. Series gani ya comedy ni best of all time?

    Binadamu tunatofautiana sense of humour meaning kitu kinaweza kuwa funny Kwa mtu mmoja kikawa cha kawaida kwa mwingine. Lakini mawazo yawengi huwa mara nyingi yanakaribia ukweli. Kwangu Mimi best comedy series ni: 1. How I met your mother 2. The Simpsons 3. Big time rush 4. Scrubs 5. Big bang...
  6. Wasomi tunamchukulia Musukuma kama Mchekeshaji wa ‘Stand Up Comedy’ ndani ya Bunge. Tunashauri aendelee kutuchekesha

    Hari yenu humu! Bira shaka mpo wazima. Sisi wasomi tunafulahishwa sana na kipaji alichonacho Mbunge Msukuma, kipaji cha uchekeshaji. Huyu jamaa anakipaji cha ufutuhi futuhi. Upande wangu napenda akiwa sirius akijifanya anatoa hoja ya maana, :D:D:D:D hapo atajifanya anaakili sana mpaka...
  7. Former Churchill show comedian Francis Onono aka "Brigeddia General" at last graduates from US Army

    Former Churchill show comedian Francis Onono aka "Brigeddia General" at last graduates from US Army. On 2nd of April he graduated at Fort Sill, Oklahoma 1-31 Bravo Battery, 434th Field Artillery. DREAMS COME TRUE! Kudos comrade!
  8. Utani wa Wanasiasa (Political COMEDY)

  9. Uzi wa memes za viatu (comedy)

    Uzi huu ni wa memes za viatu kwani viatu vinaelezea uhalisia wa maisha ya MTU Tiririka nawe
  10. De general comedy

    Huyu jamaa ana kipaji hadi upande huu haha
  11. Ubunge sio the Comedy; Kwako Steve Nyerere

    UBUNGE SIO THE COMEDY Na, Robert Heriel Ujumbe huu ni mchungu lakini naomba ufike kama nilivyokusudia, pengine maneno yake yakawa makali. Hivyo natoa angalizo; Kama unaroho nyepesi na mihemuko ya karibu tafadhali usisome. Kuna kitabia cha kipuuzi Baadhi ya wasanii wanacho, yaani mtu...
  12. Taasisi ya Urais chini ya Amiri Jeshi Mkuu siyo sehemu ya vichekesho

    Tukirejea ktk kumbukumbu ya tarehe 14 November 2019, Siku ya Alhamisi, Idriss Sultan akiwa mbele ya Waandishi wa Habari alimuomba Msamaha Rais Magufuli kwa kuweka picha mbili tofauti zilizoleta taswira mbaya kwa Taasisi ya Urais wa Tanzania (JMT Presidency) na Rais Mwenyewe Binafsi. Idris...
  13. Niwe bilionea kama Mo Dewji? Bongo stand up comedy

  14. Naomba ufafanuzi taasisi ya elimu (Chuo) kutoa gawio kwa Serikali

    Hello Bosses, Nimeshtushwa na hili. Je, ni halali kwa taasisi ya elimu kuwa chanzo cha mapato kwa Serikali? Nimeshtuka kuona IFM kutoa gawio karibia billion 2, juzi hapa nimemlipia dogo ada 1,800,000+, ada tu bila hostel hela ya kula na kujikimu. Tumefika mbali sana hadi elimu ni chanzo cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…