clouds tv

McCloud is an American police drama television series created by Herman Miller, that aired on NBC from September 16, 1970, to April 17, 1977. The series starred Dennis Weaver, and for six of its seven years as part of the NBC Mystery Movie rotating wheel series that was produced for the network by Universal Television. The show was centered on Deputy Marshal Sam McCloud of the small western town of Taos, New Mexico, who was on loan to the metropolitan New York City Police Department (NYPD) as a special investigator.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    PostGE2025 Mtangazaji wa Clouds TV: Doria ya Polisi, Wanajeshi iwe endelevu

    Mtangazaji wa Clouds TV, Paul James maarufu PJ amesema, "Asubuhi wakati nakuja kwenye kipindi nilikutana na askari kwenye daraja linalotenganisha mkoa wa Pwani na Dar es Salaam. Wapo askari wanafanya kazi yao vizuri. Wameniuliza kama nina kitambulisho cha NIDA. Nikaonyesha. Mmoja wapo aliponiona...
  2. Lord Denning

    Tukimaliza Ikulu tunaenda kwa machawa wote. Tunaanzia Ofisi za Azam, Efm, Clouds Tv na ITV

    Machawa wote lazima wafundishwe kusema kweli daima na kusimamia ukweli siku zote. Machawa wote na vyombo vyao vya propaganda lazima tuwafundishe adabu
  3. W

    SI KWELI Je, hii ni kweli imechapishwa na Clouds TV

  4. W

    POTOSHI Mwabukusi awalipua haya kuhusu wanaharakati na CHADEMA

    Wakuu, nimekiona hiki kipeperushi je, kina ukweli kwa haya yaliyoandikwa kwa kurejelea mahojiano aliyoyafanya Mwabukusi na kituo cha Clouds TV?
  5. Mhaya

    GE2025 Mtangazaji wa Clouds TV "Kijah Yunus" aliyemchapa Maswali ya Uchonganishi Lissu mpaka wakazenguana, ateuliwa viti Maaalumu Lindi

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliotajwa katika taarifa hii, waliteuliwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, iliyoketi Jumatatu, tarehe 28 Julai 2025. Majina yao yalisahauliwa kutangazwa katika orodha iliyotolewa mapema leo na kusomwa mbele ya waandishi wa habari...
  6. Mhaya

    DJ Fetty wa Power Breakfast ya Clouds FM asimamishwa kazi na maagizo kutoka mamlaka za juu kwenda kwa Bosi wake sababu za Kisiasa

    Wengi wetu ambao ni wapenzi wa vipindi vya radio tutakuwa tunamfahamu DJ Fetty ambaye alianza kazi ya utangazaji muda mrefu katika stesheni ya Radio Ya Mawingu (Clouds FM). Alikuwa nguli wa kipindi cha XXL kilichokuwa mahususi kwa vijana na wapenda burudani hasa mziki, miaka hiyo bado unafuta...
  7. W

    GE2025 Mkuu wa vipindi Clouds TV: Wananchi wana imani sana na Rais Samia

    Wakuu Mambo yanazidi kuwa mengi, mkuu huy wa vipindi kwa hiki anachokifanya tutegemee usawa katika kuripoti taarifa za uchaguzi mwaka huu? Au na yeye anataka kugombea? basi angekaa pembeni kabisa. === Mkuu wa vipindi Clouds TV, Dotto Bahemu akielezea mafanikio na mwitikio mkubwa wa wananchi...
  8. G Sam

    Ukitaka kuchanganyikiwa basi kaangalie mahojiano ya jana ya John Mrema na Ciza Clouds tv

    Mtu unaweza kudhani hivi inakuwaje watu wengine walizaliwa binadamu? Mfano wa huyu mtu ni John Mrema. Aisee nimeangalia mahojiano yake jana ndani ya clouds tv nikaishia kuchanganyikiwa. Nimejiuliza kwanini aneamua kuchagua njia ngumu hivyo ya kuendelea kuishi. Kuliko njia ile ni heri kuishi...
  9. figganigga

    PreGE2025 Angalia CCM jinsi wamemtuma Kijakazi Yunus Kumhoji Tundu Lissu kwa Kivuli cha Clouds Media

    Nimeangalia Mahojiano ya Tundu Lissu na kipindi cha Clouds 360, Niseme tu! Mtangazaji Kija Yunus ni Muandishi wa Habari wa hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi Clouds Media Tena Akaaminiwa Na Kupewa Kipindi Cha Asubuhi. Yaonekana alikuja na...
  10. Crocodiletooth

    Kwa mazungumzo ya Jana ya mbowe clouds TV, mbowe amegeuza upepo, ushindi kwake ni dhahiri

    Wenye hekima, wale wa juu juu, wasiofahamu chadema kwa kina, chawa wa mitandaoni, nadhani wamepata ufunuo hasa kwa undani juu ya kwa nini mbowe anastahili kuendelea kuwa mwenyekiti, kuna wakati ulifika chadema ikawa chungu, na wale majasiri njaa wakapatwa na woga mkali wakaona wayaokoe maisha...
  11. W

    PreGE2025 Mbowe: CHADEMA ni kubwa kuliko mtu yeyote

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe alipokuwa akizungumza na clouds amesema "Hapa Dar es Salaam kila Mtaa unaouona una uongozi wa CHADEMA wa Baraza la Chama, la viongozi wa chama. Na katika Vijijini zaidi ya 12,000 zaidi ya 80% tuna viongozi katika vijiji nchi nzima na hatimaye sasa Vitongoji...
  12. The Palm Beach

    Utetezi wa RC Paul Makonda RC juu ya ushiriki wake kumpiga risasi Lissu, kuvamia Clouds TV

    Kwa ufupi: Kauli na hoja za Paul Makonda na majibu yake: HOJA #1: Tundu Lissu ni mchanga kwake (Makonda) kisiasa. Kauli hii ina ukweli wowote? JIBU: ➡Ni mwongo, mzushi. Tundu Lissu yumo ndani ya siasa (active politics) tangu mwaka 1995 na mwaka huo aligombea ubunge Jimbo la Singida Mashariki...
  13. hitler2006

    Mtangazaji Kijah wa radio ya Clouds anasukuma agenda ya nani?

    Ni sawa kuwa na mtazamo tofauti lakini huyu dada wa kipindi cha nyuzi 360 huwa anapenda sana kutetea viongozi hasa pale wanapokua wametoa matamshi tatanishi. Hata kama ni uchawa huu sasa utakua pro max kwa dada. Nadhani kipindi hiki hakimfai ni bora atafutiwe kipindi cha udaku au singeli. Pia...
  14. JAYJAY

    Clouds TV hamna maudhui yenye tija

    Nasikitika sana sijui wanakosea wapi, hawapo kama wenzao wa Clouds Radio! Sijui wanafeli wapi? Au ni bahati mbaya kwangu kila nikiingia kuiangalia nakuta vipindi visivyoeleweka. Kama usiku wa Jana manyimbo TU yasiyoeleweka.
  15. B

    Clouds TV kipindi cha 360 mmekatisha matangazo ghafla, shida ni nini?

    Nilikuwa nakifuatilia sana kipindi cha leo cha Sam Sasali na Tupa Tupa muda huu Clouds TV kipindi cha 360 lakini wamekatisha matangazo ghafla, shida ni nini?
  16. GENTAMYCINE

    Ni kwanini CMG (Clouds FM na Clouds TV) hupenda sana kujipendekeza katika birthdays za Marais nchini tofauti na Media zingine?

    Kazi yangu Kubwa GENTAMYCINE leo ni Kusoma tu Comments zenu kutokana na huu Uzi wangu.
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Jr. Farhan wa Clouds Tv huna uelewa wowote katika mahusiano ya mapenzi; huwezi kumhudumia Mwanamke uliyezaa naye baada ya kuachana naye ukabaki salama

    JR. FARHAN WA CLOUDS TV HUNA UELEWA WOWOTE KATIKA MAHUSIANO YA MAPENZI; HUWEZI KUMHUDUMIA MWANAMKE ULIYEZAA NAYE BAADA YA KUACHANA NAYE UKABAKI SALAMA. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Sijui ulikuwa unatafuta sifa au kiki au vipi. Kama ni Kiki basi upo sahihi na hongera. Lakini kama ni kweli...
  18. Erythrocyte

    Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Sugu, kusikika Clouds TV 23/11/2023

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara, Mwekezaji wa Kimataifa, Bilionea Joseph Mbilinyi, asubuhi ya 23/11 /23, atakuwepo kwenye Clouds TV kwa mahojiano Maalum. Usibadili Channel kwa Mawe Matakatifu.
  19. F

    Miss Lolo wa Clouds TV na ujumbe wa "Your boyfriend Loves me"

    Nipo hapa natazama the spark ya Clouds Tv kinachorushwa kila siku za wiki saa 11 jioni hadi 12. Namwona Miss Lolo ambaye ni Mtangazaji wa kipindi amevaa blausi ya kijani mpauko kimeabdikwa "Your boyfriend Loves me". Maana yake Rafiki yako wa kiume ananipenda. Watangazaji wa Tv huwa...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    ''Mikataba Imeisha'' ya Clouds Tv ni program ya kidhalilishaji inayokiuka haki ya usiri mfanyakazi anapomaliza muda wake

    Clouds Media Group wamiliki wa Clouds TV, wameanza kupunguza wafanyakazi kwa namna ya kidhalikishaji na ukiukaji mkubwa wa haki ya Usiri na faragha. Tumeona watangazaji kadhaa wakianikwa mitandaoni kwamba mikataba yao imeisha na wameachwa. Tunaomba uongozi wa Clouds Media kuacha mara moja...
Back
Top Bottom